Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

toka nae out mkayajenge huenda amezoea maeneo/nyumba kila ukimwambia anaona kawaida ila ukimtoa out sehem ya starehe au shida anaweza akaingiza kitu kichwani.

hawa wanawake simu na tv zinawadanganya,mwanamke atabakia mwanamke tu.
 
Ndio maana wanakua wajinga kupindukia
 
Walikupa binti yao akiwa vizuuuri, wewe umeenda umemuharibu huko then unataka wakahangaike wao na shida zako!! Pambana.

Ndoa za utotoni.
 
Sasa wewe itakuhusu nini akishuka njiani?? Huyo ni mtu mzima, huwezi kumfundisha kitu kwa demokrasia. Wewe ameshakuchosha, muondoe nyumbani kwako, wapigie tu kuwa uneshamtimua arudi kwao akajifunze, sio unaomba ridhaa ya wazazi, wao wanapewa tu taarifa kuwa mwanamke kwa sasa hayupo kwako na umemuelekeza aende kwao, afike asifike hilo halikuhusu.

Sema mzee inaonekana bado unampenda mkeo, hajakutoka bado. Mwanamke asiye mtii ukishamchoka hutaumia hata ukijua jana katoka kuliwa, maana unakua huna hisia nae tena. Sasa wewe hata makofi unaogopa kumpiga, hakuna atayekufunzia adabu mkeo zaidi yako wewe mwenyewe
Hakika
 
Unaelewa unachoongea. Mzee ukipigiwa pipe na majobless na asiookutii na mwa minifu kuna nafuu kwenye kumpata mwaminifu... wewe una mtii hata kidogo anachokisema ?
Amesema huenda,basi tujikite hapo na tumwambie kuwa kugongewa demu inauma sana ila kugongewa mke inauma zaidi.
 
Walikupa binti yao akiwa vizuuuri, wewe umeenda umemuharibu huko then unataka wakahangaike wao na shida zako!! Pambana.

Ndoa za utotoni.
ulitegema ukitoka kwa Bwana wako utakua kama mwanzo?
 
Mkuu naona unataka nikufunulie vya ndani ya shuka have imetosha nimekuelewa lakini haipo hivyo
Ok, umeeleweka, hiyo nayo ni tàtizo kubwa kama hàtekelezi wajibu uliomleta ipasavyo rudisha kwao.
Papuchi ni lazima siyo hiyari .
 
Ni kweli huwa ni Kama ushamba flan hivi ila mtu analazimishwa kufanya huu ushamba....maonyo yanakuwa mengi sana hadi inashindikana kuonya kawaida.
Ikishindikana ndo umuache aende zake. Yeye amekupa onyo mara ngapi kuhusu tabia zako na haubadiliki?
 
Back
Top Bottom