Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

Sasa nimekuelewa. kinachoboa huyu walimpointi wazazi yaani vetting ilifanyika kule nyumbani maana nilikua nishawazila kabisa wanawake.
Jifanyie vetting na wewe huenda unamapungufu ukigundua unayo jaribu kujirekebisha huenda nae atabadirika
 
kuna maamuzi hua hayahitaji taarifa au ushairi, so long as umemshirikisha mkweo ndio mana kaona haupo serious na maamuzi yako. Siku nyingine aone actions ndio atakuelewa.
 
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.

Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.

Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
Naandika kwa erufi kubwa labda utaelewa! WEWE UNAMSUMBUA BABA/MAMA WA MKE WAKO KWA LIPI KWA MFANO? WAKATI UNAMTAFUTA ULIKUWA NA AKILI TIMAMU? UMEISHAMCHAKATA SIJUI UMEISHAMZALISHA NA KUBADILI UTAMBULISHO WAKE ANAJULIKANA MKE WA MTU! UTAMRUDISHAJE KWAO? KWA KIFUNGU KIPI CHA SHERIA, MILA HIPI NA DESTURI HIPI AU DINI HIPI? HUYO WA KWAKO PAMBANA NAYE! UKIMUUA AU KUMDHURU JELA INAKUHUSU! NDO MAANA TUNAWAAMBIA VIJANA KABLA UJACHUKUA BINTI WA MTU UWE UMEKOMAA KIAKILI, KIUCHUMI, NA KIBUSARA! nipo online
 
Ikishindikana ndo umuache aende zake. Yeye amekupa onyo mara ngapi kuhusu tabia zako na haubadiliki?
Tabia zangu zinavumilika ila zake hazivumiliki na bado ninahitaji kuwa nae akiwa mwenye tabia nzuri.
 
Integemea hakusikilizi katika nyanja gani.
Katika nyanja positives in life

Kwa mfano :-

  • Wewe unaamua hivi, na yeye anaamua vingine
  • Wewe unaagiza hivi yeye anafanya vile
  • Wewe unakataza hiki, yeye anakifanya
 
mzee ukosefu wa utiifu huenda ikawa ni zaidi ya kucheat
Utiifu unarekebika, kucheat hakuna mbadala jombi.
Ukichapiwa ni umechapiwa imeisha hiyo, na uchepukaji kwa mwanamke mpumbavu ndio kunaleta hayo ya ukosefu wa adabu.

Lakini kabla ya yote na wewe jichunguze.
 
Huo ni ubinafsi. Vumilia na tabia zake. Ndoa inatakiwa hivyo
Labda tukiongeza na huu usasa tuliopo ndio tuta ishi hivyo ila tukirudi kwenye asili yetu ya mfumo dume hapa hamtoboi. Sema ndio tunaishi na wanaharakati😅
 
Wanaokubali mfumo dume wapo na hawalalamiki ulipaswa kuchagua hao
 
Naandika kwa erufi kubwa labda utaelewa! WEWE UNAMSUMBUA BABA/MAMA WA MKE WAKO KWA LIPI KWA MFANO? WAKATI UNAMTAFUTA ULIKUWA NA AKILI TIMAMU? UMEISHAMCHAKATA SIJUI UMEISHAMZALISHA NA KUBADILI UTAMBULISHO WAKE ANAJULIKANA MKE WA MTU! UTAMRUDISHAJE KWAO? KWA KIFUNGU KIPI CHA SHERIA, MILA HIPI NA DESTURI HIPI AU DINI HIPI? HUYO WA KWAKO PAMBANA NAYE! UKIMUUA AU KUMDHURU JELA INAKUHUSU! NDO MAANA TUNAWAAMBIA VIJANA KABLA UJACHUKUA BINTI WA MTU UWE UMEKOMAA KIAKILI, KIUCHUMI, NA KIBUSARA! nipo online
Wewe umeoa? ukijibu nitarudi badae
 
Katika nyanja positives in life

Kwa mfano :-

  • Wewe unaamua hivi, na yeye anaamua vingine
  • Wewe unaagiza hivi yeye anafanya vile
  • Wewe unakataza hiki, yeye anakifanya
Mkuu unaweza dhani tupo wote hapa maskani
 
kuna maamuzi hua hayahitaji taarifa au ushairi, so long as umemshirikisha mkweo ndio mana kaona haupo serious na maamuzi yako. Siku nyingine aone actions ndio atakuelewa.
kila ufanyalo mkuu lazima useto kuchambua side effects za ufanyalo.
 
Utiifu unarekebika, kucheat hakuna mbadala jombi.
Ukichapiwa ni umechapiwa imeisha hiyo, na uchepukaji kwa mwanamke mpumbavu ndio kunaleta hayo ya ukosefu wa adabu.

Lakini kabla ya yote na wewe jichunguze.
udhaifu wangu labda nipo fea sana ko akapata advantage kua ananimudu
 
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.

Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.

Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.

Binti harudishwi kwao kwa ridhaa ya Baba yake, kwani Kuna kitu unawadai?
 
Back
Top Bottom