nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #61
Wewe ulizaliwa nje ya ndoa?Siku hizi timu kataa ndoa hatuhitaji hata kampeni yaani wapinzani wanajiengua wenyewe, tunashinda bila kupingwa🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulizaliwa nje ya ndoa?Siku hizi timu kataa ndoa hatuhitaji hata kampeni yaani wapinzani wanajiengua wenyewe, tunashinda bila kupingwa🤣
Basi msubiri baba mkwe amkanye kwa simu, yataisha kiroho tu kiongozi!akiwa amefika salama siwezi umia rohoni mkuu kesi za wanawake kule kotini huchomoki hapa ndipo ilipo hofu yangu hasa
pamojaBasi msubiri baba mkwe amkanye kwa simu, yataisha kiroho tu kiongozi!
Vip iwapo tabia haibadiliki, hivi unajua changamoto ya kuishi na mwenzio ambae hakusikilizi?
Kichwa cha habari ni low level of discipline? anaweza kaidi agizo papo kwa papo huku unaona.
Sio kuwajaribu. Ndo tabia zetuHapo si anapiga kidogokidogo? 😀
Wanawake Kuna wakati huwa mnatujaribu muone tupo vipi kwenye maamuzi.
Labda unaweza niorodheshea huenda nikawa nimepungukiwa na nini?Ukiona mke kafikia hatua hiyo ya utovu wa nidhamu ujue wewe Ndio unamatatizo/umepwaya Sana Mkuu
Tulishasema katika vikao vyetu kuishi na mwanamke kunahitaji akili/maarifa na sio vitu wala kisomo Why This? B'se mwanamke amepewa kuelewa hivyo anadai Akili kutoka kwa mme wake
Kwaiyo ukiona mke kakushinda usitafute mchawi mkuu, mchawi ni wewe mwenyewe 😂👉jiangalie mwenyewe, kutathmini utagundua kuna kitu kikubwa umekosa kwaajili ya mke wako Ndio maana hakutii
Sasa hizi tabia zenu zitawaumiza maana unakuta miaka 10+ tupo pamoja bado una jaribu jaribu tu😃Sio kuwajaribu. Ndo tabia zetu
Sasa hata nikasema ndio unaweza sadiki?Ilo sikio la 3 la MKE wako huwa unalizibua vizuri Mkuu?
Kama wa kwako anavumilia kifinyo endelea tu mkuu. Mimi kifinyo hapana...utanipoteza siku hiyo hiyo.Sasa hizi tabia zenu zitawaumiza maana unakuta miaka 10+ tupo pamoja bado una jaribu jaribu tu😃
Nami nitajaribu kukujaribu kwa kifinyo kidogo
Mke haagizwi kama mtoto mdogo, ni mtu mzima na akili kà ma zako. Mkeo mnapanga utaratibu wote na namna ya kutekeleza.Kichwa cha habari ni low level of discipline? anaweza kaidi agizo papo kwa papo huku unaona.
nilipo na kwao nauli elf 60 unatembea vip kwa miguu?Mpeleke mpaka kwao na migugu(mizigo)yake yote,alafu ukirudi kwako unakaa zako kimyaaaaaa
Mkuu, amka usingizini.Mkuu hainihusu vip wakati nilienda kumchukua mwenyewe? Sasa akitokea hajafika nyumbani nani atawajibishwa? yani unafikiri mzee wake akisema tunamtaka mtoto wetu kama ambavyo tumekukabidhi utasema nini mbele ya kizimba?
Unapotelea wapiKama wa kwako anavumilia kifinyo endelea tu mkuu. Mimi kifinyo hapana...utanipoteza siku hiyo hiyo.
Mkuu naona unataka nikufunulie vya ndani ya shuka have imetosha nimekuelewa lakini haipo hivyoMke haagizwi kama mtoto mdogo, ni mtu mzima na akili kà ma zako. Mkeo mnapanga utaratibu wote na namna ya kutekeleza.
Sasa anakaidi agizo kivipi?
Ebu sema uliagiza nini akakaidi papo kwa papo tuone kama agizo lako lilikidhi vigezo vya kuwa agizo.
Usije ukawa unaagiza mambo ya kitopolotopolo.
Ashakula kozi yote kukuhusu baada ya kozi kagundua anakumudu, kagundua una uoga sana, kagundua huwez mgusa, kagundua neno polisi kwako hutak kulisikia. Kwa taarifa yako grafu ya kukudharau itaongezeka na mkisha zaa tegemea kuletewa mtoto toka nje kabisaKichwa cha habari ni low level of discipline? anaweza kaidi agizo papo kwa papo huku unaona.
Inategemea. Kupigana ni mambo flani hivi ya kishamba. Kama kakushindwa afungashe aendeUnapotelea wapi
Ikiwa ni mimi huku ndio nakufinya utapotea ila akilufinya yeye ambaye ulijaribu kumjaribu maamuzi yake utaomba tu msamaha😅
Ndio maana namuondoa mkuuAshakula kozi yote kukuhusu baada ya kozi kagundua anakumudu, kagundua una uoga sana, kagundua huwez mgusa, kagundua neno polisi kwako hutak kulisikia. Kwa taarifa yako grafu ya kukudharau itaongezeka na mkisha zaa tegemea kuletewa mtoto toka nje kabisa