Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

Mkuu nipo nae mbali mikoa miwili tofauti akipatwa na dharura njiani?
Mkoani tu? Watu wanarusha toka nje ya nchi itakua hapo mkoani! Kumrudisha tu ni msg tosha akajieleze mwenyewe. Unampigia mkwe upate nini ss? Ulitegemea jibu tofauti? Au angesema mrudishe tu? Hell no, labda kama sio mzazi
 
Mkoani tu? Watu wanarusha toka nje ya nchi itakua hapo mkoani! Kumrudisha tu ni msg tosha akajieleze mwenyewe. Unampigia mkwe upate nini ss? Ulitegemea jibu tofauti? Au angesema mrudishe tu? Hell no, labda kama sio mzazi
Kwanini hajakubali? hivi wazazi hawacaluculate effects za kukaidi ombi la kurudishwa?
 
Unajua kuna vitu ni vya aibu sasa unaanzaje kujadili udhaifu wa Mke wako kwa baba yake( mkweo) naisi tatizo lilianzia hapo mkeo hawezi kukanywa na baba yake maana huko hayupo tena bali wewe ndio unaishi naye na unapaswa kuishi naye kwa akili kama biblia ilivyosema

Sometimes usiwachukulie seriously wanawake... period
 
Uzinzi tu ndio unaweza kumuacha fasta. Hayo ya utovu wa nidhamu unamvumilia tu mpaka mwisho wa maisha yenu kama hakuna vitisho vya kuana. Ila ukishindwa kuvumilia unaacha tu kwa amani tena kimyakimya unamrudisha kwao au unajitenga naye na mahari unaacha hata kama hukuzaa naye. Amani ni tunu inatakiwa sana ndoani
 
Sasa nimekuelewa. kinachoboa huyu walimpointi wazazi yaani vetting ilifanyika kule nyumbani maana nilikua nishawazila kabisa wanawake.

Kumbe ulichaguliwa, hukumpenda mwenyewe hapo ndo tatizo lilipoanzia, kumbe haya mambo bado yapo?! Sasa decisions pia zinatoka kwa makubaliano ya wazazi wa pande mbili waliokutafutia, wakakubaliana na wakamuexport kwako, so ashakuona huna umiliki naye anamilikiwa na wazazi wake na wako, we mtunzaji tu. Unahitaji maamuzi magumu sana!
 
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.

Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.

Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
ndoa ni uvumilivu,kwenye ndoa labda kama hujafunga rasmi,kuachana hakupo
 
Vip ukamtoa kimya kimya akashukia njiani? unawajua vizuri watoto wa kike?
Sasa wewe itakuhusu nini akishuka njiani?? Huyo ni mtu mzima, huwezi kumfundisha kitu kwa demokrasia. Wewe ameshakuchosha, muondoe nyumbani kwako, wapigie tu kuwa uneshamtimua arudi kwao akajifunze, sio unaomba ridhaa ya wazazi, wao wanapewa tu taarifa kuwa mwanamke kwa sasa hayupo kwako na umemuelekeza aende kwao, afike asifike hilo halikuhusu.


Sema mzee inaonekana bado unampenda mkeo, hajakutoka bado. Mwanamke asiye mtii ukishamchoka hutaumia hata ukijua jana katoka kuliwa, maana unakua huna hisia nae tena. Sasa wewe hata makofi unaogopa kumpiga, hakuna atayekufunzia adabu mkeo zaidi yako wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom