nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #141
Hapana, kwanini?Binti harudishwi kwao kwa ridhaa ya Baba yake, kwani Kuna kitu unawadai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, kwanini?Binti harudishwi kwao kwa ridhaa ya Baba yake, kwani Kuna kitu unawadai?
Hapana, kwanini?
Kumbe huko ndani kwenu kuamrishana pia!Mkuu mimi akili yangu siwezi kuiumiza kufikiria hawa watu natumia kufikiria kutafuta pesa. iwapo anakiuka amri zangu tu sina mchezo
si kwelimzee ukosefu wa utiifu huenda ikawa ni zaidi ya kucheat
Hivi unaweza kuwa na sababu za msingi halafu badala ya kufanya maamuzi ukapiga simu huko ulikopiga?? Nadhani ninyi 2 ndio mna maamuzi.Kwanini hajakubali? hivi wazazi hawacaluculate effects za kukaidi ombi la kurudishwa?
JidanganyeMwanamke hapigwi
Yaani uishi na mwanamke ndani asiekutii na kukuheshimu? BIG NOUzinzi tu ndio unaweza kumuacha fasta. Hayo ya utovu wa nidhamu unamvumilia tu mpaka mwisho wa maisha yenu kama hakuna vitisho vya kuana. Ila ukishindwa kuvumilia unaacha tu kwa amani tena kimyakimya unamrudisha kwao au unajitenga naye na mahari unaacha hata kama hukuzaa naye. Amani ni tunu inatakiwa sana ndoani
Dah vijana kweli mnajitengenezea vitanzi vyenu wenyewe. Mwanamke Malaya,asiekutii,mchafu,mvivu piga chini hata kama mlifunga ndoa ya katoliki.ndoa ni uvumilivu,kwenye ndoa labda kama hujafunga rasmi,kuachana hakupo
Sasa hapo unamkomoa nani,pia hiyo ndio itakuwa na maana gani sasa? Mwanamke asiekutii na kukuheshimu piga chini ASAP.Kosa kubwa la kumrudisha m/ke kwao ni kucheat tu hayo mengine ni rahisi sana kuya-solve ,dawa ya kiburi ni jeuri au dawa ya bishoo kuwa bishoo zaidi yake ,dawa ya moto ni moto ,badili lyf style yako naye atabadilika na kuanza kukutiii....inaonekana haumjali kwenye mahitaji yake.
Una utoto mwingi,ndio maana hakutii wala kukuheshimu.Mkuu hainihusu vip wakati nilienda kumchukua mwenyewe? Sasa akitokea hajafika nyumbani nani atawajibishwa? yani unafikiri mzee wake akisema tunamtaka mtoto wetu kama ambavyo tumekukabidhi utasema nini mbele ya kizimba?
Teh teh teh,wanakuja kuomba kura za ndio au hapana.Siku hizi timu kataa ndoa hatuhitaji hata kampeni yaani wapinzani wanajiengua wenyewe, tunashinda bila kupingwa🤣
Jidanganye,ngonjera unaleta kwenye uhalisia.Ukiona mke kafikia hatua hiyo ya utovu wa nidhamu ujue wewe Ndio unamatatizo/umepwaya Sana Mkuu
Tulishasema katika vikao vyetu kuishi na mwanamke kunahitaji akili/maarifa na sio vitu wala kisomo Why This? B'se mwanamke amepewa kuelewa hivyo anadai Akili kutoka kwa mme wake
Kwaiyo ukiona mke kakushinda usitafute mchawi mkuu, mchawi ni wewe mwenyewe 😂👉jiangalie mwenyewe, kutathmini utagundua kuna kitu kikubwa umekosa kwaajili ya mke wako Ndio maana hakutii
Bado upo too general mkuu jaribu kuja with clear examples
HUNA AKILI YA KUISHI NA MWANAMKE BORA UBAKI BILA KUOA TU,UENDELEE KUSUKUMA PULIHivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.
Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.
Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
mulinikabidhi?!! kwani mwanamke ni furushi? ..yule ni mtu mzima na maamuzi yake...ebooooh!Mkuu hainihusu vip wakati nilienda kumchukua mwenyewe? Sasa akitokea hajafika nyumbani nani atawajibishwa? yani unafikiri mzee wake akisema tunamtaka mtoto wetu kama ambavyo tumekukabidhi utasema nini mbele ya kizimba?
Hapo wwe ndiyo umefeli kama kichwa cha familia inabidi tukurudishe jandoni ukanalowe upya jinsi ya kuwaongoza hao viumbe, nyoosha hicho kiumbe na ukiona kimeshindakana piga chini mazima!!Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine.
Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya uvunjifu wa nidhamu ili aonywe na ilifanyika hivyo ila Leo simu ilikua ya tofauti kidogo nimeomba arudi akaonywe kule physically.
Hawa wanawake, kuna muda unapaswa uwe tu kama yule rais wa Ufiilipino iwapo utadakwa na madawa ya kulevya.
Bora meno wataeka bandia, hao wanao uawa kabisa? Kama mimi nafunga safari naenda kumchukua sisubiri aletwe, maana mkwe mpaka kufikia hatua kuwapigia simu kwao binti shida ipo kubwa na amefika mwishoKuna wazazi wamewachoka watoto wao. Mimi ningesema sawa baba mrudishe haraka.
Mara kadundwa katolewa meno...