Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Dec 3, 2024 #161 Sweet16 said: Bora meno wataeka bandia, hao wanao uawa kabisa? Kama mimi nafunga safari naenda kumchukua sisubiri aletwe, maana mkwe mpaka kufikia hatua kuwapigia simu kwao binti shida ipo kubwa na amefika mwisho Click to expand... Huyo baba kamchoka binti yake😀
Sweet16 said: Bora meno wataeka bandia, hao wanao uawa kabisa? Kama mimi nafunga safari naenda kumchukua sisubiri aletwe, maana mkwe mpaka kufikia hatua kuwapigia simu kwao binti shida ipo kubwa na amefika mwisho Click to expand... Huyo baba kamchoka binti yake😀
Mickbrown JF-Expert Member Joined Sep 13, 2022 Posts 409 Reaction score 496 Dec 3, 2024 #162 nipo online said: mzee ukosefu wa utiifu huenda ikawa ni zaidi ya kucheat Click to expand... Kaka komaa tuu Yani huyo ni wakwako tuu,usije muacha ukaokota tatizo kubwa zaid
nipo online said: mzee ukosefu wa utiifu huenda ikawa ni zaidi ya kucheat Click to expand... Kaka komaa tuu Yani huyo ni wakwako tuu,usije muacha ukaokota tatizo kubwa zaid