Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Dingi kaucharaza upeo wakeBarua za kizamani kinoma 'eti mbali na upeo wa macho yetu'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dingi kaucharaza upeo wakeBarua za kizamani kinoma 'eti mbali na upeo wa macho yetu'
Wazee wengine kama wanga vileNenda hospital mwambie Nurse akufungashie
Angesema tu sitaki mumuoe binti yanguMbinu za kukataliwa hizo.
Wameshindwa tu kuwaambia ukweli.
Hahahahahaha..... Sasa hayo magovi wanaenda kuyala au ?[emoji23][emoji23]Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.
Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.
Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.
Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?
Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.
Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.
Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.
Isome mwenyewe hiyo barua.
Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.
View attachment 2350522
Mbona fasta tu kuna kampeni ya tohara pande za ujaluoni huko unga tela wakikata ww beba govi baba mkwe akachemshe supu . Usilie lieUkiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.
Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.
Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.
Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?
Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.
Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.
Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.
Isome mwenyewe hiyo barua.
Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.
View attachment 2350522
Uzi ufungwe jibu tayari hili hapaMpe mimba binti yaoo
Si unampa laki Dr pale Amana Hospital anakukusanyia.Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.
Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.
Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.
Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?
Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.
Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.
Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.
Isome mwenyewe hiyo barua.
Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.
View attachment 2350522
Yanatakiwa ya watu wazima, labda ningeenda Kagera ningepata, maana kule hawatahiriwi hadi wamalize elimu ya chuo kikuuSi unampa laki Dr pale Amana Hospital anakukusanyia.
Mtu anayetaka magovi badala ya vitu vya maana huyo ni mtu wa kuogopwa, asije akamtendea uovu kijana wetuDawa ni kumtia mimba tu huyo binti. Mtoto akichangamka unaweka kitu tena mpaka wenyewe watamuachia bila ya masharti.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hata usukumani.Yanatakiwa ya watu wazima, labda ningeenda Kagera ningepata, maana kule hawatahiriwi hadi wamalize elimu ya chuo kikuu
Unampa mimba binti wa mtaka magovi? Huenda hayo magovi kwake ni chakula, je unajua atakufanya nini baada ya kumpa binti yake mimba?Uzi ufungwe jibu tayari hili hapa
Nayahufadhije yasiharibike? Kutoka Mtwara hadi Sirari Ujaluoni huko ni mwendo wa siku nyingiMbona fasta tu kuna kampeni ya tohara pande za ujaluoni huko unga tela wakikata ww beba govi baba mkwe akachemshe supu . Usilie lie
Hahahahahaha..... Sasa hayo magovi wanaenda kuyala au ?[emoji23][emoji23]