Baba mkwe Shahidi wa Yehova kakataa mahari ya pesa, anataka apelekewe magovi matano ya watu wazima

Attachments

  • IMG-20220909-WA0011.jpg
    IMG-20220909-WA0011.jpg
    19.3 KB · Views: 10
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.

Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)

Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.

Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.

Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.

Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?

Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.

Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.

Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.

Isome mwenyewe hiyo barua.

Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.

View attachment 2350522
Kama mko tayari kupeleka hayo magovi tuwasiliane, ili niende mochuari nikuletee.
 
Shida sio kupata hayo magovi, ila hata huyo anayeoa huko inabidi atafakari tena. Mwisho wa siku ndoa itakuja kua chungu bure.
 
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.

Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)

Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.

Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.

Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.

Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?

Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.

Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.

Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.

Isome mwenyewe hiyo barua.

Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.

View attachment 2350522
Bujibuji tunakunyang'anya kanisa soon.

Mtumiahi unawalisha watu chai kwa viwembe ni hatari kubwa🤣🤣
 
Mashahidi wa yehova ndo nini Cha mihimu mungu anaishi,yesu yupo ma sisi tupo tunaishi kwa Imani ,Yani Kuna familia za kiafrica zingine jamani wanapoteza bahati za mabinti Waoo
..sababu ya mambo yasiyokiwa na kichwa ambayo ata yesu akuyaacha duniani ,
 
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.

Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)

Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.

Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.

Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.

Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?

Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.

Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.

Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.

Isome mwenyewe hiyo barua.

Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.

View attachment 2350522
Tia mimba pita ivi
 
Acheni Ujinga
Mwambieni Mpwa wenu amtie Mimba huyo Binti halafu aendelee na Shughuli zake
Watamtafuta wenyewe tu
 
Unayajua magovi au unayasikia? Wewe unayaonea kinyaa baba wa binti anayataka. Je kama sio mchawi ni nani?
 
Back
Top Bottom