moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asanteeeNiandalie milioni 3, nitakufuatia huko Pwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asanteeeNiandalie milioni 3, nitakufuatia huko Pwani
Utajuaje kuwa mtu fulani anaSi wanaulizana hai
Si waulizane hao wahusika wanaotaka kuoa, wajitaje tu wenyewe? Au watafute mademu kisha wamtegee kila mtu anaehusika na hiyo ndoa, kisha wenye magovi wanachaguliwa, na kupelekwa.Utajuaje kuwa mtu fulani ana govi?
Mpemba Mimi umevurugwaSi waulizane hao wahusika wanaotaka kuoa, wajitaje tu wenyewe? Au watafute mademu kisha wamtegee kila mtu anaehusika na hiyo ndoa, kisha wenye magovi wanachaguliwa, na kupelekwa.
Naogopa hata kuunganisha nao ukoo. Yaani yule mzee awe mzazi mwenza wetu???Beba hiyo barua peleka polisi ili waitwe wakuonyesho wapi wanapopatia(ga) hicho walichokuagiza maana haiwezekani wakurupuke hiyo ni desturi yao. Wasipoonyesha waulize wewe ungepata wapi? Hakuna ndoa hapo wachafulie halafu binti akijileta atundikwe mimba msubiri msikie watasemaje tena
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu. Kwa hiyo ndio maana mkaamua kututoza mahari ya magovi? Je huwa mnayafanyia nini? Au ni mboga?Hii familia yenu ni yakijinga sana.
Asante mkuu, hatuna tena nguvu ya kurudi kuleUna sh ngapi nikutafutie fasta mkuu?
Nakazia ✍️✍️✍️Buji nyanaume unaniangusha Kikolo mbona kuna kampeni za kudodosha mikono ya sweta kwa nini usiongee na Dr wakupatie mzigo wa kutosha!!!. Jiongeze Kikolooo
Tukutane tar 18 sep mwaka gani huo? 2020Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.
Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.
Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.
Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?
Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.
Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.
Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.
Isome mwenyewe hiyo barua.
Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.
View attachment 2350522
Inawezekana ni kweli na nibwa imani hiyo lkn huo ni msimamo hauusiani na dini. Ila kwa vile dini hyo ni watata... Mshenga akaunganisha matukioUmefanya kosa kubwa sana kuwachafua mashahidi wa Yehova na uchafu/uongo uliouandika hapa kwenye hii forum.
Laiti ungejua ukubwa wa kosa ulilolifanya ungeomba moderators waufute uzi huu. Story yako haina ukweli wowote ule. Hakuna shahidi wa Yehova yeyote ambae anaweza kufanya hicho ulichosema.
Mimi nimesharipoti huu uzi ufutwe kwa sababu umelenga kuwachafua mashahidi wa Yehova, hauna maana yoyote nyingine zaidi ya hiyo.
Ukisoma tarehe ya juu, mwanzo wa barua ni mwaka 2022. Huo mwaka wa ndani ya barua nadhani ni makosa tu ya kiuandishi, hasa ukizingatia umri wa mwandishi ni mtu mzima sana.Tukutane tar 18 sep mwaka gani huo? 2020
Hilo ndio azimio letu. Hata bwana mdogo tume mshauri aachane na huyo binti, kwani hata wakisema wazae bila ndoa, atakuwa anauunganisha ukoo na watu wa ajabu.Kiufupi,
Ni Familia ya kichawi hiyo mkuu,
Ushauri wangu: usioe Hapo,utajuta
Kuandika Baba Mkwe Shahidi wa Yehova sio kosa. Wala sijasema Mashahidi wa Yehova hawapokei mahari nyingine isipokuwa magovi.Umefanya kosa kubwa sana kuwachafua mashahidi wa Yehova na uchafu/uongo uliouandika hapa kwenye hii forum.
Laiti ungejua ukubwa wa kosa ulilolifanya ungeomba moderators waufute uzi huu. Story yako haina ukweli wowote ule. Hakuna shahidi wa Yehova yeyote ambae anaweza kufanya hicho ulichosema.
Mimi nimesharipoti huu uzi ufutwe kwa sababu umelenga kuwachafua mashahidi wa Yehova, hauna maana yoyote nyingine zaidi ya hiyo.
Mtoto atakuwa na element za uchawiHapo tayari wameshatangaza vita. Kijana akutane na binti wapate mtoto maisha yaendelee. Wazee wanakuwa wadwanzi kama nini.