Baba mkwe Shahidi wa Yehova kakataa mahari ya pesa, anataka apelekewe magovi matano ya watu wazima

Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.

Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)

Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.

Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.

Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.

Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?

Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.

Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.

Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.

Isome mwenyewe hiyo barua.

Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.

View attachment 2350522
Hayp magovi mnawapelekea yakiwa yameshakatwa ? Au wanataka muende na wanaume watano wenye magovi?
 
Mwambie atafute mwanasheria mwekeane mkataba kwanza magovi unayapata tuu si ishu
 
Nilipokuwa Russia hiyo dini ya Jehovah Witness ilipigwa marufuku, ni watata sana, bora wafe kuliko kuongezewa damu
Mental slavery Ni mbaya mno yaani mno. Binafsi sijataka hata mke wangu aende kanisani. Tunaelekezana Cha kufanya hapa hapa nyumbani. Huko watu wanaenda ku socialize Wala hakuna ka zaidi.
 
Mwanamke- Mke ni kitu Gani kikubwa ana kitoa kwa Mume wake zaidi ya Ngono

Mwenye namba ya huyu Pastor wa Kike anisaidie na kama unajua hata kwao niambieni huenda wadogo wake wakawa wanawake bora kwenye ndoa

"Nataka mwanaume mwenye magari. Nataka mwanaume mwenye viwanja. Shogangu, wewe una nini?"Tanzanian preacher Rose Shaboka challenges women during a sermon.
"Wengine vitu walivyonavyo ni wanja, lipstick na powder; anataka mwenzie mwenye magari, viwanja na nyumba. Kavitoa wapi huko ambako wewe huwezi kwenda kuvitafuta?"
"Ukimpata mwanaume ambaye ana mahusiano mazuri na Mungu, huyo ni benki ya upendo. A man who does not love God cannot love you. Magari na majumba ni muhimu lakini sio priority," the preacher added.
 
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.

Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)

Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.

Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.

Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.

Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?

Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.

Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.

Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.

Isome mwenyewe hiyo barua.

Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.

View attachment 2350522
Una sh ngapi nikutafutie fasta mkuu?
 
Walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba wanapiga injili, kugawa vipeperushi hawafanyi kazi yoyote
Pole saaana, haya vipeperushi wanatoa wapi? Wanaomba sadaka? Ushawahi ona wanaomba chakula, ada hela ya matibabu sehemu? Unajua cost ya kipeperushi kimoja chenye rangi?ukiwa interested unapewa Bure.think big ndg!
 
Moja ya dhehebu gumu kabisa kuishi nao hata kwa ujirani tu ni hilo. Na kama wamekolea katika hiyo dini kuoa haiwezekani asilani. Hao hata kuimba mwimbo wa taifa kwao ni dhambi kmmke
Bora hao kuliko wale washenzi wanao jiripua na kuua wenzao kisa dini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Moja ya dhehebu gumu kabisa kuishi nao hata kwa ujirani tu ni hilo. Na kama wamekolea katika hiyo dini kuoa haiwezekani asilani. Hao hata kuimba mwimbo wa taifa kwao ni dhambi kmmke
Mkuu wa kaya na familia yake waligoma kuhesabiwa wakaswekwa ndani na Polisi 😃😃
 
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.

Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)

Kwa kweli mapokezi yalikuwa baridi sana, na tukadhania huenda tungeitiwa wezi. Binti alifichwa na hatukuwa na mwenyeji hata mmoja.

Wenyeji walitupokea, wakatukaribisha chini ya mti na kutuacha kwa zaidi ya masaa manner, huku wao wakiwa ndani wakiendelea na kikao chao.

Baada ya masaa manne kupita hatimaye wakaja tulipo na kuanza kutuuliza maswali ya kebehi sana kuhusu imani yetu.

Wakatuambia wao ni Mashahidi wa Yehova, kwanini tumeenda kumposa binti yao tusitafute binti wa dhehebu letu?

Tukajibu kuwa sisi wote ni Wakristo, lakini hawakuridhishwa na jibu hilo. Dhihaka na kebehi zikaendelea.

Hatukupewa chakula wala maji hadi tunaondoka, tulaambiwa majibu yetu yatafuata kwa barua.

Leo jioni mshenga katuletea barua yenye jibu la ombi letu. Tunatakiwa kupeleka magovi matano ya wanaume watu wazima.

Isome mwenyewe hiyo barua.

Wito wangu kwenu wazazi, kama hamtaki binti yenu aolewe na mtu msiye mtaka, muwe wawazi, sio mnaleta mambo ya ajabu ajabu.

View attachment 2350522
Beba hiyo barua peleka polisi ili waitwe wakuonyesho wapi wanapopatia(ga) hicho walichokuagiza maana haiwezekani wakurupuke hiyo ni desturi yao. Wasipoonyesha waulize wewe ungepata wapi? Hakuna ndoa hapo wachafulie halafu binti akijileta atundikwe mimba msubiri msikie watasemaje tena

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom