Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa nq elimu anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki. Simwelewi kabisa.
Ankili za matope zomejaa tele...
 
E

Kwahiyo alivyokupa mke na msaada Tena unataka,acha bongo lala chakata fursa wewe msenge.
 
Wazee wa kuteleza eee - tafuta zako ili uke umwachsie mwanao kijana.
 
Ukisikia komeo ndo hili[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa nq elimu anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki. Simwelewi kabisa.
Umekuja kumsengenya JF baba wa mkeo. Huku ni kujitafutia laana bure.

Ova
 
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo.

Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa nq elimu anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki. Simwelewi kabisa.
Umesema umesoma na una uwezo kifedha? Halafu unamshauri mkeo akaombe gawio la kiinua mgongo kwa mzazi wake? Hapa umefeli mkuu. Acha mzee afurahie pesa yake aliyoitafuta kwa jasho msije kumuua mzee wa watu kisa mali. Nina wasiwasi una hasira na baba yako umeamua uzihamishie kwa baba wa mke wako. Wewe hudumia mke wako mkuu na elimu yako ingefaa imsaidie namna ya kuwekeza kiinua mgongo chake kwenye bonds huko BOT na UTT aendelee kula mshahara bila kutumia nguvu uzeeni.
 
Wew ndio unajisifu una Elimu, yaan wew ulioa bint huyo kwa mahesabu hayo mzeeya yaan umefeli , Hapo mwanzo ulivyojisifu alafu huku chin ni mpuuz tuu fulan
 
😅😅😅
 
hivi mnaolike nyuzi za aina hii huwa mkoje vichwani?

Like 11??
 
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa nq elimu anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki. Simwelewi kabisa.
Nawachukia sana watu kama nyie,na huyo MKE wako pia hana akili

Tafuta pesa zako kijana,inaonekana UNAWEZA hata kuua ili upate Mali,
Shame on you
 
Mali ni zake sio zako kwa hiyo usimpangie matumizi please!! Kuna siku utamtuma akumuwekee sumu.. Nakuapia hata ukizipata hizo mali zitapotea zote..
Haziwezi potea dogo watu tuna mipango tayari kuna biashara za kufanya. Usidhani tunakurupuka tu.
 
Umesema umesoma na una uwezo kifedha? Halafu unamshauri mkeo akaombe gawio la kiinua mgongo kwa mzazi wake? Hapa umefeli mkuu. Acha mzee afurahie pesa yake aliyoitafuta kwa jasho msije kumuua mzee wa watu kisa mali. Nina wasiwasi una hasira na baba yako umeamua uzihamishie kwa baba wa mke wako. Wewe hudumia mke wako mkuu na elimu yako ingefaa imsaidie namna ya kuwekeza kiinua mgongo chake kwenye bonds huko BOT na UTT aendelee kula mshahara bila kutumia nguvu uzeeni.

Anatakiwa ashee na mtoto wake pesa amepata nyingi sana. Yeye umri umeenda sasa amalize kisha ategemee akizeeka sisi tumwangalie. Ndo atasoma namba sasa.
 
Wew ndio unajisifu una Elimu, yaan wew ulioa bint huyo kwa mahesabu hayo mzeeya yaan umefeli , Hapo mwanzo ulivyojisifu alafu huku chin ni mpuuz tuu fulan
Mimi hakuna sehemu nimekutukana. Nimesoma nina Degree IFM na Diploma CBE unadhani ni kama wewe kilaza. Mi natoa ushauri wa kitaalamu wa mambo ya fedha.
 
Hii nchi ishakua na mambo mengi ya kipuuzi sana...☹️
 
Back
Top Bottom