United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Ulichokiandika ni kuntu!Kwa upande wangu umekosea sana na umemkosea binti umempotezea muda wake, alafu istoshe always mahusiano yanadumu pale unapendwa kuliko wewe unavyopenda kwasababu mwanamke atakua na utii kwako siku zote blaza. Huko unakoenda kuoa inaonesha wewe ndo umependa sana kuliko binti unayetaka kumuoa, hii inaonesha kwamba utateseka sana na huyo mwanamke hakuna ndoa inayodumu mwanaume akipenda zaidi ya mwanamke.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nashukuru Kwanza Kwa maoni yako mkuu.....huyu mke awali hata kabla mambo hayaja haribika sana hakuwa tayar kukubali mambo ya uke wenza....lkn kama akikubali bado nafasi IPO ya kufanya hivyo na kulea watoto wetu....na kuhusu watoto kuchukia inategemea mmeachana vipi....kama mmeachana Kwa ugomvi basi mara nyingi huwa rahisi Sana Kwa mwanamke kupandikiza chuki Kwa watoto kuwa Baba yenu ndio mbaya.....lkn Kwa kesi yetu Sisi ni tofauti tumeachana Kwa Amani kabisa...naamini kila kitu kitaenda sawaif Kam ni sheikh kwanin usingeoa mke wa pili kuliko kumuacha kabisa huy mke wa mwanzo umempotezea mda tu dada wa watu kaa ukijua wanao hawata kuja kkupenda Ata ufanyaje kitu gan Kam huamini subir wakue ndio utajua
Asante Kwa maoni yako mkuu.....ishu sio kupendwa Bali ishu ni upendo ndani ya ndoa....kama yeye ananipenda Ila Mimi simpendi je huoni hapo kuna tatizo....ujue yeye ni mwanadamu itafikia kipindi ataona yeye ndo anajitoa zaidi kuliko Mimi....na kibaya Zaidi wanawake ni watu WA hisia Sana...wanapenda kupendwa na kuonyeshwa mahaba...na kama ulifuatilia maelezo yangu vizur...nilisema alikuwa analalamika kuwa hakuna mapenzi ndani ya ndoa...tunaishi kama wazee! Kwahiyo mwisho wa siku angeshindwa na kutafuta faraja nje na ndo yangekuwa haya haya coz kama ningegundua amecheat basi ndoa ingevunjika vile vile....kwahiyo bado naamini nimefanya uamuzi sahihi.Kwa upande wangu umekosea sana na umemkosea binti umempotezea muda wake, alafu istoshe always mahusiano yanadumu pale unapendwa kuliko wewe unavyopenda kwasababu mwanamke atakua na utii kwako siku zote blaza. Huko unakoenda kuoa inaonesha wewe ndo umependa sana kuliko binti unayetaka kumuoa, hii inaonesha kwamba utateseka sana na huyo mwanamke hakuna ndoa inayodumu mwanaume akipenda zaidi ya mwanamke.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwanza nikiri kuwa umeandika maoni yako Kwa akili kubwa Sana...maana ambayo haipo wazi Sana lkn ina ujumbe mzito.....ktk swala la mapenzi ingawa wengi hamkubali ni kuwa moyo unapenda Kwanza halafu akili inachanganua na kuona je upendo huu upo mahala pake au sio pake....Kwa mfano moyo unaweza kukufanya kumpenda mke WA mtu lkn akili ndo itachanganua sasa..je ni sahihi kweli kutembea na mke WA mtu? Jibu ni hapana sio Sawa.....Nilishakufa tayari naishi kwa sababu ya ukweli. Penye ukweli ndipo ninapopenda na ninapopenda ndipo ninapoishi.
Wanasema uzuri upo kwenye jicho la muonaji! Lakini yule ambaye hana uzuri ndani ya moyo wake hawezi kuutambua uzuri wa nje anaouna kwa macho yake.
Tuna moyo na tuna akili. Unaruhusiwa kupenda lakini akili inafafanua maslahi ya unapopenda faida na hasara ni ipi?! Umekubali moyo ukuendeshe huku akili ikisubiri maamuzi ya moyo.
Hii kweli kabisaMkuu umenena vizuri Sana lazima kuwe na uwiano WA hisia,mitazamo na Tabia kinyume cha hapo hakuna mapenzi.
Unajua kuna udhaifu kama labda kisirani,au kiburi na kadhalika waeza kuvumulia....na utaweza kuvumilia Tu kama Una mapenzi ya dhati Kwa mwenza wako.....lkn kama huna hisia juu yake ni vigumu kuwa nae na hata kuvumilia madhaifu mengine
Kabisa kabisa mkuu. Uwiano wa HISIA, TABIA & MITAZAMO muhimu sana kwenye mahusiano.Mkuu umenena vizuri Sana lazima kuwe na uwiano WA hisia,mitazamo na Tabia kinyume cha hapo hakuna mapenzi.
Unajua kuna udhaifu kama labda kisirani,au kiburi na kadhalika waeza kuvumulia....na utaweza kuvumilia Tu kama Una mapenzi ya dhati Kwa mwenza wako.....lkn kama huna hisia juu yake ni vigumu kuwa nae na hata kuvumilia madhaifu mengine
🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻Mkuu EINSTEIN112 nafarijika Sana kupata maoni yenu nyie ambao mnajua hii ishu ilivyo....shukrani
Sawa mkuu....nimenote point moja muhimu Sana....kuwa hukupenda kufa Ila ina maana kupenda umependa lkn sio Ile saana kivile.....Hisia hubadilika. Mimi naweza sema sikuowa kwasababu za hisia. Niliona tabia na mtazamo wake kimaisha unaendana na mimi. Niseme ulikuwa uamuzi bora kabisa maishani mwangu.
Ninamtimizia haki zake zote. Habari ya hisia nye nye nye kwangu haina nafasi. Nidhamu kwanza na hivyo huwa natimiza haki zake kama mume. Nipo kwenye ndoa mwaka wa 15 na sijilaumu. Pia siwezi kusema kuwa nimewahi kupenda kufa. 😂
Sawa nikuoe basi...Mi nawaambia daily humu,oaneni mkiwa mmependana...Watu Oo,mara ee.Haya sawa
Ni kitu ambacho hakiwezekani jiraniSawa nikuoe basi...
Jirani nimejipanga ujue...Ni kitu ambacho hakiwezekani jirani