Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

if Kam ni sheikh kwanin usingeoa mke wa pili kuliko kumuacha kabisa huy mke wa mwanzo umempotezea mda tu dada wa watu kaa ukijua wanao hawata kuja kkupenda Ata ufanyaje kitu gan Kam huamini subir wakue ndio utajua
 
Kwa upande wangu umekosea sana na umemkosea binti umempotezea muda wake, alafu istoshe always mahusiano yanadumu pale unapendwa kuliko wewe unavyopenda kwasababu mwanamke atakua na utii kwako siku zote blaza. Huko unakoenda kuoa inaonesha wewe ndo umependa sana kuliko binti unayetaka kumuoa, hii inaonesha kwamba utateseka sana na huyo mwanamke hakuna ndoa inayodumu mwanaume akipenda zaidi ya mwanamke.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nilishakufa tayari naishi kwa sababu ya ukweli. Penye ukweli ndipo ninapopenda na ninapopenda ndipo ninapoishi.

Wanasema uzuri upo kwenye jicho la muonaji! Lakini yule ambaye hana uzuri ndani ya moyo wake hawezi kuutambua uzuri wa nje anaouna kwa macho yake.

Tuna moyo na tuna akili. Unaruhusiwa kupenda lakini akili inafafanua maslahi ya unapopenda faida na hasara ni ipi?! Umekubali moyo ukuendeshe huku akili ikisubiri maamuzi ya moyo.
 
Ulichokiandika ni kuntu!
 
if Kam ni sheikh kwanin usingeoa mke wa pili kuliko kumuacha kabisa huy mke wa mwanzo umempotezea mda tu dada wa watu kaa ukijua wanao hawata kuja kkupenda Ata ufanyaje kitu gan Kam huamini subir wakue ndio utajua
Nashukuru Kwanza Kwa maoni yako mkuu.....huyu mke awali hata kabla mambo hayaja haribika sana hakuwa tayar kukubali mambo ya uke wenza....lkn kama akikubali bado nafasi IPO ya kufanya hivyo na kulea watoto wetu....na kuhusu watoto kuchukia inategemea mmeachana vipi....kama mmeachana Kwa ugomvi basi mara nyingi huwa rahisi Sana Kwa mwanamke kupandikiza chuki Kwa watoto kuwa Baba yenu ndio mbaya.....lkn Kwa kesi yetu Sisi ni tofauti tumeachana Kwa Amani kabisa...naamini kila kitu kitaenda sawa
 
Kwa upande wangu umekosea sana na umemkosea binti umempotezea muda wake, alafu istoshe always mahusiano yanadumu pale unapendwa kuliko wewe unavyopenda kwasababu mwanamke atakua na utii kwako siku zote blaza. Huko unakoenda kuoa inaonesha wewe ndo umependa sana kuliko binti unayetaka kumuoa, hii inaonesha kwamba utateseka sana na huyo mwanamke hakuna ndoa inayodumu mwanaume akipenda zaidi ya mwanamke.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Asante Kwa maoni yako mkuu.....ishu sio kupendwa Bali ishu ni upendo ndani ya ndoa....kama yeye ananipenda Ila Mimi simpendi je huoni hapo kuna tatizo....ujue yeye ni mwanadamu itafikia kipindi ataona yeye ndo anajitoa zaidi kuliko Mimi....na kibaya Zaidi wanawake ni watu WA hisia Sana...wanapenda kupendwa na kuonyeshwa mahaba...na kama ulifuatilia maelezo yangu vizur...nilisema alikuwa analalamika kuwa hakuna mapenzi ndani ya ndoa...tunaishi kama wazee! Kwahiyo mwisho wa siku angeshindwa na kutafuta faraja nje na ndo yangekuwa haya haya coz kama ningegundua amecheat basi ndoa ingevunjika vile vile....kwahiyo bado naamini nimefanya uamuzi sahihi.

Huyu ambaye natarajia kuwa nae kiukweli ananipenda pia nimejiridhisha juu ya Hilo....na alimhurumia Sana mwanamke mwenzake na akataka pia ikiwezekana nimrudie mke wangu pia wawe wote....so itategemea na maamuzi ya huyo aliyekuwa mke wangu kama ataafiki au laa.
 
Nilishakufa tayari naishi kwa sababu ya ukweli. Penye ukweli ndipo ninapopenda na ninapopenda ndipo ninapoishi.

Wanasema uzuri upo kwenye jicho la muonaji! Lakini yule ambaye hana uzuri ndani ya moyo wake hawezi kuutambua uzuri wa nje anaouna kwa macho yake.

Tuna moyo na tuna akili. Unaruhusiwa kupenda lakini akili inafafanua maslahi ya unapopenda faida na hasara ni ipi?! Umekubali moyo ukuendeshe huku akili ikisubiri maamuzi ya moyo.
Kwanza nikiri kuwa umeandika maoni yako Kwa akili kubwa Sana...maana ambayo haipo wazi Sana lkn ina ujumbe mzito.....ktk swala la mapenzi ingawa wengi hamkubali ni kuwa moyo unapenda Kwanza halafu akili inachanganua na kuona je upendo huu upo mahala pake au sio pake....Kwa mfano moyo unaweza kukufanya kumpenda mke WA mtu lkn akili ndo itachanganua sasa..je ni sahihi kweli kutembea na mke WA mtu? Jibu ni hapana sio Sawa.....

Kwahiyo moyo na akili vinategemeana ktk swala zima la mapenzi...moyo umeona kuwa simpendi mke wangu na akili ikachanganua kwa kuona madhara ambayo yatatokea ktk ndoa hii...moja wapo ni kukosa furaha ya ndoa na pili ni kufuatiwa na usaliti.

Ni ngumu kukubali lkn ndio Hali halisi.
 
Mkuu umenena vizuri Sana lazima kuwe na uwiano WA hisia,mitazamo na Tabia kinyume cha hapo hakuna mapenzi.

Unajua kuna udhaifu kama labda kisirani,au kiburi na kadhalika waeza kuvumulia....na utaweza kuvumilia Tu kama Una mapenzi ya dhati Kwa mwenza wako.....lkn kama huna hisia juu yake ni vigumu kuwa nae na hata kuvumilia madhaifu mengine
Hii kweli kabisa
 
Kabisa kabisa mkuu. Uwiano wa HISIA, TABIA & MITAZAMO muhimu sana kwenye mahusiano.

Wengi wanaona kwa tamaa awali ambazo ni kama chaji tu, zitakwisha baada ya miezi sita - mwaka mmoja.

Mwanamke hatulii mpaka ajitulize,
Mwanaume hatulii mpaka atulizwe.
 
Hisia hubadilika. Mimi naweza sema sikuowa kwasababu za hisia. Niliona tabia na mtazamo wake kimaisha unaendana na mimi. Niseme ulikuwa uamuzi bora kabisa maishani mwangu.

Ninamtimizia haki zake zote. Habari ya hisia nye nye nye kwangu haina nafasi. Nidhamu kwanza na hivyo huwa natimiza haki zake kama mume. Nipo kwenye ndoa mwaka wa 15 na sijilaumu. Pia siwezi kusema kuwa nimewahi kupenda kufa. 😂
 
Ertiglul eeeh Kwani turgutbyupo wap mbona hujarudi nae?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

By the way nmepata kitu
 
Sawa mkuu....nimenote point moja muhimu Sana....kuwa hukupenda kufa Ila ina maana kupenda umependa lkn sio Ile saana kivile.....
 
Ertiglul eeeh Kwani turgutbyupo wap mbona hujarudi nae?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

By the way nmepata kitu
kelphin daah turgut bwana tumepotezana ktk harakati zetu lkn naamini atarudi kama Mimi nilivyorudi kambini....
 
Back
Top Bottom