Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,383
- 9,337
Pombe haziharibiki, anafaulisha ama kuweka ome akiangalia sehemu ingineHalafu huo mzigo alionunua kashauingiza dukani anaufanyia nn mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe haziharibiki, anafaulisha ama kuweka ome akiangalia sehemu ingineHalafu huo mzigo alionunua kashauingiza dukani anaufanyia nn mkuu?
1. Akurudishie pesa ya matengenezo yako yote uliyafanya ili uhamie pengine.Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki.
Niende kwenye mada moja kwa moja
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store.
Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka kufanya biashara gani.
Nikanza maandalizi ya kufungua biashara yangu Jana nikaleta mzigo wa pombe Kali ambazo nimefungasha kutoka jijini Dar es salaam.
Baada ya kumaliza kushusha na kuingiza mzigo wangu kwenye fremu yangu nikaondoka nikarudi nyumbani kwangu nikisubiri mzigo mwengine ufike ili niaze kufanya biashara mnamo tarehe moja January 2024.
Chakushangaza asubuhi ya leo Kama saa kumi na mbili na nusu napokea simu ya baba mwenye nyumba akisema amekaa na familiya na wamekubaliana hawaruhusu biashara ya pombe kwenye Nyumba yao nilichoka na kukosa Cha kumjibu.
Nikamhoji mbona hukuliweka Hilo kwenye mkataba na kwanini hukusema wakati na kodisha akasema Mimi sikumuambia nataka nifanye biashara gani
Nikamueleza wazo la biashara nilangu ww umekodisha fremu ili Mimi nifanye biashara halali ambayo haivunji Sheria za nchi.
Kama unaitikadi zako kuhusu biashara flani ilikupasa uweke kwenye mkataba ili mimi nikisoma naelewa kwakua siwezi kujua itikadi yako Kama hujasema au kuweka wazi.
Wakuu nachanganyikiwa sielewi nimeshatumia pesa ya kutosha alafu mwenye nyumba anakuja na hoja Kama hii naombeni ushauri wenu wakuu.
Wewe mwambie akurudishie pesa yako ukatafute sehemu nyingineWanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki.

Huo mkataba umeuona ?Nini maana ya mkataba, au hapa huwa mnasaini tu, na je ipoje mkataba unapovunjwa ....kiufupi hapo unastahili fidia ya kodi yako plus muda na hasara ya kuleta mzigo hapo halafu akakubadilikia...nenda mahali tafsiri ya mikataba inapofanyika utafsiliwe huo mkataba.
Huu ndio ushauri sahihi hapa.Mosi,
Pole sana mkuu. Gharama na muda uliotumia kutafuta mpaka kupata hiyo nafasi ya biashara hapo.
PIli, muulize mzee yeye anasemaje? Kama anataka kurudisha pesa ni sawa ila tu alipe na gharama zako zote za kuleta mzigo na usumbufu, na hilo likiwa gumu yeye kulitekeleza omba ushauri kwa wanasheria wakuandikie statment ya msimamo wake maana yeye kwenye mkataba hakusema biashara gani si ruksa kufanya hapo kwake.
Hii ishu nishawahi kutana nayo. Nilienda kwa mwanasheria yule bibi mwenye fremu kuona vile akaniambia mwanangu tuongee tuyamalize.
Asitake kusumbua watu, tena alipe gharama zote
Uzi hauwezi kuishia hapa ,kisa umetumia gharama zako na nguvu zako ndo uamue chochote kwa Mali yako?kweli Mali ni yako lakini Huna uhuru wa kuitumia vyovyote utakavyo huku ukiminya uhuru ama haki ya mwenzako.Uzi uishie hapa.
Yaani mkuu mimi ilishawahi nitokea.Huu ndio ushauri sahihi hapa.
Kwenye mkataba wake hakuna kifungu kinachokataza aina ya biashara ila mkata unainisha kunga chumba kwa ajiri ya biasharaKwenye masharti ya mkataba wake kuna kipengele kinakataa biashara ya pombe? Kama hakipo january endelea na biashara yako kama kawaida
Mwenye heshima zake anakuambia masharti yake kabla hajakupangisha. Huyo mwenye fremu ni muhuni TU.Wewe mwambie akurudishie pesa yako ukatafute sehemu nyingine
Hata kama mkataba haujasema hivyo , wewe ulitakiwa uwe muwazi.
Watu wana heshima zao hawawezi kukupa fremu uuzie pombe, watu wapige makelele, watukanane, wapigane, wawachukize watu nk
Yote haya yeye atalazimika kupata lawama kwa majirani
Ukitaka kufanya biashara ya pombe kakodi fremu kwa walevi wenzako.
NB
Ukienda kwa mwanasheria utajisumbua na kupoteza pesa tu
Huwezi kumlazimisha mtu ufanye biashara asiyoitaka kwenye jengo lake
Huna cha kufanya ni huko kwenu Kwa wajinga wajinga. Una shida ya Hela ndio maana unapangisha, otherwise Baki na vyumba vyako uweke misukule. Hiyo ni biashara Sio msaada.Huo mkataba umeuona ?
Mkataba wa mpangaji huwa unabase kwenye malipo tu
Ukizingua unatolewa muda wowote na huna cha kufanya
Hiyo pesa yakuanzisha masaji anaipata wapi mtu alishalipia mzigo?Pombe haziharibiki, anafaulisha ama kuweka ome akiangalia sehemu ingine
Mkuu kumbuka hii ni bongo kila jambo linaenda kijanja janja.Kama hiyo ni fremu kama anavyodai mpangaji, ina maana anaweza kufanya biashara yoyote halali. Hilo ni kosa la mwenye fremu, alitakiwa kabla hajampangisha mtu AMPE na masharti ya biashara Gani hataki zifanyike kwenye fremu yake. Kujaa kimya maana yake "fanya biashara yoyote halali ili mradi unilipe Kodi yangu" .
Sheria za nchi ndizo hizo hizo zilizompa uhalali wa Hilo eneo analoliita la kwake kujenga. Usisahau.
Tena pesa ya kwenda kwa mwanasheria atalipa huyo huyo mzee!Huwezi kumlazimisha mtu ufanye biashara asiyoitaka kwenye jengo lake
Mkuu dronedrake,kubali hasara, akurudishie kodi ila pesa sijui ya hasara sahau
kwenda kwa mwanasheria unapoteza mda na pesa zako
Kama ni hivyo basi hauna sifa ya kuitwa mkataba, lakini nijuavyo mkataba ni makubaliano kukiwa na mashahidi uwe wa maandishi au sauti.Huo mkataba umeuona ?
Mkataba wa mpangaji huwa unabase kwenye malipo tu
Ukizingua unatolewa muda wowote na huna cha kufanya