Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Lol [emoji38]Nyie si muuze simu mnunue bundle?!
Amin. Amin. Amin [emoji120]Mungu atunusuru na vizazi vyetu.
dahNawaza tu baba yake cocastic anajisikiaje huko
Nilimaanisha kwamba ipo siku nami nitakua mzazi so nichunge ulimi wangu. Sio kwamba kuna mtu ananizalia soon, unless unisaidie Katika hilo. Mwakani mambo yajipe
Sawa,bas nilielewa tofauti.Asante kwa kujaNilimaanisha kwamba ipo siku nami nitakua mzazi so nichunge ulimi wangu. Sio kwamba kuna mtu ananizalia soo, unless unisaidie Katika hilo. Mwakani mambo yajipe
Kama jina lakeMilembe
Aaamin[emoji120]Sana...
Tusiache kuomba Mungu awalinde watoto wetu.
Aaaamin[emoji120]Mungu autunze uzao wako
....na huko ndiko kufanikiwa haswa kamarada mama D.....Ombea sana uzao wako utakaokuja na utembee kwenye sheria za muumba
habari za siku tele !Fafanua mkuu