Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #41
sijaolewa bwan Lucas..kwan vipi?
Ewaaa, hapo pazuri sasa kuanzia mazungumzo, habari ya kwako?
Hivi hiki cheo kuna ulaji gani au ulaji ni kulamba wake za watu?
ya kwangu(habari)..ni nzuri tu..ww je?
daah! haya ngoja nijipitie zangu
Namshukuru Mungu pia kwangu ni njema tu, pole na uchovu wa kazi za siku yako ya leo.... kama uko mapumziko hongera
nitonye, kaka yangu Erickb52 wala asingekubali niwe karibu kama kungekuwa na habari hiyo, halafu wewe unanikumbusha mbali sana! ngoja nikae kimya nisikumbushe mambo ya sweetlady na Nicas Mtei..... mambo vipi mkuu?yaani unamkana mmeo waziwazi Erickb52!
Nafuu yangekuwa maji ya Ilala, hapo keshapiga bapa kubwa tatu za Mabibo distilers, tusipomwangalia huyu atatongoza hadi wanaume hapa...
asante sn..pole na uchovu pia bro