mmbishi kwa wengine , kwangu hana ubishi... akileta ubishi na mie nakua mmbishi mwisho wa siku namtibulia madili yake yoteeeeeeee
majany mwombee adui zako aishi siku nyingi ili kila unapofanikiwa ajionee kwa macho
teh teh teh..kumbe mwana mapinduzi huyu chapombe? ss ataongozaje?