asante sn..pole na uchovu pia bro
hapa vita inanukia mandenyi anzeni kuficha watoto wenu. charminglady upo? Madame B mlete mke wangu Evelyn Salt tukaombe hifadhi MMU
majanga
Hiyo bapa nyeupe ya mabibo sio nzuri kwa afya ya akili yako
Umeona eeh! Mtoto analilia topaz kwa nguvu
Hivi bado tu hujatambua kuwa huyo dogo mwezi mchanga!? Tena nahsi ulimshtukia mapema ukajitoa otherwise ungekuwa kituko ati
utakua bodyguard wangu kuanzia sasa.......
naona unanipeleka kidictator na mie sifagilii ng'ooo yani kwa staili hii sikupi sapoti ng'oo
he!!! mambo sio kabisa nahisi vita vya maji maji vyajamambo mpenzi!!!
kama mwenyekiti nisio fungamana na upande wowote nakupa ridhaa ya kuuliza member humu jamvini kuhusu hiyo kitu, then utaniletea majibu......