Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

1. Abrahamu baadae Mungu alimuita Ibrahimu, baba wa mataifa.
2. Alikuwa Mwebrania
3. Ni chanzo cha Israel kupitia Isaka hatimaye Yakobo ambaye ndiye Israel mwenyewe.
4. Ni chanzo cha Waarabu kupitia mke mdogo/ kijakazi/suria Hijiri
5. Alimwabudu Mungu Yahwe na hakuwa na dini au dhehebu.
Dini ni nini?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu!Kwa kuwa kila Dini ina maandiko inayodai ni ya Mungu,basi swala la Ibrahim alikuwa Dini gani?Linapaswa kujibiwa na Mungu wa dini husika.
Sasa je!Dini ya Uyahudi imetaja Ibrahim kuwa ni Muyahudi?Je!Dini ya Ukristo imemtaja Ibrahim kuwa ni mkristo?Na je!Dini ya Uislamu Imemtaja Ibrahim kuwa ni Muislamu?.

Sasa kwa mimi Muislamu naona Mungu amemtaja Ibrahim kuwa ni Muislamu:

مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ

(AL I'MRAN - 67)
Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
Umejibu kielmu zaidi, congrats to you [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wewe ndio huna hoja ebu tazama comment zako za Nyuma uone uharo uloandika....


Ukileta ngebe tunazikata tuna update Kisha TUNAKUTUMIA
endeleeni ku up date mtachoka tu, ngoja niwaongezee zingine
 
Wewe ndio huna hoja ebu tazama comment zako za Nyuma uone uharo uloandika....


Ukileta ngebe tunazikata tuna update Kisha TUNAKUTUMIA
kifinyo mtakipata kama mtaendelea kuandika upupu napangua hoja zenu nyepesi
 
Hao jamaa mpaka Yesu Kristo huwa wanasema ni wa kwao! Kisa tu aliwahi kuingia kwenye sinagogi la Wayahudi! 😃
Yaani nyie wagalatia msio na akili ni tatizo aisee, mmeulizwa alikuwa dini gani nyie mnaleta sijui yesu
 
WEWE NDIO YALE MAJITU MWALIM ANAFUNDISHA DARASANI POINT MUHIMU HAYAZINGATII...

NIMEKWAMBIA...DINI NI ITIKADI...ITIKADI YA DINI YA KIKRISTO NI NINI? JE ITIKADI HIYO ALIKUWA NAYO IBRAAHIIM...? KAMA ALIKUWA NA ITIKADI KAMA WAKRISTO HIVI LEO...BASI IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...
Acha kuwa na akili mbovu. Mambo ya wakristo kawaulize wakristo
 
Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je, niwapi wanaomfata?
Alikuwa mcha Mungu,Kristo Yesu pia hakuwa na dini .
 
Ulikuwepo:

۞ شَرَعَ لَكُم مِّنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ ۖ أَنْ أَقِيمُوا الدِّينَ وَلَا تَتَفَرَّقُوا فِيهِ ۚ كَبُرَ عَلَى الْمُشْرِكِينَ مَا تَدْعُوهُمْ إِلَيْهِ ۚ اللَّهُ يَجْتَبِي إِلَيْهِ مَن يَشَاءُ وَيَهْدِي إِلَيْهِ مَن يُنِيبُ

(ASH-SHUURA - 13)
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ndo maana tunasema hiki kitabu kina contradictions. Hao waislamu kabla ya mudi walikuwa wanamrefer mnyaazi na mudi pia kwenye shahada ya kwanza kama ambao walianza kufanya baada ya mudi kuja?
 
Jew maana vitabu vya Tora vinamtaja kama baba wa Taifa la Israel! Na kumbuka dini yao ipo kabla ya Ukristo na Uislam!
Israel = Yakobo
Vipi kuhusu Esau?Maana yeye ni pacha wa Yakobo(Israel)na hawi mwana wa Israel ili kuunda taifa la wanaisrael.

Jews = Yuda

Yuda ni mtoto wa Yakobo (Israel)

Mwanzo 35:23

Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.

Mkuu!Ni uzao wa Yuda pekee ndiyo wanaitwa wayahudi na imani ya kiyahudi ilikuja kutokea katika kizazi hicho cha Yuda.
Hapo hata Israel mwenyewe hawi myahudi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
KWANINI WAISLAMU NIKIWAOMBEA KWA JINA LA YESU PEPO TOKA KWELI MAPEPO YANAWATOKA WAKATI HUWEZI KUTOA PEPO KWA JINA LA MTUME AU NABII ISIPOKUWA MUNGU ....
 
Back
Top Bottom