KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Dini ni nini?.1. Abrahamu baadae Mungu alimuita Ibrahimu, baba wa mataifa.
2. Alikuwa Mwebrania
3. Ni chanzo cha Israel kupitia Isaka hatimaye Yakobo ambaye ndiye Israel mwenyewe.
4. Ni chanzo cha Waarabu kupitia mke mdogo/ kijakazi/suria Hijiri
5. Alimwabudu Mungu Yahwe na hakuwa na dini au dhehebu.
Umejibu kielmu zaidi, congrats to you [emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu!Kwa kuwa kila Dini ina maandiko inayodai ni ya Mungu,basi swala la Ibrahim alikuwa Dini gani?Linapaswa kujibiwa na Mungu wa dini husika.
Sasa je!Dini ya Uyahudi imetaja Ibrahim kuwa ni Muyahudi?Je!Dini ya Ukristo imemtaja Ibrahim kuwa ni mkristo?Na je!Dini ya Uislamu Imemtaja Ibrahim kuwa ni Muislamu?.
Sasa kwa mimi Muislamu naona Mungu amemtaja Ibrahim kuwa ni Muislamu:
مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ
(AL I'MRAN - 67)
Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
Wewe ndio huna hoja ebu tazama comment zako za Nyuma uone uharo uloandika....Naona unabwabwaja tu huna hoja kaa kando
endeleeni ku up date mtachoka tu, ngoja niwaongezee zingineWewe ndio huna hoja ebu tazama comment zako za Nyuma uone uharo uloandika....
Ukileta ngebe tunazikata tuna update Kisha TUNAKUTUMIA
Sawa naona unakologa mimavi kichwani ili uweke😁😁😁😁😁endeleeni ku up date mtachoka tu, ngoja niwaongezee zingine
kifinyo mtakipata kama mtaendelea kuandika upupu napangua hoja zenu nyepesiWewe ndio huna hoja ebu tazama comment zako za Nyuma uone uharo uloandika....
Ukileta ngebe tunazikata tuna update Kisha TUNAKUTUMIA
Yaani nyie wagalatia msio na akili ni tatizo aisee, mmeulizwa alikuwa dini gani nyie mnaleta sijui yesuHao jamaa mpaka Yesu Kristo huwa wanasema ni wa kwao! Kisa tu aliwahi kuingia kwenye sinagogi la Wayahudi! 😃
Kazi unayokifinyo mtakipata kama mtaendelea kuandika upupu napangua hoja zenu nyepesi
Dini ni mfumo na utaratibu aliounzisha mwanadamu Ili kumtafuta MUNGU.Dini ni nini?Nini asili na chimbuko la neno Dini?.
Acha kuwa na akili mbovu. Mambo ya wakristo kawaulize wakristoWEWE NDIO YALE MAJITU MWALIM ANAFUNDISHA DARASANI POINT MUHIMU HAYAZINGATII...
NIMEKWAMBIA...DINI NI ITIKADI...ITIKADI YA DINI YA KIKRISTO NI NINI? JE ITIKADI HIYO ALIKUWA NAYO IBRAAHIIM...? KAMA ALIKUWA NA ITIKADI KAMA WAKRISTO HIVI LEO...BASI IBRAAHIIM ALIKUWA MKRISTO...
Alikuwa mcha Mungu,Kristo Yesu pia hakuwa na dini .Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je, niwapi wanaomfata?
Ndo maana tunasema hiki kitabu kina contradictions. Hao waislamu kabla ya mudi walikuwa wanamrefer mnyaazi na mudi pia kwenye shahada ya kwanza kama ambao walianza kufanya baada ya mudi kuja?Ulikuwepo:
۞ شَرَعَ لَكُم مِّنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ ۖ أَنْ أَقِيمُوا الدِّينَ وَلَا تَتَفَرَّقُوا فِيهِ ۚ كَبُرَ عَلَى الْمُشْرِكِينَ مَا تَدْعُوهُمْ إِلَيْهِ ۚ اللَّهُ يَجْتَبِي إِلَيْهِ مَن يَشَاءُ وَيَهْدِي إِلَيْهِ مَن يُنِيبُ
(ASH-SHUURA - 13)
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Israel = YakoboJew maana vitabu vya Tora vinamtaja kama baba wa Taifa la Israel! Na kumbuka dini yao ipo kabla ya Ukristo na Uislam!
nachezea akili zenu nitakavyoKazi unayo
😁😁😁😁 Sio unachezea mimavi yako mkuunachezea akili zenu nitakavyo
Relax! Usipaniki.Yaani nyie wagalatia msio na akili ni tatizo aisee, mmeulizwa alikuwa dini gani nyie mnaleta sijui yesu
Alikuwa mcha Mungu,Kristo Yesu pia hakuwa na dini .