Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Mkuu,

Watu kila siku nawa ambiaga, Malipo ya kupigania haki za watu weusi (waafrika)ni Kifo.

Ukikuta mtu mweusi (mwafrika) na Nyoka [emoji216] wanapigwa, Muokoe nyoka.

Waafrika hasa watanzania ni watu walio laanika.

Ni kuwaacha na matatizo yao, wateseke mpaka kufa kwao.

Binafsi siwezi kupigania haki ya mtu mweusi mwafrika kwa vile najua ni wapumbavu na wasaliti, muda wowote ule wata kusaliti ufe mwenyewe.

Hakuna haja ya kuwatetea wajinga walio laanika.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hapo Serikali imeji fix yenyewe hiyo hukumu wataitengua na kumpa umaarufu tu.
 
Serious.... unaweza risk mambo yako kwa watu wasio na shukrani hata kidogo.

Huyo si kafunguliwa mashtaka? Sahivi anapambana yeye na familia yake, na huyo ni mchungaji ana kanisa, wale waumini wake sidhani kama hata mmoja ataenda polisi kuhoji.
 
Mamlaka ni watu na Tanzania watu wengi wana dini. Hamna kiongozi Tanzania anaweza kushinda vita ya dini ni muhimu tusifike huko. Sa100 lazima ajue Tanganyika siyo Zanzibar
Vita ya Dini haitoweza kutokea, unajua kwanini?

Huu mchangamano wa Dini mbili kuishi ktk familia moja bila tatizo na kila mtu akaabudu anavyotaka ndio imesaidia haya.

Mwisho wa siku unakuta Baba Mkristo Mama muislam. Vita inaanzia wapi? Watu psychology zao tyr wameshaona hakua uadui between hizi Dini.

Ishu ni moja ambayo mbaya ni UKABILA. hiyo ndio Kansa mbaya zaidi. Em fatilia vuguvugu la UZANZIBAR na UTANGANYIKA alafu linganisha na Vuguvugu la UISLAM na Ukristo. Utaona wapi pakianza kutokota kunateka hisia za wengi.

Ukabila na Ukanda ndio utaleta shida hasa huu MUUNGANO hautavunjika kirahisi.. huwenda Bendera zikawa na ka rangi kekundu.
 
Kwani anafanya ili akumbukwe na mtu au anafanya kwa utashi wake kwa kile anachokiona ni sahihi?.Wewe kama ni muoga kaa na familia yako usubiri wengine wakufanyie kwasababu hatuwezi kua wote sawa au wote tujifungie ndani kwa woga.Changamoto na misuko suko ni sehem ya maisha.
 
Sasa yakiwafika mambo, tusianze kuombana misaada huku nje. Mnapambana na watemi kimya kimya.
 
Nchi ambayo haichanganyi dini na siasa?
 
Kwa Suguye ndio wanasali akina Nandy, Halima Mdee na Esther Bulaya
Lakini na yeye kwake Matembele ya Pili hakusajiriwa.
Tofauti tu yeye hahubiri haki za Raia na Amani kwa watu wote.

Yeye anahubiri Sadaka, mizimu na mapepo tu.
 
Uhuru wa kuabudu kwa kibali, ni sawasawa na kutokuwa na Uhuru, maana lazima Kwanza umuabudu mtoa kibali
 
Natabiri vita kali ya udini itarindima hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…