Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Sawa, ila msome vizuri huyo YESU utajua changamoto alizopitia. Mbingu sio mchezo ila kuna mataji kutokana na kile ulichokifanya.
Sasa tawala ,serikali na mbingu wapi na wapi?!!!

Wewe ni shouugeer chiyzyy?!!?[emoji15][emoji15]
 
Serikali wamekwishapima ndiyo maana hawajampa usajili wa kikundi chake cha matusi.
 
Sawa, ila msome vizuri huyo YESU utajua changamoto alizopitia. Mbingu sio mchezo ila kuna mataji kutokana na kile ulichokifanya.
Ninajuwa Bible kuliko wewe na walokole wenzio mnaokariri mistari. Labda leta hao wainjilisti wenu niwape shule
 
Mwaka gani?

Mashahidi wa Yehova mbona walikuwa wanakuja kwetu Upanga?
Mkuu kiranga najua wewe ni mtu wa kumbukumbu Kanisa la Mashahidi wa Yehova walipigwa marufuku na Mwalimu kutokana na Imani yao ya kutoongezewa damu kwa mgonjwa na nk aliekuja kuyaaruusu kufanya shughuli zao ni Rais Mwinyi Mwaka waliopigwa marufuku nimesahau nikikumbuka nitakujuza (kiranga)
 
Mtoto ana umri wa miaka 25, alafu baba ana umri wa miaka 39?!
 
Mitaani makanisa yamekithiri - kuna yanayoongzw na wachngaj, mapasta, walimu, mengne mitume na hata manabii na wkt mwngne utawakuta ktk miktano na wanasiasa wakihudhria rasmi, hawaulizwi. Je, uamuzi huu unatkana na suala la bint kufyatua ule wimbo au kna zaidi?! Kwamba, sasa hivi ukisema "wanatuona nyani" mzaz wko wanamweka ndn!! Kw maana haya makanisa au madhehebu yameongzeka na hayaguswi, au suala hili lina ubaguzi - hususan wa kisiasa? Au ni Mbeya tu ...? Nchi ytu imefika mbali ...dah!
 
Haya ni maajabu utayakuya tz yaan wameshindw kuwafunga mafisadi wanaotajw kwenye ripoti ya CAG kila mwaka wanamfunga mtumishi wa mungu badala wamsaidie asajili kanisa, CCm ni janga la taifa mwisho wake unakaribia
 
Mwaka 1967 ndiyo Nyerere aliyapiga marufuku hawa mahayawani wa Mashahidi wa Yehova.

Utakataaje kumuongozea mgonjwa damu kama siyo uhayawani?
 
Siku zite iko hivi, Ukiwa Mstaarabu
hata kama una mapungufu watu hukupuuza ila ukijikuta mjanja watu watataka wakuonyeshe kua hujui.
Ukiamua kukosoa wenzio hakikisha uko smart.
Uko sahihi kabisa, tena serikali ilivyo na hasira kuhusu ule walaka kwenye haya makanisa, yaani yeyote atakayejipendekeza wanapita naye
 
Wavunjaji wa sheria wakiwa misikitini na makanisani huchukuliwa kwa uzito MKUBWA....

Ulitaka DOLA liwaache wale masheikh wa UAMSHO wafanye watakavyo?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Walitaka wafungie misikiti badala ya kuwafunga wahusika
 
Ukiona mtu anaungaunga habari kwa inawezekana...sintoshangaa...ujue anatunga hadithi anazozipenda yeye mwenyewe.

Just the facts, please.
 
Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni ni mahesabu tu
 
Dini na siasa vinafanya kazi Ile Ile " kughilibu akili za watu (manipulation of people's mind).

Hatutaki tu kukubali kuwa dini ni siasa na siasa ni dini. Kimojawapo linamtaka kukitumia kingine na kujifanya kipo pekee yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…