Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mabadiliko yapi?!![emoji15][emoji15]lakini kelele zake zilileta nabadiliko, sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko yapi?!![emoji15][emoji15]lakini kelele zake zilileta nabadiliko, sio bure
Sasa tawala ,serikali na mbingu wapi na wapi?!!!Sawa, ila msome vizuri huyo YESU utajua changamoto alizopitia. Mbingu sio mchezo ila kuna mataji kutokana na kile ulichokifanya.
Serikali wamekwishapima ndiyo maana hawajampa usajili wa kikundi chake cha matusi.Wewe unavyosema madhehebu ya mwenzako ni ya kishenzi, na mwenzako anasema madhehebu yako ni ya kishenzi.
Haponi mtu hapo.
Serikali ijikite kuwekeza kwenye elimu iki watu waweze kuchagua mbivu na mbichi vizuri.
Ikijiingiza kwenye kufungia makanisa kwa sababu hayana usajili itakuwa inakosea sana na inaanzisha moto isioweza kuuzima.
Ninajuwa Bible kuliko wewe na walokole wenzio mnaokariri mistari. Labda leta hao wainjilisti wenu niwape shuleSawa, ila msome vizuri huyo YESU utajua changamoto alizopitia. Mbingu sio mchezo ila kuna mataji kutokana na kile ulichokifanya.
Mkuu kiranga najua wewe ni mtu wa kumbukumbu Kanisa la Mashahidi wa Yehova walipigwa marufuku na Mwalimu kutokana na Imani yao ya kutoongezewa damu kwa mgonjwa na nk aliekuja kuyaaruusu kufanya shughuli zao ni Rais Mwinyi Mwaka waliopigwa marufuku nimesahau nikikumbuka nitakujuza (kiranga)Mwaka gani?
Mashahidi wa Yehova mbona walikuwa wanakuja kwetu Upanga?
Ninajuwa Bible kuliko wewe na walokole wenzio mnaokariri mistari. Labda leta hao wainjilisti wenu
Sawa mdogo wake Paul, nitakutafuta unipe darasaNinajuwa Bible kuliko wewe na walokole wenzio mnaokariri mistari. Labda leta hao wainjilisti wenu niwape shule
Umepatia Bimdogo ni hivyohivyo.Sasa tawala ,serikali na mbingu wapi na wapi?!!!
Wewe ni shouugeer chiyzyy?!!?[emoji15][emoji15]
[emoji2956][emoji2956]Serikali wamekwishapima ndiyo maana hawajampa usajili wa kikundi chake cha matusi.
[emoji1787]Sawa mdogo wake Paul, nitakutafuta unipe darasa
Mitaani makanisa yamekithiri - kuna yanayoongzw na wachngaj, mapasta, walimu, mengne mitume na hata manabii na wkt mwngne utawakuta ktk miktano na wanasiasa wakihudhria rasmi, hawaulizwi. Je, uamuzi huu unatkana na suala la bint kufyatua ule wimbo au kna zaidi?! Kwamba, sasa hivi ukisema "wanatuona nyani" mzaz wko wanamweka ndn!! Kw maana haya makanisa au madhehebu yameongzeka na hayaguswi, au suala hili lina ubaguzi - hususan wa kisiasa? Au ni Mbeya tu ...? Nchi ytu imefika mbali ...dah!Kwa nini nyumba ya ibada iwe na usajili serikalini katika nchi inayotoa uhuru wa kuabudu kikatiba kwa kila mtu?
Serikali hata kodi haikusanyi kutoka nyumba za ibada, sasa zinasajiliwa kwa nini?
Nikisema hii habari ya kusajili nyumba za ibada serikalini ni namna ya serikali kudhibiti ibada na kuingilia uhuru wa kikatiba wa kuabudu nitakuwa nakosea?
Haya ni maajabu utayakuya tz yaan wameshindw kuwafunga mafisadi wanaotajw kwenye ripoti ya CAG kila mwaka wanamfunga mtumishi wa mungu badala wamsaidie asajili kanisa, CCm ni janga la taifa mwisho wake unakaribiaMchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali.
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”, amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kibali.
Akizungumza na JamiiForums, Wakili Boniphace Mwabukusi amesema “Kweli amehukumiwa lakini Mchungaji alifuata machakato wa kuomba vibali japo Serikali ndio ilikuwa ikichelewesha ukamilishwaji, pia Sheria inasema mtu ambaye yupo katika mchakato wa maombi hawezi kushtakiwa."
Ameongeza "Adhabu aliyofungwa nayo ina faini na kifungo, Hakimu ametoa adhabu ya kifungo bila faini, tunatarajia kukata rufaa Jumatatu (Oktoba 2, 2023)."
Pia soma: 'Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi' Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
=================
Mwaka 1967 ndiyo Nyerere aliyapiga marufuku hawa mahayawani wa Mashahidi wa Yehova.Mkuu kiranga najua wewe ni mtu wa kumbukumbu Kanisa la Mashahidi wa Yehova walipigwa marufuku na Mwalimu kutokana na Imani yao ya kutoongezewa damu kwa mgonjwa na nk aliekuja kuyaaruusu kufanya shughuli zao ni Rais Mwinyi Mwaka waliopigwa marufuku nimesahau nikikumbuka nitakujuza (kiranga)
Uko sahihi kabisa, tena serikali ilivyo na hasira kuhusu ule walaka kwenye haya makanisa, yaani yeyote atakayejipendekeza wanapita nayeSiku zite iko hivi, Ukiwa Mstaarabu
hata kama una mapungufu watu hukupuuza ila ukijikuta mjanja watu watataka wakuonyeshe kua hujui.
Ukiamua kukosoa wenzio hakikisha uko smart.
Walitaka wafungie misikiti badala ya kuwafunga wahusikaWavunjaji wa sheria wakiwa misikitini na makanisani huchukuliwa kwa uzito MKUBWA....
Ulitaka DOLA liwaache wale masheikh wa UAMSHO wafanye watakavyo?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Ukiona mtu anaungaunga habari kwa inawezekana...sintoshangaa...ujue anatunga hadithi anazozipenda yeye mwenyewe.Madhehebu ya kishenzi yapo, yanamwita Rais eti ni nyani. Inawezekana kabisa huyu baba ema ni shoga au analala na hiyo bi to yake, sintoshangaa huu uhuru holela unaosemwa. Baadaye itakuwa kanisa la kifisadi kama sodoma na ghomora huyu askofu a atembeaxna hawo waombaji wote. Tulishayaona, ni lazima kuyawahi.
Utawala wa hovyoAsili ya utawala wenye uoga ni kutia uoga wenzao. Hapo wanahakikisha familia nzima inaingia hofu kutojaribu kufanya chochote kile.
Unajuaje wamekwishapima? Wamepimaje?Serikali wamekwishapima ndiyo maana hawajampa usajili wa kikundi chake cha matusi.