Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Watanzania ni wazito...

Serikali imeamua kuishi vyema na raia wake "wazito".....

TATIZO hutokea pale tu wanapovuka mipaka.....

Kwanini UPENDE KUONGEA MBELE ZA WATU ilihali unanuka mdomo "kigonjwa" ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
.....mbwa juu ya paa amepandishwa....

Za ndani zinasema ,mwamba ANATUMIWA NA WANASIASA wa upinzani.....

#Karibu Komoni Hapa Sondombwa [emoji120]
 
Vibali vivunje haki za kikatiba na kibinadamu ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Unaleta fikra isiyo na mashiko.....

Kila eneo la kibiashara linahitajika vibali....

Wahandisi ,matabibu wa kizungu na KIENYEJI ,wanasheria ,wahasibu.....wote hawa vibali vinawahusu....yaani isiwe tu kwa nyumba za ibada ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Fikra ya ajabu kabisa
 
AView attachment 2766384
Jesus Christ he is crying, for his servant mwakipesile soon he will do something. Aonywaye mara nyingi na kushupaza shingo yake nae atavunjika ghafla Wala hatapata dawa.
Ni hayo tu waheshimiwa.
Tawala na hayo mambo wapi na wapi ? !!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Serikali yetu ni TAKATIFU....haina dini.....
 
Asiye na imani ya dini ndiye amekuwa mkweli na mpenda haki kuliko wenye dini zao wanaofunga wenye dini wenzao.
Samia ana dini...

Rais hana DINI.....

#Never give wisdom to unworthy because it is unjust to the knowledgeable [emoji120]
 
Busara ingekuwa ni kulifunga kanisa na hio huduma kufungwa ,na sio mchungaji kufungwa
Ila kwa vile busara yao imeamua hivyo basi tuwape pongezi kwani wamejiandaa kwa matokeo yoyote dhidi ya hio hukumu.
...maneno yako ya mwisho yalisemwa kule Zanzibar baada ya UAMSHO kutiwa ndani.....hakikutokea chochote....chochote....chochote kile.....

Mtakoma lini KUFIKIRI kwa kutumia viungo vyengine badala ya BONGO?!!! [emoji1787][emoji1787]
 
kwa kweli swala hili serikali imekosea pakubwa sana nitamkumbuka kwa nyimbo nzuri[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2766376
Ni mwimbaji mzuri sana. Mpaka natamani kama angeachana mazima na hizi hekaheka za kisiasa na mapambano na watumishi wenzie akajikita kwenye kuutangaza ufalme wa Mungu. Angefika mbali sana kiutumishi ila kwa sasa CCM ninavyowafahamu hakuna rangi ambayo ataacha kuona!
 
"......kwa nini msitambulike na kulindwa kisheria....".

UMEMALIZA [emoji2956][emoji1732][emoji109][emoji106][emoji7][emoji1720][emoji120]
 
Furahia Sana,Cheka Sana ndugu maana naona hii hukumu imekufurahisha sana
Hakika....

Nilifurahi "mjomba wangu" aitwaye A.......I alipofungwa miongoni mwa wale masheikh wa UAMSHO....na nilisikitika mno siku mh.Rais SSH alipowaacha HURU baada ya ile miaka 9......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…