Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Mfumo wa utoaji HAKI Nchini umemuonea sana huyu Mchungaji, kwanini asitozwe faini ndogo tu ili arudi lufanya shughuli zake na familia yake.
 
Tukitoka hapo tuanze kuangalia na misikiti ya Ijumaa. Maana kila mtaa inaota km uyoga tena bila vibali.
Serikali kwa kesi hiyo imekosea ni bora wangetafuta kosa lingine.
Maana makanisa na misikiti kila baada ya nyumba wanapiga kelele na hawana vibali.
Vp kuhusu mfalme Zumaridi, mbona hakufungwa?
Nabii Tito je?
Maana wote hao hawakuwa na vibari na ilisibitishwa baada ya kukamatwa.
Mkuu adhabu sio kifungo tu inaweza kuwa kufungiwa Kanisa,faini au kifungo inatokana na jinsi unavyojitetea sasa yeye inawezekana ameleta usela mavi mahakamani
 
Kwani kafungwa kwa kosa gani mkuu?
Km ni kuzusha uongo kesi ingekuwa ni hiyo.
Ila kosa lililompeleka jela ni kumiliki kanisa bila vibali.
Tujadili hilo sio hisia zako
Kumiliki Kanisa bila kibali ni kosa kisheria hata Mwambukusi amekiri hilo ndio maana amesema kosa hilo lina faini au kifungo sasa Hakimu ameamua kifungo watakata rufaa
 
Samia takataka at her best, ameivuruga nchi, Tanzania sasa haijurikani kichwa kiko wapi, mkia upo wapi?
Wakati wa UNGA(United nation general Assembly), kaingia mitini, hakwenda kutoa hotuba, limejifungia kizimkazi linakula urojo, na kufanya uteuzi kimakengeza!
Kuna issue ya, Amani ya nchi ya Haiti, si wizara ya mambo ya nje, wala wizara ya ulinzi, wala inteligensia yetu inayoliongelea na kutoa mikakati,
Watani zetu Kenya(Ruto)wakaona fulsa ya kuiweka Kenya kwenye ramani(katika ulinzi na usalama), wanajiandaa kupereka vikosi maalum vya polisi kutuliza amani, na kuirejesha Haiti katika Hari ya usalama, Samia yupo wapi! Lipo linarembua macho na kufanya uteuzi tu! So pathetic!
Mkuu taratibu, hapa unavuka mipaka. Kumbuka unayemuongelea ni Rais wa nchi. Hebu kuwa na heshima basi na lugha ya staha.
 
Dawa Juma walisema nyimbo zake za Kisukuma zina maudhui ya kumtukana Raisi kwa kusema "Laisi ng'wenye ushungi" na sasa huyu Mchungaji nae kafungwa wanasema "Kanisa lake halina kibali"

Hawa watu wawili wana one thing in common wametumia haki yao ya Kikatiba "uhuru wa kutoa maoni" dhidi ya Wanaotutawala.

Hawa ni wafungwa wa kisiasa.

Swali langu kwa Samia hizo RRRR ni kweli uko serious mbona huonyeshi tofauti kati yako na mtangulizi wako?
 
Mkuu taratibu, hapa unavuka mipaka. Kumbuka unayemuongelea ni Rais wa nchi. Hebu kuwa na heshima basi na lugha ya staha.
Hv mkuu, ukisikia ccm inatenga pesa kila mwaka kununua magari, ukisikia bilioni 600 zimepigwa kwa stakabdhi feki, ukisikia maofisa wa uhamiaji, walipiga billions kadhaa kwa kuuza visa feki, na hao wafsnyakazi bado wapo ofisini wanakula bata(yupo classmate wangu, kajenga mansion kama ya bakheresa), unalipa Kodi, pesa, zinatumika vibaya, bro unaelewa wizi, uliopo kwenye haramashauri!
Sasa, hapa anayevuka mipaka nani mkuu? Mimi mlipa Kodi, au, Mkuu wa, nchi(muajiri mkuu) anayeshindwa kuendesha nchi?
Kama hauna hasira mkuu, basi, wewe hauishi bongo,
Am not apologetic for my words,
Mambo yakienda hovyo,wa kulaumiwa ni raisi,
Anateua kuanzia maofisa wa ikulu, majaji, na viongozi, wote wa mikoa na halmashauri,
The buck stops at her!
 
Kimsingi, ni kweli Mbarikiwa alikuwa ana changamoto ya kiakili na alikuwa anaishambulia na kujifanya mbabe dhidi ya serikali na ndio maana wamemfunga ila sio kwa kosa hilo la kutosajili Huduma.

Kwa hili wamemuonea na ni bora wangetafuta kosa lingine kwani ni wengi hawakuwa wamesajili huduma na hawakufungwa mfano suguye, Dr. Sizya mwenye makengeza yeye na mkewe wanaouza sabuni za Grace product au "zoa zoa products"

Hao wote zilifungwa huduma.na hakufungwa mtumishi. Kwa hili binafsi najua kufungwa kwa sababu ya zile tabia zake na nina amini hawezi kukaa jela zaidi ya mwaka. Lengo ni kumrekebisha tabia na atambue kuwa dola ipo. Wale CHADEMA waliokuwa wanamsifia kila mara hutawaona wakimsaidia au wakisaidia familia yake sasa. Jamaa wameshajitenga naye, anabaki na msalaba wake.
MBARIKIWA ni mgonjwa wa akili....
 
Serikali inaweza wala usilete ngonjera zako hapa. Unawalinganisha hawa washenzi na crusaders wakati wa byzantine era? You are wrong on that na hujamuelewa kabisa huyo anayeitwa Mbarikiwa. Mbarikiwa ni mental case and unfortunately anajenga cult yake.

Nafuu TUILAUMU Serikali wakati huu, kuliko TUJE TUILAUMU wakati Mwakipesile anachoma wafuasi wake.
[emoji1732][emoji109][emoji106][emoji2788][emoji271][emoji2956][emoji1720][emoji7][emoji120]
 
Hilo kanisa analomiliki bila vibali ndilo anaeneza itikadi ya chuki. Kwa hiyo amehukumiwa kumiliki kanisa kinyume na sheria za Serikali. Unataka tujadili nini zaidi?

Acheni kuendekeza vichaa, tuna mengi ya kufanya
[emoji7][emoji2956][emoji2956]
 
Nonsense, mnachuja mbu mnameza ngamia. Watembea uchi, waimbaji wa matusi na ngono hamuwakamati, majizi na mabadhilifu hamkamati. Mungu wao yu hai, atawatetea.
Gharika zinapotokea Mungu huwa HAI...

Yuko HAI siku zote....
 
Samia takataka at her best, ameivuruga nchi, Tanzania sasa haijurikani kichwa kiko wapi, mkia upo wapi?
Wakati wa UNGA(United nation general Assembly), kaingia mitini, hakwenda kutoa hotuba, limejifungia kizimkazi linakula urojo, na kufanya uteuzi kimakengeza!
Kuna issue ya, Amani ya nchi ya Haiti, si wizara ya mambo ya nje, wala wizara ya ulinzi, wala inteligensia yetu inayoliongelea na kutoa mikakati,
Watani zetu Kenya(Ruto)wakaona fulsa ya kuiweka Kenya kwenye ramani(katika ulinzi na usalama), wanajiandaa kupereka vikosi maalum vya polisi kutuliza amani, na kuirejesha Haiti katika Hari ya usalama, Samia yupo wapi! Lipo linarembua macho na kufanya uteuzi tu! So pathetic!
Baba yako wa kufikia niko na mama yako hapa ananirembulia macho baada ya kumnyoosha "kimoja"...

Mama yako mzazi anatupenda sana vijana kwa kuwa baba yako hana nguvuuuur za kiumeeeer....

Wiki ijayo ninamuandalia mtungo na masela akina Zondo...

Upo mwanangu?!!!
 
Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali.

View attachment 2766355


================== ==================
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”, amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kibali.

Akizungumza na JamiiForums, Wakili Boniphace Mwabukusi amesema “Kweli amehukumiwa lakini Mchungaji alifuata machakato wa kuomba vibali japo Serikali ndio ilikuwa ikichelewesha ukamilishwaji, pia Sheria inasema mtu ambaye yupo katika mchakato wa maombi hawezi kushtakiwa."

Ameongeza "Adhabu aliyofungwa nayo ina faini na kifungo, Hakimu ametoa adhabu ya kifungo bila faini, tunatarajia kukata rufaa Jumatatu (Oktoba 2, 2023)."


=================​
Pia soma: 'Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi' Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Mapinduzi kwa watawala yataanzia Mbeya, Songwe na Mara
 
Back
Top Bottom