Baba wa Taifa na Mizengwe - Makala ya Askofu Bagonza

Baba wa Taifa na Mizengwe - Makala ya Askofu Bagonza

Ni makala nzuri uliyoweka hapa, na kwa vile ni ndefu sijaisoma yote, ila katika kusoma aya za awali nikakumbuka 'wapambe', ambao wengine wanazua ya kwao tu wenyewe, lakini siku hizi tumeona wengine wakitumwa wafanye kazi hiyo.

Hebu niambie mpambe kama Msiba...;

Ungesikia Mwalimu Nyerere akijisifu kudukua maongezi ya baina ya watumishi wake, tena yeye mwenyewe, sio kwamba kawatuma wapambe wafanye hivyo!
Tofauti ya wakati ule na huu wetu ni moja tu. Wakati wa Baba wa Taifa, mizengwe na fitna ilianzishwa na wapambe na makanda bila kumhusisha.
Siku hizi kiwanda cha mizengwe kinaanzia juu kabisa, halafu kinashuka chini kwa wapambe.

Unasikia 'barakoa' zilizowekewa coronavirus ili ziwauwe waTanzania, sio kutoka kwa wapambe, zinatoka kwa mwenyewe, wala hana haja ya kufichaficha kitu chochote, kama ulivyoonyeshwa ubovu wa vipimo vya coronavirus kwa kuyapima mapapai, hadi oil.

Nyakati zimebadilika sana.

Wakti ule wa Mwalimu wasomi hawakuwepo wengi, kwa hiyo ingekuwa rahisi kuwarubuni wananchi. Sasa, tunao wasomi wengi mno, lakini ajabu ni kwamba wasomi hawa ni wepesi sana kukubali chochote, wakiamini kwamba kuwa mkuu wa nchi ndie anayejua mambo yote, akisikika anasema jambo, huo ndio ukweli wote usiohojiwa.
 
Mambo ya baba wa taifa yapo vitabuni ila nyie vijana wa zamani mlimchukia sana nyerere na kumtungia majina ya kumdhihaki hadi anaondoka anakuja mwinyi alikuwa ameshachoka leo mnamuita ndio best. Ukifa unapendwa sana
Hiyo hadithi ya Mwalimu kuchukiwa iko kichwani mwako kama hadithi. Ni wapumbavu wachache wanaoamini upuuzi huo..
 
sasa hivi Ikulu ni pango la wakatili, wezi, wauaji, wadhulumaji, na takataka zote! Sanctity of Ikulu haipo tena! Mshauri wa Ikulu ni Kessy, Msukuma, Lugola, Moroto, Mambosasa and the like! NAJISI TUPU
 
Sikumbuki wakati wowote Mwalimu alipoona wananchi ni tatizo na kuwatungia sheria ya kuwadhibiti. Aliwakomalia viongozi ambao daima aliona wanataka kutumia ujinga wa wananchi ili kuwanyonya na kuwakandamiza.
Baba askofu unakengeuka,hukumbuki sheria ya mwalimu kuwaweka ndani na kuwazima kabisa vilomo lomo?kamuulize mapalala
Hukumbuki ilikua marufuku kuagiza gari,bila ya kibali cha state motors?
Hukumbuki kuwa ilikua nj marufuku kutembeza gari ndogo jumapili bil kibali cha ikulu?
Unazi unakufanya uvuke mipaka,chukua tu fomu uje tupambane badala ya kujificha madhabahuni
 
kwa mfano Mwalimu alitengeneza vision ya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.
wezi wakaviuza na vikageuzwa kuwa maghala.... ujinga wa kugeuza viwanda kuwa maghala si mbegu ya Mwalimu!
Kama hujui walioviuza Ndo hao waliosoma kipindi cha mwalimu
 
Mbaya zaidi Kundi kubwa la wajinga hao ni Waajiriwa Serikalini....

Dereva Kipofu, Konda ni Kiziwi na Abiria ni Mabubu....sijui safari yetu kama tutafika salama !!
Wana JF na wenye nia njema. Pendekezeni njia ya koundokana na tatizo hili siyo kulalamika na kutukana tu.
 
Ndani ya Katiba hakuna kipengele cha kuhama Nchi bali KUKOSOA na kama hupendi watu kutumia UHURU wao waliopewa ndani ya katiba basi pita KIMYA KIMYA badala ya kutaka kunyamazisha watu.

sasa si mkosoe kwa hekima, matusi ya nn? sisi wengine hatuna hata vyama: lakini lazima kura tupige kwa tunaotaka, ila swala la kuita watu wajinga?? WTF!! - hii inaonyesha jinsi gan hata hoja mtu hana, elekeza kwenye hoja yako imetosha, tutaisoma na tutaelewa wapi hapajaenda vizuri,
 
Kwa hiyo anataka turudie kadi ya CCM yenye uzito kuliko Pasipoti?

Low IQ!
Kaimbe mapambio wewe MATAGA
bwana wa mabwana mungu wa miungu alufa na omera nan kama mwewe.....
 
Wanaangalia matumbo yao ,sometimes ukisikiliza watu wazima na mavitambi yao wanaongea ujinga ili wachaguliwe kupata vyeo yani wanauvua utu wao kabisa!
Vile ni vitambi vya Chakula au Kuna nn kule Ndani??
 
Wanaangalia matumbo yao ,sometimes ukisikiliza watu wazima na mavitambi yao wanaongea ujinga ili wachaguliwe kupata vyeo yani wanauvua utu wao kabisa!
Vile ni vitambi vya Chakula au Kuna nn kule Ndani??
 
Umekosea! Haya yote yalitokea baada ya Azimio la Zanzibar. "Economic Liberalization". Uliza nitakufafanulia kama unataka.
Fafanua
So far Mpaka sasa viongozi wakubwa wenye maamuzi Asilimia kubwa ni wazee waliosomeshwa awamu ya kwanza Ya mwalimu na kipindi cha Mzee mwinyi, na hilo azimio la Zanzibar liliazimiwa na vijana waliosoma miaka hii, au wazee waliosoma hapo Zaman?
 
Hivi Harrison Mwakyembe na Paramagamba Kabudi wamesoma chuo gani na enzi zipi?
 
Narudia tena, siku ukitia akilini kichwani haya maneno ya Askofu Bagonza UTAYAELEWA tena kwa kina.

sasa si mkosoe kwa hekima, matusi ya nn? sisi wengine hatuna hata vyama: lakini lazima kura tupige kwa tunaotaka, ila swala la kuita watu wajinga?? WTF!! - hii inaonyesha jinsi gan hata hoja mtu hana, elekeza kwenye hoja yako imetosha, tutaisoma na tutaelewa wapi hapajaenda vizuri,
 
Back
Top Bottom