KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ni makala nzuri uliyoweka hapa, na kwa vile ni ndefu sijaisoma yote, ila katika kusoma aya za awali nikakumbuka 'wapambe', ambao wengine wanazua ya kwao tu wenyewe, lakini siku hizi tumeona wengine wakitumwa wafanye kazi hiyo.
Hebu niambie mpambe kama Msiba...;
Ungesikia Mwalimu Nyerere akijisifu kudukua maongezi ya baina ya watumishi wake, tena yeye mwenyewe, sio kwamba kawatuma wapambe wafanye hivyo!
Unasikia 'barakoa' zilizowekewa coronavirus ili ziwauwe waTanzania, sio kutoka kwa wapambe, zinatoka kwa mwenyewe, wala hana haja ya kufichaficha kitu chochote, kama ulivyoonyeshwa ubovu wa vipimo vya coronavirus kwa kuyapima mapapai, hadi oil.
Nyakati zimebadilika sana.
Wakti ule wa Mwalimu wasomi hawakuwepo wengi, kwa hiyo ingekuwa rahisi kuwarubuni wananchi. Sasa, tunao wasomi wengi mno, lakini ajabu ni kwamba wasomi hawa ni wepesi sana kukubali chochote, wakiamini kwamba kuwa mkuu wa nchi ndie anayejua mambo yote, akisikika anasema jambo, huo ndio ukweli wote usiohojiwa.

Siku hizi kiwanda cha mizengwe kinaanzia juu kabisa, halafu kinashuka chini kwa wapambe.Tofauti ya wakati ule na huu wetu ni moja tu. Wakati wa Baba wa Taifa, mizengwe na fitna ilianzishwa na wapambe na makanda bila kumhusisha.