π π π π π πMwaka huu Kuna Sensa, tusubiri mzee aanze kuchochea waislamu wakatae kuhesabiwa mpaka pale dodoso la Sensa litakapowekwa kipengele cha dini.
Tunaamka tumechoka tunalala tumechoka tena...maisha yetu yanaendelea. Ila hii hoja ya udini ni hoja muflisi. haitakaa kuja kusimama π π π π π π π π πYani kila siku tunajadili dini, tumekosa kazi za kufanya!!!
Mdukuzi,Naona unanadi kitabu chako kwa gia ya uislam
Tangawizi,Tunaamka tumechoka tunalala tumechoka tena...maisha yetu yanaendelea. Ila hii hoja ya udini ni hoja muflisi. haitakaa kuja kusimama π π π π π π π π π
Tangawizi,π π π π π π
Nafikiri muda utatusaidia kuamka na kuanza kufikiria tunavyopaswa kufikiri, Hata Taliban wanaanza kutaka mahusiani na jumuiya ya kimataifa. Haya mambo ya kutaka special favors na kupewa special status sababu ya dini ya mtu, hata kama mtu mwenyewe ni mjinga asiyefaa, yatatusaidia nini? Tanzania haiko hivyo
Master...Bwana Mohamed.
Hongera kwa majibu ya kuelimisha kuhusu UNACHOSIMAMIA
Nimependa unavojibu bila chuki hata kwa walioonekana kuandika ambayo yangekukera kama ilivyo asili ya kiumbe mtu.
Lakini ningependa (si kama upendavyo) katika kipande cha maisha yako yaliyobaki hapa duniani UTAMBUE (keep them into Consideration or Account) kuwa utofauti wa Dini pekee hasa kwa Watanganyika (kwa kuwa ndio penye Ubaguzi ulioudhihirisha, Zanzibar kule halikuhusu sana kwa sababu ile #% vs #% inakupendeza) halisadifu kuwa ubaguzi umeishia hapo.
Take into account that kuna watu wanabaguliwa si kwa sababu ya dini bali kwa sababu ya wanatokea wapi (Makabila na ukanda) au kwa sababu ni watoto wa akina fulani.
Watoto wa wapigania uhuru au vita ya Idd Amin wanashukuriwa mpaka leo ambapo kwa vyeo bila kujali dini zao kama unavyoshupaza kuamini ni dini pekee inayogawa mkate.
Kama ambalo pia liko wazi sana kwa mtoto wa sasa 2020s kuhoji kwa nini mimi ni wa imani hii na anaishia kujua kuwa ni kwa sababu ya kuzaliwa au kulelewa, then ebu sasa ebu jaribu kushukuru (kwa maandiko makuu kama uliyo-publish) wasambaza dini na ama kulaumu wasambaza dini zote kwa zilizo-impact your society to differences.
Ili tujue kwa nini tuko hivi tulivo na kwamba ni bahati kuwa hivi, ama ni bahati mbaya!
Park...Yani kila siku tunajadili dini, tumekosa kazi za kufanya!!!
Da Vinci...Big up mzee wangu
Kuwa na adabu kenge we! Je baba akiitwa abilisi utaridhika? Sheitwani weHuyu mzee mi namwona wakala wa Ibilisi kabisa!! Kazi kubwa ya Ibilisi ni kupinduapindua maneno, giza lionekane mwanga na mwanga eti tuseme ni giza. Narudia huyu ni mhalifu!
Naomba kuuliza nipate ufahamu.Kong...
Uadilifu II
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uteuzi huo umekuwa kama Sera kwa teuzi zinazoendelea ndani ya miaka yote mitano. Vilevile kama Mwongozo kwa wateule wenye mamlaka ya kuteuwa. Mwelekeo huo unakinzana na Katiba ya nchi ibara ya 13(4)(5), inayokataza ubaguzi wa aina zote. Kwa hakika Taifa halihitaji kiongozi wa nchi akiwa Muislamu basi ateuwe idadi kubwa ya Waislamu wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi au akiwa Mkristo atumie uongozi wake kuteua idadi kubwa ya Wakristo wenzake katika uongozi nchini. Au akiwa Mzanaki ateuwe idadi kubwa ya Wazanaki wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi na mfano wa hayo.
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona β COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...www.jamiiforums.com
Day...Naomba kuuliza nipate ufahamu.
Je hali hii ilikuwa hivi pia kwa awamu ya nne na Raisi wa muda huu.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
1.Ningependa kujua pia.Ni kipindi gani wameanza kuongezeka.Day...
Toka uhuru 1961 Waislam ndani ya serikali wamekuwa pungufu katika kila kitu hadi imezoeleka.
Tofauti unakuja pale inapokuwa nafuu kuwa angalau wameongezeka.
Kulikuwa na malalamuliko kwenye board ya parole kwa wajumbe kuelemea upande mmoja, wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba, nafasi za elimu kuanzia sekondari hadi chuo kikuu nk. nk.
Hili limekuwa tatizo kubwa na la kudumu.
Sure, ni hoja za watu waliokosa hoja!Tunaamka tumechoka tunalala tumechoka tena...maisha yetu yanaendelea. Ila hii hoja ya udini ni hoja muflisi. haitakaa kuja kusimama π π π π π π π π π
ukweli unaungurumisha maini yakoMaada karibu 50 zote unalialia
Hata kama ma Phd wanatuletea juisi kutoka Madagascar ya kuganga corona ??π π π π π π
Nafikiri muda utatusaidia kuamka na kuanza kufikiria tunavyopaswa kufikiri, Hata Taliban wanaanza kutaka mahusiani na jumuiya ya kimataifa. Haya mambo ya kutaka special favors na kupewa special status sababu ya dini ya mtu, hata kama mtu mwenyewe ni mjinga asiyefaa, yatatusaidia nini? Tanzania haiko hivyo
Sure, ni hoja za watu waliokosa hoja!
1.Ningependa kujua pia.Ni kipindi gani wameanza kuongezeka.
2.Hadi sasa 20:80 inaendelea kama mchanganuo ulivyouweka hapo juu? Maana hv sasa wateuliwa ni wengine.
3.Mgawanyo wa wateuliwa ukoje hv sasa.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app