Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Mwaka huu Kuna Sensa, tusubiri mzee aanze kuchochea waislamu wakatae kuhesabiwa mpaka pale dodoso la Sensa litakapowekwa kipengele cha dini.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nafikiri muda utatusaidia kuamka na kuanza kufikiria tunavyopaswa kufikiri, Hata Taliban wanaanza kutaka mahusiani na jumuiya ya kimataifa. Haya mambo ya kutaka special favors na kupewa special status sababu ya dini ya mtu, hata kama mtu mwenyewe ni mjinga asiyefaa, yatatusaidia nini? Tanzania haiko hivyo
 
Yani kila siku tunajadili dini, tumekosa kazi za kufanya!!!
Tunaamka tumechoka tunalala tumechoka tena...maisha yetu yanaendelea. Ila hii hoja ya udini ni hoja muflisi. haitakaa kuja kusimama πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Bwana Mohamed.
Hongera kwa majibu ya kuelimisha kuhusu UNACHOSIMAMIA
Nimependa unavojibu bila chuki hata kwa walioonekana kuandika ambayo yangekukera kama ilivyo asili ya kiumbe mtu.

Lakini ningependa (si kama upendavyo) katika kipande cha maisha yako yaliyobaki hapa duniani UTAMBUE (keep them into Consideration or Account) kuwa utofauti wa Dini pekee hasa kwa Watanganyika (kwa kuwa ndio penye Ubaguzi ulioudhihirisha, Zanzibar kule halikuhusu sana kwa sababu ile #% vs #% inakupendeza) halisadifu kuwa ubaguzi umeishia hapo.

Take into account that kuna watu wanabaguliwa si kwa sababu ya dini bali kwa sababu ya wanatokea wapi (Makabila na ukanda) au kwa sababu ni watoto wa akina fulani.

Watoto wa wapigania uhuru au vita ya Idd Amin wanashukuriwa mpaka leo ambapo kwa vyeo bila kujali dini zao kama unavyoshupaza kuamini ni dini pekee inayogawa mkate.

Kama ambalo pia liko wazi sana kwa mtoto wa sasa 2020s kuhoji kwa nini mimi ni wa imani hii na anaishia kujua kuwa ni kwa sababu ya kuzaliwa au kulelewa, then ebu sasa ebu jaribu kushukuru (kwa maandiko makuu kama uliyo-publish) wasambaza dini na ama kulaumu wasambaza dini zote kwa zilizo-impact your society to differences.

Ili tujue kwa nini tuko hivi tulivo na kwamba ni bahati kuwa hivi, ama ni bahati mbaya!
 
Naona unanadi kitabu chako kwa gia ya uislam
Mdukuzi,
Hapana kitabu hiki hakihitaji kunadiwa hapa.

Wala si nia yangu kufanya hivyo lakini nakitaja kwa ule umuhimu wake kuwa kimebadili historia ya Mwalimu na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Lakini nitakueleza kitu.

Siku Maxence Melo siku alipokuja nyumbani kwangu kunikabidhi ''Certificate of Appreciation,'' nilimwambia kuwa mimi nina deni kubwa sana kwa JF kwani ndiyo iliyonifanya nijulikane kwingi.

JF ni sababu kubwa sana ya kitabu hiki kununuliwa kwa wingi hadi hii leo.
Sihitaji mimi kukitangaza.

JF walishaifanya kazi hiyo miaka mingi iliyopita tena bila ya kunitoza chochote.

1643393130858.png
 
Tunaamka tumechoka tunalala tumechoka tena...maisha yetu yanaendelea. Ila hii hoja ya udini ni hoja muflisi. haitakaa kuja kusimama πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tangawizi,
Unaweza kuiona hii hoja haina maana kwako lakini hii 20:80 inahangaisha wengi na kwingi.
Wengi wangependa sana kama serikali ingetoa kauli.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nafikiri muda utatusaidia kuamka na kuanza kufikiria tunavyopaswa kufikiri, Hata Taliban wanaanza kutaka mahusiani na jumuiya ya kimataifa. Haya mambo ya kutaka special favors na kupewa special status sababu ya dini ya mtu, hata kama mtu mwenyewe ni mjinga asiyefaa, yatatusaidia nini? Tanzania haiko hivyo
Tangawizi,
Haiwezekani ikawa hivyo kuwa Waislam ni wajinga kama ulivyosema.

Haiwezekani ikawa watu wa dini moja wao ndiyo wana akili ya kuhodhi kila kitu kwa kuwa wenzao ni wajinga.

Hakuna popote ambapo Waislam wamedai upendeleo.

Bahati mbaya sana serikali inaliogopa sana suala hili hivyo hawako tayari kulizungumza hadharani.
 
Bwana Mohamed.
Hongera kwa majibu ya kuelimisha kuhusu UNACHOSIMAMIA
Nimependa unavojibu bila chuki hata kwa walioonekana kuandika ambayo yangekukera kama ilivyo asili ya kiumbe mtu.

Lakini ningependa (si kama upendavyo) katika kipande cha maisha yako yaliyobaki hapa duniani UTAMBUE (keep them into Consideration or Account) kuwa utofauti wa Dini pekee hasa kwa Watanganyika (kwa kuwa ndio penye Ubaguzi ulioudhihirisha, Zanzibar kule halikuhusu sana kwa sababu ile #% vs #% inakupendeza) halisadifu kuwa ubaguzi umeishia hapo.

Take into account that kuna watu wanabaguliwa si kwa sababu ya dini bali kwa sababu ya wanatokea wapi (Makabila na ukanda) au kwa sababu ni watoto wa akina fulani.

Watoto wa wapigania uhuru au vita ya Idd Amin wanashukuriwa mpaka leo ambapo kwa vyeo bila kujali dini zao kama unavyoshupaza kuamini ni dini pekee inayogawa mkate.

Kama ambalo pia liko wazi sana kwa mtoto wa sasa 2020s kuhoji kwa nini mimi ni wa imani hii na anaishia kujua kuwa ni kwa sababu ya kuzaliwa au kulelewa, then ebu sasa ebu jaribu kushukuru (kwa maandiko makuu kama uliyo-publish) wasambaza dini na ama kulaumu wasambaza dini zote kwa zilizo-impact your society to differences.

Ili tujue kwa nini tuko hivi tulivo na kwamba ni bahati kuwa hivi, ama ni bahati mbaya!
Master...
Wengi mnakwepa kuzungumzia hii 20:80.
Mnakwenda kwenye mambo ambayo si moyo wa mjadala huu.
 
Huyu mzee mi namwona wakala wa Ibilisi kabisa!! Kazi kubwa ya Ibilisi ni kupinduapindua maneno, giza lionekane mwanga na mwanga eti tuseme ni giza. Narudia huyu ni mhalifu!
Kuwa na adabu kenge we! Je baba akiitwa abilisi utaridhika? Sheitwani we
 
kwa kweli mpaka leo bado ninamkubali Nyerere kwa akili yake ambayo siku hizi inaitwa kwa kiingereza kuwa "WOKE"
Alijiua ujanja wa Mabeberu tokea miaka ileeeee....
Alijua siasa za uchumi wa kibeberu tokea enzi zileeee..
Na alikuwa na mwamko wa kujua athari za kidunia kama mambo ya kimazingira na mabadiliko ya tabia nchi tokea miaka ya 70...
Nakumbuka miaka hiyo ya 70, Baba yangu alikuwa anafanya kazi serikalini, walikuwa wanavaa beji imeandikwa "TUTAPANDA MITI"

Lakini kwenye siasa za ndani, alipurura utopolo ile mbaya..
Ujamaa ulikuwa ni sumu ya maendeleo....
Na Ukatoliki alikuwa nao sana tu, na ulishamiri hasa serikalini, hii sio ngano za kale...ni ukweli mtupu...ndio maana alijirudi na kuona kavurunda na kukaa kando...na kufanya hivyo ndio zaidi inaonyesha ni mkomavu kiakili....
Pan Africanist wa ukweli.....japo alitutia umasikini wa kutupa.....
 
Kong...

Uadilifu II

Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

Uteuzi huo umekuwa kama Sera kwa teuzi zinazoendelea ndani ya miaka yote mitano. Vilevile kama Mwongozo kwa wateule wenye mamlaka ya kuteuwa. Mwelekeo huo unakinzana na Katiba ya nchi ibara ya 13(4)(5), inayokataza ubaguzi wa aina zote. Kwa hakika Taifa halihitaji kiongozi wa nchi akiwa Muislamu basi ateuwe idadi kubwa ya Waislamu wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi au akiwa Mkristo atumie uongozi wake kuteua idadi kubwa ya Wakristo wenzake katika uongozi nchini. Au akiwa Mzanaki ateuwe idadi kubwa ya Wazanaki wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi na mfano wa hayo.

Naomba kuuliza nipate ufahamu.
Je hali hii ilikuwa hivi pia kwa awamu ya nne na Raisi wa muda huu.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza nipate ufahamu.
Je hali hii ilikuwa hivi pia kwa awamu ya nne na Raisi wa muda huu.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Day...
Toka uhuru 1961 Waislam ndani ya serikali wamekuwa pungufu katika kila kitu hadi imezoeleka.

Tofauti unakuja pale inapokuwa nafuu kuwa angalau wameongezeka.

Kulikuwa na malalamuliko kwenye board ya parole kwa wajumbe kuelemea upande mmoja, wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba, nafasi za elimu kuanzia sekondari hadi chuo kikuu nk. nk.

Hili limekuwa tatizo kubwa na la kudumu.
 
1.Ningependa kujua pia.Ni kipindi gani wameanza kuongezeka.
2.Hadi sasa 20:80 inaendelea kama mchanganuo ulivyouweka hapo juu? Maana hv sasa wateuliwa ni wengine.
3.Mgawanyo wa wateuliwa ukoje hv sasa.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Tunaamka tumechoka tunalala tumechoka tena...maisha yetu yanaendelea. Ila hii hoja ya udini ni hoja muflisi. haitakaa kuja kusimama πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Sure, ni hoja za watu waliokosa hoja!
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nafikiri muda utatusaidia kuamka na kuanza kufikiria tunavyopaswa kufikiri, Hata Taliban wanaanza kutaka mahusiani na jumuiya ya kimataifa. Haya mambo ya kutaka special favors na kupewa special status sababu ya dini ya mtu, hata kama mtu mwenyewe ni mjinga asiyefaa, yatatusaidia nini? Tanzania haiko hivyo
Hata kama ma Phd wanatuletea juisi kutoka Madagascar ya kuganga corona ??
 
1.Ningependa kujua pia.Ni kipindi gani wameanza kuongezeka.
2.Hadi sasa 20:80 inaendelea kama mchanganuo ulivyouweka hapo juu? Maana hv sasa wateuliwa ni wengine.
3.Mgawanyo wa wateuliwa ukoje hv sasa.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app

Screenshot_20220129-195842_Chrome.jpg

Njia nyepesi sana ya kulimaliza hili tatizo ni kwetu sisi kulisema hadharani kuwa hatupendi kuona taasisi za umma zinahodhiwa na watu wa dini moja.

Sheikh Ponda hata akiongoza maandamano atapuuzwa.

Aliongoza maandamano dhidi ya Ndalichako na NECTA yake Ndalichako akapandishwa cheo kuwa Waziri wa Elimu.

Ujumbe kwa Waislam ulikuwa wao hawajali hisia zetu.

Hili ni la BAKWATA na Mufti.

Yeye aseme.
Atasikilizwa.

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mama Mulamula kateua Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) hakuna Muislam hata mmoja.
 
Back
Top Bottom