Baba wenye 30s wenye mabinti teenagers njooni hapa (Huyu binti yangu nimpeleke Feza Girls au Makongo Sec?)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Am almost 35 and my daughter is 15 (kidato cha pili) Nahisi kama vile sina tena uwezo wa kum control huyu mtoto.

I think She now takes me as her brother (Nimelihisi hili kwa kuangalia jinsi aanavyo wa address agemates wangu ) Hawezi kusema kuna mbaba mmoja au uncle mmoja, atasema kuna mkaka mmoja.

Watu ambao nawa reffers kama brothers and sisters( ambao si ndugu) na yeye ana warefer the same.

Nadhani kitu kilichokuwa kimebaki ni yeye kuanza kuniita kwa jina langu.

Leo ni siku ya kumi tangu nim sent off kwa mama yangu mzazi ( bibi yake ) ambapo atakaa mpaka atakapo fanya mtihani wa kidato cha pili. At least sasa hivi anaweza kuniamkia shikamoo baba nikipiga simu kuongea na bibi yake maana yake alipokuwa akiishi under my roof nilikuwa sipati shikamoo kabisa...

Anajiona mkubwa sawa sawa na mimi.. Kubishana na mimi lilikuwa jambo la kawaida.. her behaviour reduced me into a guy who was calling to my mother and elder sisters or elder relatives to complain about her instead of me being that strict dad who just speak and it is done..

NILIKUWA NIMEPANGA FORM 3 AKAKAE BOARDING FEZA GIRLS BUT NIMEAMBIWA FEZA GIRLS PALE WATOTO WANATOKA HAWANA DISCIPLINE.. NIKAAMBIWA NIMPELEKE MAKONGO NDIO WANAFUNDISHA WATOTO DISCIPLINE.. SO I WAS THINKING OF TAKING HER TO MAKONGO AMBAKO ATAJIFUNZA NA DISCIPLINE PIA.. PLUS NAMUONA KAMA NI MWENYE KIPAJI PALE MAKONGO KINAWEZA KUWA NURTURED.. but still bado ninasita kwa sababu sijui kuhusu uwezo wa kitaaluma wa Makongo ingawa mtoto wangu huyu yupo very very bright (Yupo bright kama Wakili msomi N'GWASHI D. KAMANI, MBUNGE VITI MAALUMU CCM (The youngest MP in TZ SO FAR SHE WAS JUST BORN IN 1996 ) ana uwezo mkubwa sana darasani ana msingi mzuri sana wa shule ya msingi aliyosoma na shule anayo soma sasa hivi...

So ushauri wenu wadau. Nimpeleke Makongo atoke na discipline au nimpeleke Feza Girls atoke na matokeo mazuri sana, connection, classy with some farking western attitude.

Kingine kwa wale wanaume ambao mlipata watoto wa kike mkiwa bado teenagers na mkawalea then mkaja kuishi nao as single fathers, then wakawa teen agers mkiwa in ur early 30s mliweza vipi kudeal na kiburi cha foolish age cha mtoto wa kike?
 
Am almost 35 and my daughter is 15 ( kidato cha pili )Nahisi kama vile sina tena uwezo wa kum control huyu mtoto.

I think She now takes me as her brother ( Nime lihisi hili kwa kuangalia jinsi aanavyo wa address age mates wangu ) Hawezi kusema kuna mbaba mmoja au uncle mmoja, atasema kuna mkaka mmoja.

Watu ambao nawa reffers kama brothers and sisters ( ambao si ndugu ) na yeye ana warefer the same.

Nadhani kitu kilicho kuwa kimebaki ni yeye kuanza kuni ita kwa jina langu.

Leo ni siku ya kumi tangu nim sent off kwa mama yangu mzazi ( bibi yake ) ambapo atakaa mpaka atakapo fanya mtihani wa kidato cha pili. At least sasa hivi anaweza kuniamkia shikamoo baba nikipiga simu kuonge na bibi yake maana yake alipokuwa akiishi under my roof nilikuwa sipati shikamoo kabisa...

Anajiona mkubwa sawa sawa na mimi.. Kubishana na mimi lilikuwa jambo la kawaida.. her behaviour reduced me into a guy who was calling to my mother and elder sisters or elder relatives to complain about her instead of me being that strict dad who just speak and it is done..

NILIKUWA NIMEPANGA FORM 3 AKAKAE BOARDING FEZA GIRLS BUT NIMEAMBIWA FEZA GIRLS PALE WATOTO WANATOKA HAWANA DISCIPLINE.. NIKAAMBIWA NIMPELEKE MAKONGO NDIO WANAFUNDISHA WATOTO DISCIPLINE.. SO I WAS THINKING OF TAKING HER TO MAKONGO AMBAKO ATAJIFUNZA NA DISCIPLINE PIA.. PLUS NAMUONA KAMA NI MWENYE KIPAJI PALE MAKONGO KINAWEZA KUWA NURTURED.. but still bado ninasita kwa sababu sijui kuhusu uwezo wa kitaaluma wa Makongo ingawa mtoto wangu huyu yupo very very bright ( Yupo bright kama Wakili msomi N'GWASHI D. KAMANI, MBUNGE VITI MAALUMU CCM ( The youngest MP in TZ SO FAR SHE WAS JUST BORN IN 1996 ) ana uwezo mkubwa sana darasani ana msingi mzuri sana wa shule ya msingi aliyo soma na shule anayo soma sasa hivi...

So ushauri wenu wadau. Nimpeleke Makongo atoke na discipline au nimpeleke Feza Girls atoke na matokeo mazuri sana, connection , classy with some farking western attitude

The problem its you your self bado hujajitambua kwamba umekua una hesabu number ya miaka badala ya kuhesabu majikum yako ya kiparental wakeup buana at 35yrs wewe ni mtu mzima kabisa, Raisi wa ufaransa alikua 38yrs nchi ya watu 120m humtegemea kwa kila jambo
 
Hao rafiki zako wanaoitwa wakaka watakuja kumgonga ngozi mwanao,Ni vyema ukampeleka boarding Kama ulivosema.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
I dont give a fvck bro. mtoto wa kike sio wa kumuwekea dhamana kabisa na sio mwenzako.

Ukiwa na mtoto wa kike wewe kama baba halafu mkakutana na kundi la wanawake watano ambao hamuwajui,basi wale wanawake watano ) strangers) anawaona ndio wenzake na wewe ( baba ake mzazi ) sio mwenzake.
 
The problem its you your self bado hujajitambua kwamba umekua una hesabu number ya miaka badala ya kuhesabu majikum yako ya kiparental wakeup buana at 35yrs wewe ni mtu mzima kabisa, Raisi wa ufaransa alikua 38yrs nchi ya watu 120m humtegemea kwa kila jambo
Bro mtoto wa kike akisha ingia kwenye foolish age ni ngumu sana kumcontrol as a single father. U cant be wiser than nature
 
Huyo mpeleke makongo akafundishwe adabu
..huko feza u western ni mwingi sanaaa atatoka worse.
Angekua tyr anajielewa ungempeleka feza..maana isingembadili tabia.
Lkn kwa alivyo..unaenda kumharibu
.
MAKONGO aende..
 
bro mtoto wa kike akisha ingia kwenye foolish age ni ngumu sana kumcontrol as a single father . U cant be wiser than nature
True bro, but thats the a teste for your mental maturity, understand teenager's psychology en play with it, hamna kigumu hapo ukojua wewe ni baba yake sio kaka tena, wazazi wa kiume ni wazuri sana kwa watoto wao wa kike ukiamua kusacriface mda wako na starehe zako zingine
 
Asante sana mkuu vipi kuhusu academic performance? So unaniambia kwenye nidhamu atatoka amenyooka?
 
Am almost 35 and my daughter is 15 ( kidato cha pili )Nahisi kama vile sina tena uwezo wa kum control huyu mtoto.

I think She now takes me as her brother ( Nime lihisi hili kwa kuangalia jinsi aanavyo wa address age mates wangu ) Hawezi kusema kuna mbaba mmoja au uncle mmoja, atasema kuna mkaka mmoja.

Watu ambao nawa reffers kama brothers and sisters ( ambao si ndugu ) na yeye ana warefer the same.

Nadhani kitu kilicho kuwa kimebaki ni yeye kuanza kuni ita kwa jina langu.

Leo ni siku ya kumi tangu nim sent off kwa mama yangu mzazi ( bibi yake ) ambapo atakaa mpaka atakapo fanya mtihani wa kidato cha pili. At least sasa hivi anaweza kuniamkia shikamoo baba nikipiga simu kuonge na bibi yake maana yake alipokuwa akiishi under my roof nilikuwa sipati shikamoo kabisa...

Anajiona mkubwa sawa sawa na mimi.. Kubishana na mimi lilikuwa jambo la kawaida.. her behaviour reduced me into a guy who was calling to my mother and elder sisters or elder relatives to complain about her instead of me being that strict dad who just speak and it is done..

NILIKUWA NIMEPANGA FORM 3 AKAKAE BOARDING FEZA GIRLS BUT NIMEAMBIWA FEZA GIRLS PALE WATOTO WANATOKA HAWANA DISCIPLINE.. NIKAAMBIWA NIMPELEKE MAKONGO NDIO WANAFUNDISHA WATOTO DISCIPLINE.. SO I WAS THINKING OF TAKING HER TO MAKONGO AMBAKO ATAJIFUNZA NA DISCIPLINE PIA.. PLUS NAMUONA KAMA NI MWENYE KIPAJI PALE MAKONGO KINAWEZA KUWA NURTURED.. but still bado ninasita kwa sababu sijui kuhusu uwezo wa kitaaluma wa Makongo ingawa mtoto wangu huyu yupo very very bright ( Yupo bright kama Wakili msomi N'GWASHI D. KAMANI, MBUNGE VITI MAALUMU CCM ( The youngest MP in TZ SO FAR SHE WAS JUST BORN IN 1996 ) ana uwezo mkubwa sana darasani ana msingi mzuri sana wa shule ya msingi aliyo soma na shule anayo soma sasa hivi...

So ushauri wenu wadau. Nimpeleke Makongo atoke na discipline au nimpeleke Feza Girls atoke na matokeo mazuri sana, connection , classy with some farking western attitude

Kingine kwa wale wanaume ambao mlipata watoto wa kike mkiwa bado teenagers na mkawalea then mkaja kuishi nao as single fathers, then wakawa teen agers mkiwa in ur early 30s mliweza vipi kudeal na kiburi cha foolish age cha mtoto wa kike?
It seems difficult sabab ya msingi wako wa malezi uliomjengea tokea kitambo ulikua sio mzuri . Anyways, kwanza umefanya jambo jema sana kumpeleka kwa bibi yake huyo atambadilisha kitu then mpeleke shule zenye zinafundishwa na masister watoto wengi wanaotoka kwenye shule hizo wanakuaga na discipline ya juu sana.
 
True bro, but thats the a teste for your mental maturity, understand teenager's psychology en play with it, hamna kigumu hapo ukojua wewe ni baba yake sio kaka tena, wazazi wa kiume ni wazuri sana kwa watoto wao wa kike ukiamua kusacriface mda wako na starehe zako zingine
Mkuu kama hukuwahi kuwa na mtoto wa kike ukiwa teenager na sasa hivi upo in ur mid 30s and she is a teenager alie kwisha vunja ungo anaeishi kwenye social media generation huwezi kujua ugumu wake..

Nimesoma kitabu cha bondia Joe Frazier aliye zaliwa mwaka 1944 akampata mtoto wake wa kwanza binti Jackie Frazier ( ambae ni Judge na bondia mstaafu ) mwaka 1961 akiwa na miaka 16\17) kuhusu namna alivyo weza kudeal na malezi ya binti yake wakiwa na tofauti ndogo ya umri anasema ni rahisi sana mtoto anapokuwa bado hajabalehe lakini akiisha balehe ni ngumu sana na next to impossible ila kwake ilikuwa rahisi kwa sababu mtoto alipo fikisha umri wa balehe alimpeleka kwa mama yake mzazi.( mama wa mtoto )
 
It seems difficult sabab ya msingi wako wa malezi uliomjengea tokea kitambo ulikua sio mzuri . Anyways, kwanza umefanya jambo jema sana kumpeleka kwa bibi yake huyo atambadilisha kitu then mpeleke shule zenye zinafundishwa na masister watoto wengi wanaotoka kwenye shule hizo wanakuaga na discipline ya juu sana.
,🙏🙏🙏
 
Noted. Naogopa shule za seminary mtoto anaweza kupigwa suspension mkuu
 
bro mtoto wa kike akisha ingia kwenye foolish age ni ngumu sana kumcontrol as a single father . U cant be wiser than nature
Jambo muhimu la kujiuliza kwa experience yako je ni watoto wote wa umri huo wanapoingia kwenye foolish age wanabehave hivyohivyo, kama si wote ni nini kinafanya wengine wakue kwa adabu huku wengine wakitoka nje ya mstari?
 
huyu mwanangu sio mbaya kihivyo she is a good girl, with other people she is very cool and she is so much loved by so many people. Her own problem is how she treats me. I think she doesnt do more than enough. She doesnt accord me the traditional fatherhood respeck which i think i deserve. Mambo mengine yuko poa kabisa. Mimi nafikiri labda ni sababu ya 1. mazoea ( kwamba amenizoea sana kwa sababu kila siku ananiona / humans dont value things which they easily get

2. Kudeka : kwamba anajua baba angu kijana he loves me and cant just do nothing unto me.
 
Jambo muhimu la kujiuliza kwa experience yako je ni watoto wote wa umri huo wanapoingia kwenye foolish age wanabehave hivyohivyo, kama si wote ni nini kinafanya wengine wakue kwa adabu huku wengine wakitoka nje ya mstari?
Malezi ya kizungu yana tu-cost in the longrun hususani mtoto akibalehe, tujiulize kwanini watoto wengine hamna cha foolish age
 
Aisee na kuelewa sn ku contro mtt wa kike mwenye age kuanzia 14+ halafu ukiwa baba kijna kuanzia age ya 30 inahitaji mambo yafuatayo
1.Awe amekua kwny misingi sana ya dini not hawa wa saizi ambao kanisani/msikitin wanaenda kuonyesha mavazi
2.Wazazi wawe WAKOLONI hapa na maanisha mzazi kiumri uwe kijana lakini uongoz wako wa hapo nyumban uwe sawa na mzee mwenye miaka 50+
3.Mzazi wa kike km yupo awe mshauri wake mkuu wewe mzazi wa kiume ubaki kukazia pale unapoona mtt anakengeuka.
NB. komaa mtoto ni wako bibi amewalea nyie amesha zeeka hana tena makali huko sidhani kama ni salaama
 
Back
Top Bottom