Am almost 35 and my daughter is 15 ( kidato cha pili )Nahisi kama vile sina tena uwezo wa kum control huyu mtoto.
I think She now takes me as her brother ( Nime lihisi hili kwa kuangalia jinsi aanavyo wa address age mates wangu ) Hawezi kusema kuna mbaba mmoja au uncle mmoja, atasema kuna mkaka mmoja.
Watu ambao nawa reffers kama brothers and sisters ( ambao si ndugu ) na yeye ana warefer the same.
Nadhani kitu kilicho kuwa kimebaki ni yeye kuanza kuni ita kwa jina langu.
Leo ni siku ya kumi tangu nim sent off kwa mama yangu mzazi ( bibi yake ) ambapo atakaa mpaka atakapo fanya mtihani wa kidato cha pili. At least sasa hivi anaweza kuniamkia shikamoo baba nikipiga simu kuonge na bibi yake maana yake alipokuwa akiishi under my roof nilikuwa sipati shikamoo kabisa...
Anajiona mkubwa sawa sawa na mimi.. Kubishana na mimi lilikuwa jambo la kawaida.. her behaviour reduced me into a guy who was calling to my mother and elder sisters or elder relatives to complain about her instead of me being that strict dad who just speak and it is done..
NILIKUWA NIMEPANGA FORM 3 AKAKAE BOARDING FEZA GIRLS BUT NIMEAMBIWA FEZA GIRLS PALE WATOTO WANATOKA HAWANA DISCIPLINE.. NIKAAMBIWA NIMPELEKE MAKONGO NDIO WANAFUNDISHA WATOTO DISCIPLINE.. SO I WAS THINKING OF TAKING HER TO MAKONGO AMBAKO ATAJIFUNZA NA DISCIPLINE PIA.. PLUS NAMUONA KAMA NI MWENYE KIPAJI PALE MAKONGO KINAWEZA KUWA NURTURED.. but still bado ninasita kwa sababu sijui kuhusu uwezo wa kitaaluma wa Makongo ingawa mtoto wangu huyu yupo very very bright ( Yupo bright kama Wakili msomi N'GWASHI D. KAMANI, MBUNGE VITI MAALUMU CCM ( The youngest MP in TZ SO FAR SHE WAS JUST BORN IN 1996 ) ana uwezo mkubwa sana darasani ana msingi mzuri sana wa shule ya msingi aliyo soma na shule anayo soma sasa hivi...
So ushauri wenu wadau. Nimpeleke Makongo atoke na discipline au nimpeleke Feza Girls atoke na matokeo mazuri sana, connection , classy with some farking western attitude
Kingine kwa wale wanaume ambao mlipata watoto wa kike mkiwa bado teenagers na mkawalea then mkaja kuishi nao as single fathers, then wakawa teen agers mkiwa in ur early 30s mliweza vipi kudeal na kiburi cha foolish age cha mtoto wa kike?