Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamo nayo kuona nayo ni kama umekuja kutueleza kuwa una binti wa miaka 15 na una uwezo wa kumsomesha feza,Mkuu kama hukuwahi kuwa na mtoto wa kike ukiwa teenager na sasa hivi upo in ur mid 30s and she is a teenager alie kwisha vunja ungo anaeishi kwenye social media generation huwezi kujua ugumu wake..
Nimesoma kitabu cha bondia Joe Frazier aliye zaliwa mwaka 1944 akampata mtoto wake wa kwanza binti Jackie Frazier ( ambae ni Judge na bondia mstaafu ) mwaka 1961 akiwa na miaka 16\17) kuhusu namna alivyo weza kudeal na malezi ya binti yake wakiwa na tofauti ndogo ya umri anasema ni rahisi sana mtoto anapokuwa bado hajabalehe lakini akiisha balehe ni ngumu sana na next to impossible ila kwake ilikuwa rahisi kwa sababu mtoto alipo fikisha umri wa balehe alimpeleka kwa mama yake mzazi.( mama wa mtoto )
Pia jinsi anavyokuona rafiki tumia hilo kumweleza kuhusu madhara ya mapenzi kwa umri mdogo.Pamoja sana kaka..
vitoto vya siku hizi ni sheedah . ukiwa mkali sana mtoto anaweza hata kuondoka nyumbani na usijue ameenda wapi.
So inabidi uwe Wise. Watoto wa siku hizi sio sawa na dada zetu wa miaka ya themanini/70 na mwanzoni mwa miaka ya 90.
Nilivyo kuwaga nikimuona video vixen Tunda alivyo haribikiwa halafu nikitazama cv ya baba ake mzazi Afande SabaSita nilikuwa nashangaa sana aisee na kuona kama mzee Sabasita anazingua .kumbe kuna umri binti akisha fika baadhi ya mambo huwezi kumzuia zaidi ya kumuachia Mungu. P funky kwa Kajala, baba ake Lulu, baba ake Wema, etc etc.
Mtoto wa kike alie balehe huwezi kumzuia kumiss behave ( kwa mfano kugongwa). Unacho weza kufanya ni :
1. Kumuwekea mazingira magumu sana ya kupata nafasi ya kugongwa. Yani hata akienda kugongwa basi awe amekulia timing ya hatari sana.
2. Kumchelewesha kuanza kugongwa. Badala ya kuanza kugongwa akiwa na miaka 13 basi at least aanze akiwa na miaka 17/18/19.
Ukiujua ukweli utakuweka huru