Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana kaka..Aisee na kuelewa sn ku contro mtt wa kike mwenye age kuanzia 14+ halafu ukiwa baba kijna kuanzia age ya 30 inahitaji mambo yafuatayo
1.Awe amekua kwny misingi sana ya dini not hawa wa saizi ambao kanisani/msikitin wanaenda kuonyesha mavazi
2.Wazazi wawe WAKOLONI hapa na maanisha mzazi kiumri uwe kijana lakini uongoz wako wa hapo nyumban uwe sawa na mzee mwenye miaka 50+
3.Mzazi wa kike km yupo awe mshauri wake mkuu wewe mzazi wa kiume ubaki kukazia pale unapoona mtt anakengeuka.
NB. komaa mtoto ni wako bibi amewalea nyie amesha zeeka hana tena makali huko sidhani kama ni salaama
Ulimleaje mzee mpaka kafikia hatua hiyo? Mie wangu simchekei chekei sana, uzungu kidogo, ukoloni wa kutosha. Kama ulimkosea huko nyuma umri aliofikia kazi ipo, labda akikua zaidi ya hapo akili za ubinti zikimtoka akili zake zikarudi(kama akili zake zenyewe ziko saafi) anaweza rudi kukaa kwenye mstari.
Sio kweli premature sex sio basic neccesity ya makuzi ila ni utovu wa nizamu wa mtoto na malezi mabovu ya mzazi, acheni kuendekeza ngono kwa watoto wadogo, mbona wenzetu wanaweza kulea watoto wao paka umri wa 20s wakiwa virginPamoja sana kaka..
vitoto vya siku hizi ni sheedah . ukiwa mkali sana mtoto anaweza hata kuondoka nyumbani na usijue ameenda wapi.
So inabidi uwe Wise. Watoto wa siku hizi sio sawa na dada zetu wa miaka ya themanini/70 na mwanzoni mwa miaka ya 90.
Nilivyo kuwaga nikimuona video vixen Tunda alivyo haribikiwa halafu nikitazama cv ya baba ake mzazi Afande SabaSita nilikuwa nashangaa sana aisee na kuona kama mzee Sabasita anazingua .kumbe kuna umri binti akisha fika baadhi ya mambo huwezi kumzuia zaidi ya kumuachia Mungu. P funky kwa Kajala, baba ake Lulu, baba ake Wema, etc etc.
Mtoto wa kike alie balehe huwezi kumzuia kumiss behave ( kwa mfano kugongwa). Unacho weza kufanya ni :
1. Kumuwekea mazingira magumu sana ya kupata nafasi ya kugongwa. Yani hata akienda kugongwa basi awe amekulia timing ya hatari sana.
2. Kumchelewesha kuanza kugongwa. Badala ya kuanza kugongwa akiwa na miaka 13 basi at least aanze akiwa na miaka 17/18/19.
Ukiujua ukweli utakuweka huru
Wangu haendi kwa bimkubwa wake, kama nimemuweza toka udogoni basi nitapambana nae mpaka uzeeni.. Hadi afikishe umri wa financial services [emoji23][emoji23]Mkuu kama hukuwahi kuwa na mtoto wa kike ukiwa teenager na sasa hivi upo in ur mid 30s and she is a teenager alie kwisha vunja ungo anaeishi kwenye social media generation huwezi kujua ugumu wake..
Nimesoma kitabu cha bondia Joe Frazier aliye zaliwa mwaka 1944 akampata mtoto wake wa kwanza binti Jackie Frazier ( ambae ni Judge na bondia mstaafu ) mwaka 1961 akiwa na miaka 16\17) kuhusu namna alivyo weza kudeal na malezi ya binti yake wakiwa na tofauti ndogo ya umri anasema ni rahisi sana mtoto anapokuwa bado hajabalehe lakini akiisha balehe ni ngumu sana na next to impossible ila kwake ilikuwa rahisi kwa sababu mtoto alipo fikisha umri wa balehe alimpeleka kwa mama yake mzazi.( mama wa mtoto )
mkuu unazungumzia watu gani hao mkuu?Sio kweli premature sex sio basic neccesity ya makuzi ila ni utovu wa nizamu wa mtoto na malezi mabovu ya mzazi, acheni kuendekeza ngono kwa watoto wadogo, mbona wenzetu wanaweza kulea watoto wao paka umri wa 20s wakiwa virgin
ana miaka mingapi na wewe una miaka mingapi?Wangu haendi kwa bimkubwa wake, kama nimemuweza toka udogoni basi nitapambana nae mpaka uzeeni.. Hadi afikishe umri wa financial services [emoji23][emoji23]
Kaka hapo kazi ipo, hata mimi kila nikimuangalia mwanangu natikisa kichwa ni pisi mzee mwenzangu, ila huyu ni mwendo wa madrasa, natia ukauzu humo humo, natia uzungu humo humo, yaani mpaka leo naona hajanielewa vizuri.Nikweli kabisa mkuu mtoto wa kike akiwa kwenye foolish age halafu bahati mbaya wenzake wakiwa wanamjaza ujinga kwamba yeye ni msichana mzuri ( my daughter yupo kwenye kundi la watoto wazuri dizaini ya Paula), kichwa huwa kinakuwa moto sana anajiona yeye anajua kuliko wewe. Tatizo ni kwamba akili huwaga zinakujaga baadae akiwa na miaka 20 plus na hapo damage inakuwa irreversible
Consenting age aimanishe early sex hiyo inatumika wakati wa legal procedure ku determine ilikua rape or defilement of minormkuu unazungumzia watu gani hao mkuu?
1. Consenting age ya SAUDIA ni miaka 15.
2. UK now miaka 16.
3. Ufilipina ilikuwa miaka 12 wamepandisha juzi kati hadi miaka 16 .
4. Angola miaka 12
5. usa miaka 16 hadi 18
6. Senegal miaka 16
7. serbia miaka 14
8. Nigeria miaka 11
etc
Km ni maswala ya academic mpeleke shule za mission..huko ni adabu plus shule..atapata vyoteeeAsante sana mkuu vipi kuhusu academic performance? So unaniambia kwenye nidhamu atatoka amenyooka?
Nakuelewa mkuu, huu mi ukweli mchungu.bro mtoto wa kike akisha ingia kwenye foolish age ni ngumu sana kumcontrol as a single father . U cant be wiser than nature
Aiyaaah!! Hapo kwenye kuuliza miaka unaharibu kaka, Chakorii nishamwambia mimi nimekula chumvi kontena nzima.ana miaka mingapi na wewe una miaka mingapi?