Baba wenye 30s wenye mabinti teenagers njooni hapa (Huyu binti yangu nimpeleke Feza Girls au Makongo Sec?)

Nakuelewa sana kaka ila hutaki kuw fear sana mpk mtt akusome kwamba anaweza kufanya kitu na usi take action ni bora ashindikane ila hata ndg na jirani watakupa konngole kwa kusema huyu baba kajitahidi sn kwenye kumlea lakn mtt mwenyewe ndo kichwa maji au kafuata akili za mama yake 😂
 
Asante sana mkuu vipi kuhusu academic performance? So unaniambia kwenye nidhamu atatoka amenyooka?
Bro plz for the sake of your daughter's future take her FEZA GIRLS huko makongo academic iko chini kiasi pia inahitaji mwanafunzi ajielewe mwenyewe academically tofauti na Feza,then jua ni stage binti anapitiia atabadilika.

Ushauri tu.

TEKERI.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kumpeleka boarding si namna ya kumfundisha nidhamu...... Sana utamfanya akapate tabia chafu mpya mfano, kusagana na nyingine nyingi...... Kitu nachoona hapo mkuu..... Huyo mtoto abaki kwa bibi ake..... Na umwambie bibi ake kwa sabb bibi ni mama pia ataweza kumcontol..... Pili mafunzo ya dini pia ni muhimu sana.... Huyo mtoto yupo kweny umri wa kubalehe anahitaji uangalizi mkubwa zaid ya mtoto mchanga

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kama utafanikiwa mpeleke Canossa Secondary iko Tegeta. Ila huwa hawapokei wahamiaji Ila ninaamini akiwa bright wakiona kuna uwezekano wa div one ya 7 form IV watamchukua. Ni best school Kitaaluma na kinidhamu.
 
Binti rafik yake n mama.. sasa kilanga gani kilikupata kuwa nae bize mno... Kama mama hayupo mpeleke kwa Bibi..
 

Well said [emoji122][emoji122] angekua na elimu ya teenager/adolecent Psychology angejua nini cha kufanya apart from that inaonyesha kabisaa wakati unampata huyuu mtoto haukuwa tayari kwa majukum ya kuwa baba haiwezekan mwanao wa kumzaa mnabishana??? Kwa kipi?? Kwann?? Usiseme huwez kumcontrol hivyo ndo ulivyomlea inamana hata dada zako walikua hivo kwa baba ako???

Jionheze kama mzazi unless malezi yamekushinda[emoji26] ila mtoto wa kumzaa wewe mwenyew hata kama ni single father hawezi kukushinda na inaonekana pia hana malezi ya mama huyo mwanao[emoji119]
 
Nimeishia hapo kabla hajaenda kwa bibi yake alikuwa hakusalimii,,, wameshaanza kumtomber tena na unaolingana nao ama kukuzidi ndo maana anaona rika lako ni wakaka,, pole na tunashukuru kwa kutuongezea idadi ya ..........
 
Feza na Makongo, naona kama usiku na mchana vile. Umejaribu shule za wasichana za makanisa?
 

Samaki mkunje Angali mbichi, sasa Wewe mlee Mwanao kwa Kudhani hata hao uliowataja na wazazi wao wamewalea watoto wao hao kama Wewe ulivyomlea Huyo Mtoto wako tena ni Mmoja tu! au walidharauliwa kama Wewe mwanao anavyokuchukulia na mwisho wa mchezo utaletewa Mjukuu kwa Umri huo na vingine na ndio Akili itaanza kufanya kazi ipasavyo.


Mlee Mtoto wako kwa Hatua unazoziona Wewe ndio Sahihi na sio kwa kufananisha na flani na ndo kosa lilianzia hapo.
Wewe unamlea Mtoto wako kwa kumuangalia Wema, Paula, Tunda na unajisemea kabisa “yaaani hawa wazazi wao wamezingua sana “ na mpaka unamsema Mtoto wa watu kaharibikiwa! au ukute ulikuwa mnakaa kuwachambua kabisa hao ukiwa Pamoja na huyo Mwanao pembeni na Mwanao anajisemea moyoni Maneno mengi kukudharau hayo unayojadili.

Heshima Hailetwi nyumbani kwako kwa mapanga ila Mzazi Wewe ndio wa kwanza kutengeneza yote unayoyataka.
 
1. Set standards katika malezi yake. Ameingia kundi linalokuhitaji umtazame kwa macho mawili bila kupepesa. Mkanye bila haya, na kuwa na msimamo.

2. Kwa umri wake, tumia zaidi njia ya kushirikishana katika maamuzi (don't mind of being treated like brother bse you're literally his first 'boyfriend', maintain the trust and treat her well) na dumisha adabu wakati wote. Usilete utani kwenye mambo makini.

3. n.k
 
Pole ila nahisi mlimlea kimayai hata hujawahi kumfinya.
Unaweza mpelela makongo hali ikawa vile vile. Discipline inajengwa nyumbani na sio shuleni.
Au labda umpeleke boarding iliyopo bush.
 
Shida yako ni namba 2 mkuu, jirekebishe hapo. Malezi malezi malezi
 
Nidhamu ya mtoto ujengwa kwa pamoja Kati ya wazazi,shule(walimu) na jamii inayomzunguka.
MWANAO ameshaonekana amekushinda so kumpeleka shule ili zikusaidie kumbadiri/kumrekebisha tabia Ni uongo.
Kwa akili zako hapo,Unataka upate shule ya kumbadiri TABIA.!Tena akiwa form three
~FEZA SCHOOLS HAZIPOKEI WANAFUNZI WENYE TABIA KAMA ZA MWANAO,
~HAZIPOKEI WANAOMIA UNLESS AWE NI GENIUS KWELI,
~ADA YA FEZA GIRLS OR BOYS KWA FORM 1-4 NI AROUND 10M KWA MWAKA.
~BEST SCHOOLS IN TZ ARE VERY FEW,THEY ALSO NEED BEST STUDENTS! YOU'RE DAUGHTER IS NOT AMONG THE BEST SO SHE WON'T BE SELECTED.
~Achana na FEZA SCHOOLS Kapambane na SHULE za uwezo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…