TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

Kinacho ongelewa sio hicho,umeulizwa ,una huakika Ni manzi
 
Nafikiri wao ndo wanaopaswaa kukupa uthibitishoo wee uutakao, kwann uje kwangu?? Ili hali utata wamekupa wao? Dai uthibitisho kutoka kwao. Lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri wao ndo wanaopaswaa kukupa uthibitishoo wee uutakao, kwann uje kwangu?? Ili hali utata wamekupa wao? Dai uthibitisho kutoka kwao. Lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi hapa nimeshapata jibu kwa comment ☝️ Na msistizo wa Lol naijua hiyo wakati najifunza kutongoza nilijibiwa sana 🤣🤣🤣 King Kong III vipi hapa unakingine jibu hili pigia mstari

NB: ROUND HII MTAKANYAGANA 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaah, mnashindwa kutoa polee za msiba, mnawaza gender za watu kweli?
Khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brig General Robinson Mboli Mwanjela ameagwa leo, asubuhi saa tatu pale Lugalo, na saa saba baada ya misa katika kanisa la Wazo Hill KKKT.

Pale Lugalo zilitolewa heshima zote za kuaga kijeshi, na procession ya kuutoa mwili mortuary ilikuwa very touching.
Kule Wazo Hill Majenerali Mboma na Mwamunyange wamemwagia sifa za kazi yake kwa Ofisa huyu wa ngazi za juu aliyekuwa a very humble doctor.
 
Mike Tee ni mnyakyusa, mama yake ndo muhehe wa Tanangozi
 
True saying it was a very touching moment kwa kweli..

REST IN POWER BRIG GENERAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…