TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

Huyu Brig General hakuwa amestaafu? Duh wanasafirisha au? Mzee
 
Young D
Ilikuaje akawa na itikadi za Mboga wakati mshua ni Mtu smart ? .

Kuna wasanii wengi tu wamekulia familia mambo safii na baba zao watu smart kiakili .

Wema sepetu. Baba yake kashika vyeo kibao vikubwa mpaka ubalozi.

Irene uwoya baba yake rubani

Cyril kamikaze mama yake alikuwa mkurugenzi.

Young D baba yake generali wa jwtz

TUNDA wa whozu baba yake sabasita ni askari sniper mwenye heshima kubwa ndani ya jeshi la polisi. Na hata majambazi wanamuogopa.

Shaaa wa master jay. Baba yake professa udsm

Master jay producer baba yake alikuwa mkurugenz Tanesco.

Na wengine kibao sijawataja.

Wazazi mambo safi ni open minded wana tabia ya kuwaacha watoto wao wafanye wanachotaka..
 
Kweli Mkuu
Kuna tofauti ya kuwa star na kuwa Mtu wa ajabu

Mfano prof Jay heshima yake katika mziki ni kubwa kuzidi hata waziri Mkuu katika jamii
So mbaya ni kuwa msanii then ukawa na tabia za Ajabu.
 
Hapo Kwa mike t umechemka... Yeye ni mnyaki Sema wazazi wake wameloea iringa na kupiga maskani..
 
Kwa hiyo dogo akashindwa kufuata nyayo za mdingi akaamua kuwa mfokafoka![emoji26]
Alafu kwenye sinaga swaga no 6 ya young killer kuna mstari ana mdisi young d anasema anasikia "ana bar kwa nyuma"[emoji1]
 
Hata sitakuamini eti wewe dada mzurimzuri una makende kama sie au ni ule uzi wa mtu mwenye jinsia mbili uliwachanganya hawa jamaa wakashindwa kujielewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa sanaaa mbavu cnaa, sasa wee una amini nn? Au unataka kuamini nn?

Vyovyote unavyotaka kuamini wee amini, haitokupunguzia chochote, labda km una lako jingne. Hilo sasa halinihusuu.

Uzi wa majonzi ya msiba, mnaingizia mambo yasiyo husika, hata sijui mnawazagaa nn khaaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…