Toka lini vikabila vya ajabu ajabu vikamiliki jina kubwa km hilo mkuu! Huyo ni mnyaki pure! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sio kila wanaoitwa "Mwa----" ni wanyaki, wapo wabena, wahehe, wasangu, wasafwa, wandali, n.k.
Vice versa kan be tru pale ambapo mtoto haoni faida ya fani ya Baba kwenye familia.Kuna wasanii wengi tu wamekulia familia mambo safii na baba zao watu smart kiakili .
Wema sepetu. Baba yake kashika vyeo kibao vikubwa mpaka ubalozi.
Irene uwoya baba yake rubani
Cyril kamikaze mama yake alikuwa mkurugenzi.
Young D baba yake generali wa jwtz
TUNDA wa whozu baba yake sabasita ni askari sniper mwenye heshima kubwa ndani ya jeshi la polisi. Na hata majambazi wanamuogopa.
Shaaa wa master jay. Baba yake professa udsm
Master jay producer baba yake alikuwa mkurugenz Tanesco.
Na wengine kibao sijawataja.
Wazazi mambo safi ni open minded wana tabia ya kuwaacha watoto wao wafanye wanachotaka..
Inasemekana ana mashine huyo na inasimama dede😂Hii ni hii konyagi ninayokunywa hapa au mbona sielewi Basi Nenda unanichanganya ujueee🤣🤣🤣
Yule kaka alijifanyaga kama huyu kijana hana familia anamtegemea yeyeAlafu kipindi flani alikuwa mla ngada
Mwanetu una haraka sana na 2023 au sio....View attachment 2461268
Taarifa za kufariki kwake zimethibitishwa na mtoto wake David almaaruufu Young Dee aliepost msiba huo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa instagram, jana tarehe 27-12-2023 mida ya jioni.
Na mitattoo hiyo aende wapiKwa hiyo dogo akashindwa kufuata nyayo za mdingi akaamua kuwa mfokafoka![emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cnaaaaa, ko kumbee nawee huna uhakika?? Uwiiiiiih.Inasemekana ana mashine huyo na inasimama dede[emoji23]
Kinacho waumiza roho kina Thomas ni hako ka avatar kwa huyo mcute blac beauty… ila mbona hafananii na kumiliki dushelele! We ni pisi bhana…[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cnaaaaa, ko kumbee nawee huna uhakika?? Uwiiiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mi mwenyewe nipo njia panda kama sio chaka kabsa embu tuache masihara cocastic tuchane hapa we ni wa design gani au robort kama huyu Sophia cheers 🥂 kiaina
Alaf ipo single hii izamie pm mkuuInawezekana nimejaribu kucheki baadhi ya miandiko yake ni manzi tena inaonekana pisi flani hivi yenye minato ya twiga au pundamilia King Kong III vipi mzee mbona kama umejaa upepo ghafla hivi unanyemelea hapo nini?
Alisema mapema bhana ingawa kilikua na maelewano hafifu na mzee wake but all of those was back in the days kashow respect kubwa kwa mshuaRest easy Afande
Sasa mbona Young D ametoa taarifa mwakani?
Design kama alitelekezwa na huyo mshuaYoung D
Ilikuaje akawa na itikadi za Mboga wakati mshua ni Mtu smart ? .
Wauni washanipiga mikwara hadi nimepoa sasa wanasema eti ni man apo mimi sielewi 🤣🤣🤣Alaf ipo single hii izamie pm mkuu
Si kapost 27 dec 2023?Alisema mapema bhana ingawa kilikua na maelewano hafifu na mzee wake but all of those was back in the days kashow respect kubwa kwa mshua
Ni mama hio kajionee sema ina mbupu ila akikaa doggy hauzioniWauni washanipiga mikwara hadi nimepoa sasa wanasema eti ni man apo mimi sielewi 🤣🤣🤣
Hahahahaaaa weeeee!! Acha kabisa ah ah ah!! Asije nipelekea moto bure midadi ikimpanda 🤣🤣🤣Ni mama hio kajionee sema ina mbupu ila akikaa doggy hauzioni