Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti

Umeenda mbali mada yenyewe nyepesi tu, hatujui mahusiano ya huyo baba na mtoto yapoje, hatujui mtoto ana tabia gani, hatujui mchango uliotolewa ni ahadi au ni wa ghafla, hatujui mengi.

Ila ninachoamini ukiwa mtu mzima unapaswa ubebe lawama kamili kwa matatizo yako yote, visingizio vinalemaza.
 
Mkuu naongea nacho kimaanisha, we're poor because we're conditioned to be so.

Na ni kweli hatujui background wote, so why tuanze kujudge? Kwanini tusiangalie mada Kwa jicho la uhalisia.

Hivi unajua kuwa colonization ili tu affect sana, for generations? Unajua ya kuwa tumeshazoea kujifunza kupitia maumivu? Hatuna social clarity, hatujui impacts za malezi, in short tunaishi kama wanyama
 
Mleta mada hajasema waafrika lakini coment karibia zote ni AKILI ZA KIAFRIKA. Mbona mnajidharau kwa kosa la mtu mmoja?
Mimi labda niseme hivi: huyo mzee wako pamoja na wewe mpaka na bi mkubwa wote hamnazo. Coz kuja ifike kafanya hivo na wote mpo home it means hamna ushirikiano wa kifamilia na ndo inaleta mtafaruku kwa familia kutengana kwa makosa kama hayo coz kwa mfano ukaja kufanikisha kwa njia nyingne na bado mzee yu hai 100% huwez kumsaidia kwa lolote jibu litakuwa nenda msikitini au kanisani wakusaidie. Na pili kuja mzee akose kukupa mtaji ni baada ya kuona hata wewe ni wale wale labda ashakupima miendeno yako ni pombe na madem atakupaje mtaji si bora uendelee kula ugali wa bi mkubwa tu. Kwa familia iliyo na ushirikiano labda hilo swala la kuchangia hela huko lipitishwe na familia la sivyo hapo itakua vita ya tatu ya dunia.
 
Mm naona kaamka na vyombo Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…