Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

Pambalu kwao ni babati? Mbona jezi za chama kazipigilia na wenzie? Hapo ni familia au chama?

Mtanzania ana haki ya kwenda popote na kukutana na yoyote ndani ya mipaka ya Tanzania. Unaposema babati ni kwao unamaanisha nini?
 
Mtanzania ana haki ya kwenda popote na kukutana na yoyote ndani ya mipaka ya Tanzania. Unaposema babati ni kwao unamaanisha nini?
Jezi za chama ni za nini? Huo ni mkutano usio na kibali lazima wakumbushwe.
 
Jezi za chama ni za nini? Huo ni mkutano usio na kibali lazima wakumbushwe.

Wanaccm kila siku wanavaa majezi yao hata kwenye hafla za serikali, kwa nini iwe nongwa kwa CDM kuvaa watakacho? Bado mnaendekeza siasa za kishamba?
 
Wanaccm kila siku wanavaa majezi yao hata kwenye hafla za serikali, kwa nini iwe nongwa kwa CDM kuvaa watakacho? Bado mnaendekeza siasa za kishamba?
Shida nadhani ni doa la ugaidi bado linawatafuna ko wanahisi mnapanga njama za kuendeleza ugaidi.
 
Shida nadhani ni doa la ugaidi bado linawatafuna ko wanahisi mnapanga njama za kuendeleza ugaidi.

Zile siasa za kipuuzi za CCM za miaka kibao bado mnaamini zinalipa hadi nyakati hizi? Kizazi kimebadilika bado mnatumia mbinu outdated za Maguvu mengi na akili kidogo!
 
Zile siasa za kipuuzi za CCM za miaka kibao bado mnaamini zinalipa hadi nyakati hizi? Kizazi kimebadilika bado mnatumia mbinu outdated za Maguvu mengi na akili kidogo!
Ni kwa sababu wapinzani nao wanatumia siasa za kizamani. Mbinu outdated za minguvu kuwasilisha hoja nazo hazina mashiko, eti kususia kuonana na kikosi kazi cha mama.
 
CHADEMA wawe tu makini na yafuatayo:-
1. "Join the chain" ilikuwa ni turufu kubwa sana kwenu kuliko maridhiano mliyoyakimbilia na kuelekeza nguvu kubwa huko kiasi sasa haijulikani
kama hiyo "join the chain" ipo au imekufa kifo cha ghafla. Sasa hivi ukisoma maandiko mbali mbali utaona viongozi na wafuasi
wengi wa CHADEMA wamekomaa na maridhiano badala ya kuendelea kupambana kujenga chama chao. Hatari yake ni kuwa huko mbele ya
safari ikitokea maridhiano yasipoleta yaliyotarajiwa huenda chama chenu kikayumba sana.
2. Hamjifunzi kuwa wasi wasi ni akili. Kamati kuu ilipanda ndege kwenda Mwanza enzi za JPM lakini mkatoka bila bila. Juzi kati hapa wakati
mpo kwenye mazungumzo ya maridhiano COVID 19 wakapewa "greenlight" mjengoni. Haya hawajakaa sawa jana huko Manyara BAVICHA
wakawekwa chini ya ulinzi. Zote hizi sio dalili njema kwa watu mnaojadiliana kuondoa tofauti zenu.
3. Na hata hili la Mbatia na msajili kuwabeba wakina Selasini linapaswa liwafumbue macho CHADEMA lakini bado watakuwa hawaoni wala
kuchukua tahadhari. Mtu kama Mbatia na NCCR kwa ujumla hawana ushawishi mkubwa kwenye siasa za nchi hii lakini wanafanyiwa figisu
kubwa kiasi kile. Vipi nyie CHADEMA mkiingia/mkiingizwa kwenye 18 hata kwa bahati mbaya tu itakuwaje? Si ndio chama kitafutwa kabisa?

Kwa mtizamo wangu naona ni vyema CHADEMA wakendelea kupambana usiku na mchana kuendelea kukijenga chama chao na wapunguze matarajio yao makubwa kwenye maridhiano. Na hili la kukamatwa BAVICHA pamoja na kuwa wameshaachiwa liwafumbue macho wajue kuwa safari bado ni ndefu sana kufika wanakotaka wao.
 
Ni kwa sababu wapinzani nao wanatumia siasa za kizamani. Mbinu outdated za minguvu kuwasilisha hoja nazo hazina mashiko, eti kususia kuonana na kikosi kazi cha mama.

Unaona na kikosi kazi wakati umeonana na mwenye kikosi! Hata hivyo kuna uhusiano gani na hao vijana kukamatwa?
 
Unaona na kikosi kazi wakati umeonana na mwenye kikosi! Hata hivyo kuna uhusiano gani na hao vijana kukamatwa?
Nimerejea kauli yako ya outdated ndo Uhusiano ulipo, mbinu mnazotumia ni outdated pia kwenye kufanya vikao.
 
Wanaccm kila siku wanavaa majezi yao hata kwenye hafla za serikali, kwa nini iwe nongwa kwa CDM kuvaa watakacho? Bado mnaendekeza siasa za kishamba?
Tulia dawa ipenye vizuri wewe zuzu na ndumilakuwili wa siasa, Mama anaupiga mwingi na tunampatia tena mi5, hutaki saga chupa unywe ufe [emoji28]
 
Back
Top Bottom