Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Amemuoa District Administrative Secretary (DAS) wa wilaya ya Muheza.
 
Hahahaa..... CCM bhana!
 
Katibu Tawala Alikuwa Mjane Ama Ndiyo Alikosa Mtu Sahihi
Labda alikosa kijana wa kuendesha Gari akiwa kazini...... Wale vijana aliowasema Mkulu kwenye Ule mkutano na Watendaji wa Kata....!!
 
Baada ya dhiki faraja.. Wahenga walisema
 
Aisee !!
 
Huyu babu seya alijitetea mahakamani kuwa jogoo wake hapandi mtungi hivyo asingeweza kubaka watoto sasa huyo das atatumia ulimi au vidole?
 
Hongera Mungu awape busara na uvumilivu
Ndoa sio lelemama
 
Kwani kuoa lazima wafanye ngono? We vipi
 
Huyu mama mbona amekaa kibalotel Sana??

Kama baharia vileee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…