Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
dah...nchi hii naipa pole. Jinsia yake tu ndicho cha maana ulichoona hata awekwe kwenye sarafu....uwe na adabu, kilichomfanya Samia awe rais si jinsia yake.Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Kama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Nimetafakari post yake naona tozo iendelee mpaka akili zirudi. Kizaz cha kijinga sana. Na huyo mtaani kwao unakuta ni kiongozKama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.
Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??
Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.
NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".
SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA WAZIWAZI)
Wazo la Kipumbavu kuliko yote ambayo nmeyasikia siku za hivi karibuni.Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Umewaza siku nzima ikakujia ushushe uzi usiokuwa na kichwa.Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Upo sawa ?Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Ya baba yako hutaki iwekwe?Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Naunga mkono hoja,Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Acha ubaguzi ulitaka ndugu yako Salim mwalimu ndio awe raisdah...nchi hii naipa pole. Jinsia yake tu ndicho cha maana ulichoona hata awekwe kwenye sarafu.
Kwani amekuwa rais kwa sababu ya jinsia yake au katiba ,tumia kichwa kufikiriKama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.
Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??
Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.
NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".
SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA WAZIWAZI)
Ila ukitukanwa na wazandiki usitoe povuNashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Naunga mkono hojaNashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
HAJAWAHI NA HAJUI CHOCHOTE KILE!! Haya nenda kawaambie wenzako hivyo na mshangilie ushindi. Wait a minute, usisahau kuwaambia Samia ndiye raisi kwa sasa....wawe wanapenda au hawapendi ndo imeshakuwa hivyo.Kama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.
Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??
Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.
NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".
SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA
Unajua kua JPM alimtaka Mwinyi awe makamo wake ? ..ila kwakua Zanzibar hawakuitaj waongozwe na Ke na kuzingatia Hakubariki kwao , ikaamuliwa Aendelee kua makamo wake ??..na mwinyi aende zanzibar .HAJAWAHI NA HAJUI CHOCHOTE KILE!! Haya nenda kawaambie wenzako hivyo na mshangilie ushindi. Wait a minute, usisahau kuwaambia Samia ndiye raisi kwa sasa....wawe wanapenda au hawapendi ndo imeshakuwa hivyo.
Oh wait tena, kawaambie ni jpm (r.i.p) aliyemteua mama kuwa makamu wake na alifanya hivyo mara mbili huku akijua kuwa lolote likitokea ye ndo raisi. Kama nyie mna akili au mnajua sana kuliko wao basi hongereni sana na poleni kwa kuwa wazembe (mlioshindwa kujitokeza na kulisaidia taifa hili pamoja na kuwa na akili nyingi zote hizo (hahahahaaaa)!