Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
3,482
Reaction score
4,673
Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,

nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,

#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
 
Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Kama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.

Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??

Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.

NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".

SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA WAZIWAZI)
 
Nimetafakari post yake naona tozo iendelee mpaka akili zirudi. Kizaz cha kijinga sana. Na huyo mtaani kwao unakuta ni kiongoz
 
Nashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Umewaza siku nzima ikakujia ushushe uzi usiokuwa na kichwa.
Badala ya kuwaza yajayo na kizazi cha mbeleni unaleta riwaya!!

Katiba katiba suluhu ya yote haipingiki.
 
Kama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.

Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??

Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.

NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".

SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA WAZIWAZI)
Kwani amekuwa rais kwa sababu ya jinsia yake au katiba ,tumia kichwa kufikiri

USSR
 
Hata vitukuu vyetu vijionee wanaume wazima tulivyotawaliwa na kuongoza na mwanamke
 
Kama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.

Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??

Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.

NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".

SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA
HAJAWAHI NA HAJUI CHOCHOTE KILE!! Haya nenda kawaambie wenzako hivyo na mshangilie ushindi. Wait a minute, usisahau kuwaambia Samia ndiye raisi kwa sasa....wawe wanapenda au hawapendi ndo imeshakuwa hivyo.

Oh wait tena, kawaambie ni jpm (r.i.p) aliyemteua mama kuwa makamu wake na alifanya hivyo mara mbili huku akijua kuwa lolote likitokea ye ndo raisi. Kama nyie mna akili au mnajua sana kuliko wao basi hongereni sana na poleni kwa kuwa wazembe (mlioshindwa kujitokeza na kulisaidia taifa hili pamoja na kuwa na akili nyingi zote hizo (hahahahaaaa)!
 
Unajua kua JPM alimtaka Mwinyi awe makamo wake ? ..ila kwakua Zanzibar hawakuitaj waongozwe na Ke na kuzingatia Hakubariki kwao , ikaamuliwa Aendelee kua makamo wake ??..na mwinyi aende zanzibar .
 
Back
Top Bottom