Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je ni mambo gani waliyoyafanya ambayo Mond mwenyewe alisema hayapaswi kuwekwa public?

Au alipapaswa papaswa tu?

Alivyo ona wese linaletwa akakimbia...😄😄
Sema mnawaza ngono ndio maana akili yako inaenda mbali Pdidy ukiacha haya mambo yake ni mtu ambaye anaujua mziki vizuri kama ingekuwa Diamond anamaanisha hivyo wala asingetamka kabisa hilo neno
 
Subiri, it's just a matter time. Issues za Bill Cosby na R Kelly zilikuja unexpectedly sasa behind the curtain kuna rumors nyingi nyingne zinamuhusu Jay Z, tuendelee kula/kunywa mtori nyama ziko chini.
 
Unambiwa ukiona Manyoya.....ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…