cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kutizama bode langweji ya yule mwingine aaaahh marinda yalifumuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kutizama bode langweji ya yule mwingine aaaahh marinda yalifumuka
balozi wa ma illuminati Diddy hawezi kuacha kufanya ibada hiyo ya kishetani na walioingia viungani mwake. Ni ibada zao ushetaniniMdogo mdogo, watasema yoteee.
Diddy akuache hivii hivi, wee ulisikia wapiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Didy ndio anapenda waliokosa nyama hao na si umesikia aliwaita chumbani wakaangalie tv? Alafu Tale alivyo zwazwa eti oooh jamaa akatukataza hivi kweli mtoto wa kiume uitwe na kidume mwenzio njoo chumbani tuangalie movie na sebuleni ipo pia ? Masikini Tandale president
Hahahaaaa mambo ni mengi aisee... ila Justin namuhurumia coz yeye ndio ameathirika zaidi na alichofanyiwa kwenye yale masaa 48 ya future yake 😆😆😆Hakuna cha itakuwa, Mond wese limempitia au alipapaswa papaswa alivyo ona noma akakimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mondi kasema walifanya vitu vingi.....sasa kuondoka bila kuaga ndo vitu vingi???
Babu tale usitufanye sie watoto buana [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vile mick mill akisimulia matumizi ya Mafuta
View attachment 3106441
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule anaemvalisha kuna siku ilipostiwa video anakatika kinyegenyege mbele ya mtandale, yatajulikana tu,
Semaa upelekwee nawee shoga angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulishafika kwa didy?
Hatariiiiii.balozi wa ma illuminati Diddy haweza kuacha walioingia viungani mwake. Ni ibada zao ushetanini
Kwa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]balozi wa ma illuminati Diddy haweza kuacha walioingia viungani mwake. Ni ibada zao ushetanini
Sema mnawaza ngono ndio maana akili yako inaenda mbali Pdidy ukiacha haya mambo yake ni mtu ambaye anaujua mziki vizuri kama ingekuwa Diamond anamaanisha hivyo wala asingetamka kabisa hilo nenoJe ni mambo gani waliyoyafanya ambayo Mond mwenyewe alisema hayapaswi kuwekwa public?
Au alipapaswa papaswa tu?
Alivyo ona wese linaletwa akakimbia...😄😄
Subiri, it's just a matter time. Issues za Bill Cosby na R Kelly zilikuja unexpectedly sasa behind the curtain kuna rumors nyingi nyingne zinamuhusu Jay Z, tuendelee kula/kunywa mtori nyama ziko chini.Ni tajiri wa pili kutoka Jay-Z
Ila naona kwa kuwa aliingia kwenye umalaya na madawa ya kulevya ambayo vijana wengi wanayapapatikia vya bure
Hiyo imemfanya wasanii wakiomba wapige show au kupanda jina ndio anatumia mwanya huo
Mbona tajiri wa kwanza hana makuu?
Unambiwa ukiona Manyoya.....ujueAkihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
View attachment 3106362
Kwa hiyo kufanya vitu vingi ndio ngono?Mbona mondi kasema walifanya vitu vingi.....sasa kuondoka bila kuaga ndo vitu vingi???
Babu tale usitufanye sie watoto buana 😹
Mtajuana wenyeweSema mnawaza ngono ndio maana akili yako inaenda mbali Pdidy ukiacha haya mambo yake ni mtu ambaye anaujua mziki vizuri kama ingekuwa Diamond anamaanisha hivyo wala asingetamka kabisa hilo neno
Hapana sio ngono hata kupakana mafuta ni vitu vingi....Kwa hiyo kufanya vitu vingi ndio ngono?
Anaujua mziki vizuri ndio lakini, There is no free lunch.Sema mnawaza ngono ndio maana akili yako inaenda mbali Pdidy ukiacha haya mambo yake ni mtu ambaye anaujua mziki vizuri kama ingekuwa Diamond anamaanisha hivyo wala asingetamka kabisa hilo neno
Mbona hakutoboa marekani kama ni hivyo sio vizuri kuongea jambo ambalo huna ushahidi naloAnaujua mziki vizuri ndio lakini, There is no free lunch.
Usaidiwe burebure tu.
We itakua alishakutafuna...Semaa upelekwee nawee shoga angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]