Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Hawa ndugu wasijisafishe, wamechezea mjegeje wa P Diddy bila kupindisha.
 
Mimi sijasema kimetokea au lah wewe umeongea as if umeona au una ushahidi
Kwa kesi zilizopo kumhusu Didy na jinsi kijana wa Tandale alivyo ongea kinyonge kwamba kuna baadhi ya mambo walifanya na hayapaswi kuwekwa public.

Ni dhahiri kuna kitu alifanyiwa, Either alipapaswa papaswa au alitoa kabisa.
 
Nimeona lukamba alikuwa anasimlia anatamani hata kulia
 
Hebu angalieni na kusikiliza hapa, leo anakataa kuwa hawakuwahi kwenda kwa Pdiddy wakati huyohuyo Swizz ndiye aliwapeleka kama pisikali/mizigo ya Pdiddy hadi chumbani kwa Pdiddy, halafu leo hii anataka kuruka? Na kuna clip nyingine Diamond anakiri kwamba waliyoyafanya hayafai ku post.
Natafuta Ajira Basi Nenda Kapeace rodrick alexander Raj kapool
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…