kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
nimesikiliza sijamwelewa kabisa mwili unamkataa atoacho mdomoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya mbona una mtetea sana?Mbona hakutoboa marekani kama ni hivyo sio vizuri kuongea jambo ambalo huna ushahidi nalo
Mimi sijasema kimetokea au lah wewe umeongea as if umeona au una ushahidiOya mbona una mtetea sana?
Na wewe una ushahidi gani kama hakupakwa wese?
Hawa ndugu wasijisafishe, wamechezea mjegeje wa P Diddy bila kupindisha.Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
View attachment 3106362
Kwa kesi zilizopo kumhusu Didy na jinsi kijana wa Tandale alivyo ongea kinyonge kwamba kuna baadhi ya mambo walifanya na hayapaswi kuwekwa public.Mimi sijasema kimetokea au lah wewe umeongea as if umeona au una ushahidi
Yaani bongo issue ya Integrity haipo akilini mwa Watu. Yaani kitendo Cha kuhusisha na haya mambo kama Kiongozi alitakiwa kujitafakariTumekwisha
Ndo maana yule mbunge musukuma alisema kuna watu bungeni wanaliwa nnyaHao walifirwww sasa wanaanza kujitetea mapema
Kwakweli acha itawale ila tandale boi ni mpakwa mafutaUnakuta waliojaa hapa ndio chadema inawategemea waingie barabarani 😂😂
CCM itatawala sana hii nchi.
Una elewa maana ya celebrities forum?Unakuta waliojaa hapa ndio chadema inawategemea waingie barabarani 😂😂
CCM itatawala sana hii nchi.
Vipi, nawe mtumiaji?Baby oil 🤣 🤣 🤣 🤣
Lazima.Kwa sasa hatuamini maneno tunahitaji report ya daktari mkafanyiwe uchunguzi , P mnyama lazima amewawekea madawa ya kulevya kwenye vinywaji akamalizana nao
😀😀😀 washatuona sisi hatuna akili hawa, kuna maelezo yanafichwa hapa.Tale yupo Dar toka 2005 huko tunamsikia kwenye ma nyimbo. Diamond pia kaishi Dar miaka. Wote hawakuelewa kweli😂
Nimeona lukamba alikuwa anasimlia anatamani hata kuliaAkihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
Hebu angalieni na kusikiliza hapa, leo anakataa kuwa hawakuwahi kwenda kwa Pdiddy wakati huyohuyo Swizz ndiye aliwapeleka kama pisikali/mizigo ya Pdiddy hadi chumbani kwa Pdiddy, halafu leo hii anataka kuruka? Na kuna clip nyingine Diamond anakiri kwamba waliyoyafanya hayafai ku post.Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
Sasa ndiyo leo wanaongea jamani eeMbona waliporudi hawakuongea hayo ngoja Nile popcorn niendelee kuangalia movie