Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 mambo ya connection hayo ili wawe maarufu dunianiWalifata nini kwanza
Sasa P Diddy anawafanyaje ili wawe maarufu🤣🤣 mambo ya connection hayo ili wawe maarufu duniani
Ndio anawapakaa makalioni haya duhDidy did itView attachment 3106401
Mabinti wamepigwa nyuma?Siku yule mtangazaji wa zamani wa redio, mambo yake kama ya Diddy yakianza kufichuka baada ya mmoja wa wale mabinti kupata ujasiri wa kusema, bila shaka nchi itasimama.
Ova
Waseme tu ukweli kama mafuta yaliwaingia. Wanaogopa nini? Wajikaze kiume waseme ukweli.Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
Hayo hayo ndio aliwapaka Babu Tale na Diamond akawanyoosha. Hahahaha!Ndio anawapakaa makalioni haya duh
Kushikwa tako na kupakwa mafuta na mwanaume mwingine sio jambo la kuchekelea kabisaNaona watu wanatumia kiki ya D diddy kurudi kwenye midomo ya watu
Ndio hayo mkuu mengine anafanya kunywa kabisa jamaa shenzi lileNdio anawapakaa makalioni haya duh
Yaan anakunywa?Ndio hayo mkuu mengine anafanya kunywa kabisa jamaa shenzi lile
Kwa hio wamekua wapakwa mafuta?sinza pazuri boss kachezewa masega huko.
Huyu Tale ni kichaa mambo mengine sio ya kusema. Uwezo wake wa akili mdogo sana.
Mafuta yale ya mwopo..Walifata nini kwanza