Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Ahahahah
Wapakwa mafuta wa Didy!? πππ
Sio wa Mwamposa tena? PDD ana mafuta yake anawapaka π π π π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahah
Wapakwa mafuta wa Didy!? πππ
Chupu chupu wapi watu washa liwa hapa kana Una D mbili unapigia mistariChupuchupu..
Dill done!Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy...
Unamchukia bure tu Babu tale, yote aliyofanya hayawezi kufanywa na kichwa chepesi. Kuisimamisha tip top, ku-manage A list artists na wakapata mafanikio hiyo haifanywi na kichwa chepesi.Hata marehemu kaka yake alimweka nyuma ya Hamad, yaani rafiki yake alikuwa mbele kuliko huyo mdogo wake...
Ndugu zangu wa Kinole.Kibungo.na Tununguo wana mbunge sengeJamaa alikuwa anakula mifugo balaa. Wanaume mastaa kwa kwenda mbele.
Mzee wa Mkuyuni kitambi kimemponzaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Tip Top ni ya Abdu Bonge, baada kifo chake, 'kichwa chepesi' ikamfia akaenda kuomba ajira Clouds, akapewa kazi ya kupanga nyimbo za kutumika katika vipindi.Unamchukia bure tu Babu tale, yote aliyofanya hayawezi kufanywa na kichwa chepesi. Kuisimamisha tip top, ku-manage A list artists na wakapata mafanikio hiyo haifanywi na kichwa chepesi.
Hata kuswitch kwenda kwenye siasa na kufanikiwa nayo ni akili kubwa
Labda kama unataka apeleke satellites angani ndio uamini ana akili nyingi
Halafu saiv eti hawakuingia ndani na waliondoka bila kuaga, huyu ukimsikiliza hapa unaona anatamani angeolewa ndoa ya kudumu kabisaHebu angalieni na kusikiliza hapa, leo anakataa kuwa hawakuwahi kwenda kwa Pdiddy wakati huyohuyo Swizz ndiye aliwapeleka kama pisikali/mizigo ya Pdiddy hadi chumbani kwa Pdiddy, halafu leo hii anataka kuruka? Na kuna clip nyingine Diamond anakiri kwamba waliyoyafanya hayafai ku post.
Natafuta Ajira Basi Nenda Kapeace rodrick alexander Raj kapool
View attachment 3106765
Halafu saiv eti hawakuingia ndani na waliondoka bila kuaga, huyu ukimsikiliza hapa unaona anatamani angeolewa ndoa ya kudumu kabisa
Wangenyamaza tu maelezo ya awali yasingeibua hisia mbaya juu yao kiasi hiki,Mkanganyiko wa maelezo yao unazidi kuleta tashwishwi. Bora wangebaki na msimamo ule ule wa awali, kwamba kweli Kuna vitu viliendelea lakini sio halali Kwa media.
Wangenyamaza tu maelezo ya awali yasingeibua hisia mbaya juu yao kiasi hiki,
Tena huyu huenda aligombea awe yeye wa kwanza, ila akaambiwa asubiri kwanza Star wao ndiye aanzweHalafu saiv eti hawakuingia ndani na waliondoka bila kuaga, huyu ukimsikiliza hapa unaona anatamani angeolewa ndoa ya kudumu kabisa
Nimeona Master J amehojiwa kuhusiana hiyo scandal, akasema kwa Burna Boy ukiunganisha dots inawezekana ikawa kweli, ila kwa Diamond haiwezekani sababu anasema mbona Diamond hajawika na kufanikiwa kivile kama Barna boy.Uko sahihi kabisa. Unajua hata wale jamaa wa huko mbele wanaojitokeza Sasa hivi, ni vile hawajui ni taarifa kiasi Gani zitawekwa wazi. Sasa Kila mmoja anatafuta namna ya kujiandaa na utetezi. Si umesikia mwingine anasema aliguswa bega, paja, mara mabusu, oh! Nilipewa pesa nikakimbia...mambo ni mengi.
Itoshe tu kusema, Dunia Ina mambo mengi sana tusiyoyajua na hatutokaa tuyamalize.
AlmanusuraChupuchupu..
Sasa hivi naogopa hata kununua mafuta ya baby Johnson maana ni kama kununua KYNimeshangaa sana
Hawa watu wakienda kwa didy siku kibao wakahudhuria party
Hawajatuambia walichoona chochotee huko
Leo hii mnakuja
Ati pdidy akitualika chimban kwake
Sijui nani akawambia msiende mkaondoka bila kuoga
Huyu mwingine anasema ooh kweli tulialikwa kwa didy
Ila kuna mambo yalifanyika kwenye party siwezi kuyaongea hadharan
Yapi??tutajuaje kweli hamkuoga na mkakimbia
Tutajuaje hamkwenda chumban kwa didy.....
Kama mlikuwa kwa party mnasema kunamambo yalifanyika OK
Hamwezi kuyaweka hadharan
Mambo gani
Na kwanini hamtuamboa mkivyorudi mlijua siri Mungu hadhihakiwi
Wenzenu wameanza itwa fbi wote wakioshiriki ile party
Mnafundisha nn watoto wetu
G2k
Didyoil com
Chuki hupofusha. Abdu bonge hakua meneja wa wasanii alikua ni sponsor tu yeye na mdogo wake mwarabu, shughuli za muziki zote alifanya Babu taleTip Top ni ya Abdu Bonge, baada kifo chake, 'kichwa chepesi' ikamfia akaenda kuomba ajira Clouds, akapewa kazi ya kupanga nyimbo za kutumika katika vipindi.
'Kichwa chepesi' hata mradi wa video za mafunzo ya dini (Islam) ambao Abdu aliouanzisha, ukamshinda hadi akapandishwa kortini akidaiwa malipo na Sheikh.
'Kichwa chepesi' hakuwahi kuleta kipaji, alivikuta vya Abdu na angalau Hamad aliwaleta baadhi japo hawakuwa wakubwa sana, ila aliwaleta kwenye game.
Huko kwingine, wala hakuomba kura na wala hakupigiwa kura. Na alipewa nafasi kwa sababu nilizozieleza post ya awali.
Ova