Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy...
Dill done!
 
Hata marehemu kaka yake alimweka nyuma ya Hamad, yaani rafiki yake alikuwa mbele kuliko huyo mdogo wake...
Unamchukia bure tu Babu tale, yote aliyofanya hayawezi kufanywa na kichwa chepesi. Kuisimamisha tip top, ku-manage A list artists na wakapata mafanikio hiyo haifanywi na kichwa chepesi.

Hata kuswitch kwenda kwenye siasa na kufanikiwa nayo ni akili kubwa

Labda kama unataka apeleke satellites angani ndio uamini ana akili nyingi
 
Tip Top ni ya Abdu Bonge, baada kifo chake, 'kichwa chepesi' ikamfia akaenda kuomba ajira Clouds, akapewa kazi ya kupanga nyimbo za kutumika katika vipindi.

'Kichwa chepesi' hata mradi wa video za mafunzo ya dini (Islam) ambao Abdu aliouanzisha, ukamshinda hadi akapandishwa kortini akidaiwa malipo na Sheikh.

'Kichwa chepesi' hakuwahi kuleta kipaji, alivikuta vya Abdu na angalau Hamad aliwaleta baadhi japo hawakuwa wakubwa sana, ila aliwaleta kwenye game.

Huko kwingine, wala hakuomba kura na wala hakupigiwa kura. Na alipewa nafasi kwa sababu nilizozieleza post ya awali.

Ova
 
Hebu angalieni na kusikiliza hapa, leo anakataa kuwa hawakuwahi kwenda kwa Pdiddy wakati huyohuyo Swizz ndiye aliwapeleka kama pisikali/mizigo ya Pdiddy hadi chumbani kwa Pdiddy, halafu leo hii anataka kuruka? Na kuna clip nyingine Diamond anakiri kwamba waliyoyafanya hayafai ku post.
Natafuta Ajira Basi Nenda Kapeace rodrick alexander Raj kapool
View attachment 3106765
Halafu saiv eti hawakuingia ndani na waliondoka bila kuaga, huyu ukimsikiliza hapa unaona anatamani angeolewa ndoa ya kudumu kabisa
 
Screenshot_2024-09-27-08-13-25-33_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg

Mafuta yangu pendwa na pekee kabisa yanaingia kwenye sakata linalochukua sura mpya kadri siku zinavyoenda. Mambo yanaenda kasi sana.
 
Halafu saiv eti hawakuingia ndani na waliondoka bila kuaga, huyu ukimsikiliza hapa unaona anatamani angeolewa ndoa ya kudumu kabisa

Mkanganyiko wa maelezo yao unazidi kuleta tashwishwi. Bora wangebaki na msimamo ule ule wa awali, kwamba kweli Kuna vitu viliendelea lakini sio halali Kwa media.
 
Wangenyamaza tu maelezo ya awali yasingeibua hisia mbaya juu yao kiasi hiki,

Uko sahihi kabisa. Unajua hata wale jamaa wa huko mbele wanaojitokeza Sasa hivi, ni vile hawajui ni taarifa kiasi Gani zitawekwa wazi. Sasa Kila mmoja anatafuta namna ya kujiandaa na utetezi. Si umesikia mwingine anasema aliguswa bega, paja, mara mabusu, oh! Nilipewa pesa nikakimbia...mambo ni mengi.

Itoshe tu kusema, Dunia Ina mambo mengi sana tusiyoyajua na hatutokaa tuyamalize.
 
Nimeona Master J amehojiwa kuhusiana hiyo scandal, akasema kwa Burna Boy ukiunganisha dots inawezekana ikawa kweli, ila kwa Diamond haiwezekani sababu anasema mbona Diamond hajawika na kufanikiwa kivile kama Barna boy.

Ukimuangalia Masster J ni kama anaongea kizalendo tu ila anachekea kwapani (kwa kujificha).
Maana hata yeye anajua Barna boy hajaanza leo, it was a process ya miaka kadhaa mpaka kuja kutoka, huyu alienda kwa Diddy mwaka huu, isingewezekana atoke mwaka huu huu au hata mwakani, maana hata Justin Bieber hakutoka ndani ya miaka miwili.

Master J anatetea huku anachekea kwapani sababu ukweli anaujua,l. Ukimsikiliza vizuri hasa anavyosisitiza kuhusu Burna Boy, kupenywa, halafu ukimsikiliza anavyomtetea Simba wenu, ni kama vile anakwambia achana na ninachokitetea ila amini ambacho sijakiongea
 
Nimeshangaa sana

Hawa watu wakienda kwa didy siku kibao wakahudhuria party

Hawajatuambia walichoona chochotee huko

Leo hii mnakuja

Ati pdidy akitualika chimban kwake

Sijui nani akawambia msiende mkaondoka bila kuoga

Huyu mwingine anasema ooh kweli tulialikwa kwa didy

Ila kuna mambo yalifanyika kwenye party siwezi kuyaongea hadharan

Yapi??tutajuaje kweli hamkuoga na mkakimbia

Tutajuaje hamkwenda chumban kwa didy.....

Kama mlikuwa kwa party mnasema kunamambo yalifanyika OK

Hamwezi kuyaweka hadharan
Mambo gani

Na kwanini hamtuamboa mkivyorudi mlijua siri Mungu hadhihakiwi

Wenzenu wameanza itwa fbi wote wakioshiriki ile party

Mnafundisha nn watoto wetu

G2k
Didyoil com
Sasa hivi naogopa hata kununua mafuta ya baby Johnson maana ni kama kununua KY
 
Tip Top ni ya Abdu Bonge, baada kifo chake, 'kichwa chepesi' ikamfia akaenda kuomba ajira Clouds, akapewa kazi ya kupanga nyimbo za kutumika katika vipindi.

'Kichwa chepesi' hata mradi wa video za mafunzo ya dini (Islam) ambao Abdu aliouanzisha, ukamshinda hadi akapandishwa kortini akidaiwa malipo na Sheikh.

'Kichwa chepesi' hakuwahi kuleta kipaji, alivikuta vya Abdu na angalau Hamad aliwaleta baadhi japo hawakuwa wakubwa sana, ila aliwaleta kwenye game.

Huko kwingine, wala hakuomba kura na wala hakupigiwa kura. Na alipewa nafasi kwa sababu nilizozieleza post ya awali.

Ova
Chuki hupofusha. Abdu bonge hakua meneja wa wasanii alikua ni sponsor tu yeye na mdogo wake mwarabu, shughuli za muziki zote alifanya Babu tale

Tiptop haikumfia, bali tiptop ilishakufa kabla hata ya abdu bonge kufariki. Babu tale alikua tayari busy na msanii wake Diamond. Hapo ndio uone kwa nn bonge hakuisimamisha tip top baada ya tale kuanza kumsimamia diamond. Pia ujiulize inakuwaje Diamond alimfata huyo unamuita kichwa chepesi ili amsimamie. The rest is history

Hakuwahi kuomba kazi clouds, Bali alikua kivuli wa Ruge kwenye kumanage wasanii, so ndio ruge alikua akimtumia kwenye idara ya muziki clouds pamoja na Othman Suka. Ndio walikua wakiitwa OSATA(othman, said fela, na tale)

Abdu bonge hakuleta kipaji chochote yeye alifatwa sababu atoe pesa yeye ndio sponsor, vipaji vyote vilikua chini ya tale na ndio alovikuza kuanzia mb dogg Keisha z anto na wengine. Madee mwenyewe sio kuwa alileta vipaji moja kwa moja, ilibidi tale akusikilize kwanza kama unajua. Wapo walioenda na tale akawakataa na kweli wakapotea

Kwenye siasa hakuomba kura? Unajua Jimbo lake alimshinda Waziri Omary mgumba kwenye kura za maoni? Unaujua ugumu wa kumshinda waziri kwenye kura za maoni za wajumbe?

OVA acha chuki
 
Back
Top Bottom