Baby dady Drama: Ni ngumu sana kushindana na baba wa mtoto ukianzisha mahusiano na single maza, ngumu sana!

Baby dady Drama: Ni ngumu sana kushindana na baba wa mtoto ukianzisha mahusiano na single maza, ngumu sana!

Unaweza ukajipa moyo kwamba waliachana kwa ugomvi na pengine baba wa mtoto hakutoa chochote tangu asikie mwanamke kapata mimba, waweza kudhani jamaa ndio basi tena kahsribu hawezi kuwa tatizo.

Kiufupi ni ngumu sana mwanamke kumuacha kirahisi mwanaume aliemtunga mimba hasa ya kwanza ile inayompa status ya kuitwa mama flani , hadi kaamua kuchukua maamuzi alee mimba miezi 9 si kitu kidogo.

Kuna kipindi itafika tu ataanza kuomba ruhusa ampeleke mtoto kwa baba yake, tena nae mtoto anaweza kuanza kukuita uncle ama kwa jina lako ila baba ni jina atalomtunzia huyo babake wa kibailojia, hii hasa kwa watoto wa kiume.

Mambo yanayoendelea huko pindi wakiwa wao bila uwepo wako ndio sumu inayoweza kuleta simanzi kwenye mahusiano yenu
Kemea kuoa single mother maana kifo nje nje kama unataka uanze kujawa na gas tumboni oa single mama Niko pale. 👉
 
Mimi naona hizo ni assumptions za watu wachache wanaotaka sisi tuliowapa mimba wadada na kuwaacha kwamba hatuachani. Mimi binafsi toka tulipoachana na mama wa mtoto wangu sijawahi kufikiria kumla tena baada ya yeye kuolewa yaani hata simu tu asipopiga yeye eiza niongee na mtoto au kuna tatizo lolote nahitajika kulikwamua siwezi kumupigia simu hata kidogo.

So bado anakupigia

Aisee hili ni gap
 
Kwa Afya ya Kulinda Kizazi chako, Oeni mwanamke ambaye hajazaa.

Wakati huo huo tambueni kua siku hizi walooa mwanamke ambaye hajazaa, Huwa wanalea watoto wa wengine.

Ikitokea Umeoa Mwanamke mwenye mtoto, itapendeza kama alozaa naye awe amekufa, kama hajafa,, mwambie mtoto wake huyo ampeleke kwao na alozaa naye , Kama anataka kuishi naye, MPE MASHARITI MAGUMU MAGUMU, MPE MASHARITI NA AYAELEW NA AJUE WAZIWAZI, KUA SIKU AKIFANYA UPUMBAVU KWA MGONGO WA MTOTO, SIKU HIYOHIYO NDIO UTAKUA MWISHO WA NDOA !

Hatari nayoiona Sasa, Kwa Sasa mabinti wengi wanazalia kwao , na wengi wao wanazaa na wanaume ambao hawaoani Kwa sababu za Maisha tu ,,, hali hiii inapelekea Singo Maza Asilimia kubwa, KUTAFUTA MWANAUME AA KUWAOA KWA KUJIEGESHHA TU ILI YEYE NA MWANAWE WAISHI VIZURI !!.

hata Ivo, Suala la kuoa, Nafikiri ni Kuomba Mungu upate Mke mwema tu ,anayejielew !!.

You guys are gender discriminatory

Why focus uwe kwa mwanamke aliyezaa

Vipi man aliyezaa yaani single father
Kwani yeye sio tatizo kwa mwanamke ambae hajazaa na anaolewa na man mwenye mtoto already

Nataman kuona nyuzi kama hizo pia

Maana changamoto
Za hivi ni hata kwa single fathers pia
 
Single father anaamka anaondiloka kuwajibika iyo shida yake unakutana nayo wapi changamoto za single father na single mother zipo tofauti haziwezi lingana
 
Kwa Afya ya Kulinda Kizazi chako, Oeni mwanamke ambaye hajazaa.

Wakati huo huo tambueni kua siku hizi walooa mwanamke ambaye hajazaa, Huwa wanalea watoto wa wengine.

Ikitokea Umeoa Mwanamke mwenye mtoto, itapendeza kama alozaa naye awe amekufa, kama hajafa,, mwambie mtoto wake huyo ampeleke kwao na alozaa naye , Kama anataka kuishi naye, MPE MASHARITI MAGUMU MAGUMU, MPE MASHARITI NA AYAELEW NA AJUE WAZIWAZI, KUA SIKU AKIFANYA UPUMBAVU KWA MGONGO WA MTOTO, SIKU HIYOHIYO NDIO UTAKUA MWISHO WA NDOA !

Hatari nayoiona Sasa, Kwa Sasa mabinti wengi wanazalia kwao , na wengi wao wanazaa na wanaume ambao hawaoani Kwa sababu za Maisha tu ,,, hali hiii inapelekea Singo Maza Asilimia kubwa, KUTAFUTA MWANAUME AA KUWAOA KWA KUJIEGESHHA TU ILI YEYE NA MWANAWE WAISHI VIZURI !!.

hata Ivo, Suala la kuoa, Nafikiri ni Kuomba Mungu upate Mke mwema tu ,anayejielew !!.

Ni ujinga kuwa na notion kama hizi.

Unaweza kuoa huyo asiye single mother na ukawa unagongewa kama kawaida na watoto wa mjini au na ex wake .

What about single father, mbona
Shida inakuwa addressed kwa single mothers tu

Oa mtu ambae mna terms zinazofanana

Unaona mtu kisa sio single mother ndio in
Two years inakuwa juu ya mawe dadeki
 
Haya mambo ni magumu aisee. Mimi ninae dada yangu mkubwa alizaa nyumbani muda mrefu sana akiwa form 1 tu na bahati mbaya alizaa na mume wa mtu tena jirani na maskani ila jamaa alikataa kabisa ile mimba. Dada aliendelea na shule baada ya kuzaa na mtoto amelelewa nyumbani mpaka amekuwa mkubwa na yeye ameoa kwa sasa ( sio mkubwa sana ila tu balehe zinawasumbua vijana akaoa mapema sana). Dada na yeye alishaolewa baada ya kumaliza masomo yake na ana watoto wengine huko kwa mume wake ila sasa wamekuwa wanazinguana sana na mumewe kwa muda sasa mpaka ikafikia kipindi sisiter akaondoka kwa mumewe akaenda kukaa mwenyewe
Aisee kumbe yule mwanaume aliyezaa nae alimtafuta na wakaombana msamaha huko na wamepanga huyo mwanaume aje nyumbani rasmi kwaajili ya kujitambulisha kuwa ndiye baba wa mtoto ( huyu mwanaume bahati mbaya alifiwa na mkewe kwahiyo yupo single analea tu wanae).
Migogoro yote inayoendelea kwenye ndoa ya sisiter kumbe chanzo ni ni huyu mwanaume na inaonekana walishaanza kupasha kiporo siku nyingi. Imekua ni aibukubwa kwa familia
MWANAUME USIOE SINGO MAMA IKIWA ALIEMZALISHA BADO ANAISHI.

Sasa huoni kuwa huyo dada yako ni hakuna kitu kichwani

Yaani hana intellectuel virtues , hana character development and she cannot learn .

Halaf nawaona mpo kwenye general fallacy yaani mna generalize as if ndio ipo ivo kwa watu wote

Proportion ya watu wa hivo ni asilimia ngapi in a given sample ?

Kuna haja ya kufanya research maana hizi uzi ni Kama zinamshambulia single mother leaving behind single fathers

, haya mambo ya uaminifu haina uhusiano na usingle mother unless tufanye research tuje na hard evidence

Lakini pia tufanye research za wanawake kuwa na single fathers as well , implications na consequences wanazo kutana nazo kama jinsi
Inavoelezwa kwenye consequences za wanaume wanaokuwa na single mothers

Otherwise hizi nyuzi ni subjective and bias
 
Haikuwa bahati mbaya na sijawahi sema nilipata bahati mbaya ila tambua kuwa simfahamu huo utamu wa ngono kutoka kwake....I mean sikupata Radha yoyote

Ulipata ladha sehemu nyingine ?
 
Yaan inamaana jamaa alikua anakurukiarukia tu juu yako wakati huo huna time nae amalize aende?

Babu acha uhuni amesema alijiachia ila hakusikia raha

Inawezekana ana low libido sana
It’s common mbona

Labda muulize ana gets wet sana au kidogo

Wetness yake inachafua underpants wakati wa kuaandaana au ?
 
Back
Top Bottom